Walikuwa wakali na kutuzuia tusichanje hizo chanjo za mabeberu. Katika hali ya kushangaza sasa wamekuwa wakali kuwaeleza wananchi wachanjwe. Walikosea mwanzoni sasa hawana budi kuwabembeleza na si kuwashurutisha kufanya hivyo.Kwa miezi mitatu tunahangayika na dozi milioni 1 iliyoletwa na wamarekanina bado haijaisha.. Juzi tu tumepokea SINOFARM karibu dozi milioni 1 pia ambazo kuzimaliza itachukua kama miezi 5. sasa hiozo laki 5 si zitakuja ku expy kabla ya kutumika? Policy ya chanjo ya Covid tanzania lazima ibadilike na serikali wawe wakali kidogo vinginevyo.
Kwanza corona yenyewe ni propaganda kuliko uhalisia wenyewe,kama corona ingelikuwapo kweli,wala serikali ingelitumia nguvu yeyote,hizo dawa zingegombaniwa,ila wanaongelea kitu ambacho akipo nakama kipo,kipo kwa kiasi kidogo, ndio maana Watanzania awatishiki,mfn me tangia corona hije sijawai kutana na mgonjwa wa corona,hata mtaani kwangu sijawai kusikia kifo cha mgonjwa wa corona, corona tunaisikia redioni na kwenye tv na kwenye matangazo ya vipeperushi tuNi ukweli mkuu...ule utawala uliendesha propaganda kubwa sana ya uongo kuhusu ugonjwa wa Corona na hata chanjo, ambayo imekua ngumu kuiondoa vichwani mwa Watanzania wengi.