Tanzania kupeleka vikosi vyake vya kijeshi Msumbiji

Mkuu 'gataca', kuna jambo hapa ambalo sio la kawaida, na huyu 'Janja', anayejifanya kueleza inaelekea hana kitu anachokielewa, lakini anataka watu tudhani anajuwa kitu, kumbe hana lolote!.

Jambo lisilo la kawaida ni kusikia Waziri wetu Liberata Mulamula akisema pafanyike mazungumzo, hili siyo jambo la kawaida.
Jambo lisilo la kawaida ni kusikia Wizara yetu ya Mambo ya nchi huko siku za nyuma ikitataa ushiriki wetu ndani ya SADC katika kuwasaidia Msumbiji, lakini miezi kadhaa tunajikuta tunabadili msimamo huo!

Haya siyo mambo yaliyozoeleka kwa nchi yetu hii ya Tanzania ambayo historia yake inafahamika kwa misimamo thabiti kwenye maswala kama haya.

Linaloshangaza zaidi ni kwamba hawa magaidi mwanzo wao/wanakotokea ni kama panafahamika vyema, na uhusika wetu na wao ni kama unajulikana vizuri. Sasa maana ya kujichanganya huku kwa serikali yetu sababu yake kuu ni nini hasa?

"Janja' anazungumzia mambo hapa kama mlevi fulani tu, na wala hajibu hoja yoyote inayowasilishwa kuijibu.

Binafsi sina shaka yoyote na uwezo wa vijana wetu kuwakabili hawa magaidi kama wakiamuriwa kufanya kazi hiyo, iwe humu humu ndani kwetu au huko Msumbiji. Tatizo ni hili la mikanganyiko inayowekwa na serikali.

Hatuwezi kuwa nchi ya kuanza kuangalia vinchi kama Rwanda wanafanya nini, halafu ndio na sisi tuanze kujitetea au kudanganya watu kwamba tumefanya makubwa huko, ambayo ushahidi unaoonekana ni kwamba hakuna tulichofanya huko, maanake tungekuwa tumefanya, Rwanda wasingekuwa na sababu ya kwenda huko na kujitangazia kazi kubwa waliyofanya katika muda wa wiki moja tu baada ya kuwasili huko!

Unaona jinsi ulivyo 'bogus' wewe!

Hivi hata chembe ya aibu kichwani mwako huna?
Naona unahangaika kumconvince mtu akuelewe

bad sign ya weakness

kanielewa na question ya sustainability ya mission is valid noting that we are not fighting just one enemy na some of the enemies ni donors as well

hayo mengine nilishamalizana na wewe

I don’t need to prove anything because I know what transpired

Mulamula kawa Waziri this year, sisi tulienda twice last year

anyways wewe ni empty but unahangaika kuwa relevant
 
Naona unahangaika kumconvince mtu akuelewe

bad sign ya weakness

kanielewa na question ya sustainability ya mission is valid noting that we are not fighting just one enemy na some of the enemies ni donors as well

hayo mengine nilishamalizana na wewe

I don’t need to prove anything because I know what transpired

Mulamula kawa Waziri this year, sisi tulienda twice last year

anyways wewe ni empty but unahangaika kuwa relevant
Huna kitu mkuu!
It's just a waste of time with an individual like you.
 
Tanzania ni sehemu ya kikosi kilichotumwa chini ya mwamvuli wa SADC kupambana na ugaidi katika mkoa wa kaskazini mwa Msumbiji wa Cabo Delgado.

Awali serikali kupitia waziri wa mambo ya nje Liberata Mulamula alisema kwamba Tanzania haitatuma wanajeshi Msumbiji na badala yake inasisitiza juu ya hitaji la mazungumzo kama njia ya kukuza amani na utulivu nchini Msumbiji.

Msemaji wa Jeshi la Wananchi Tanzania, JWTZ, Brigedia Jenerali Juma Sipe amethibitishia hili BBC akisema kuwa wakuu wa nchi za jumuiya ya maendeleo ya kusini mwa Afrika SADC walikwishaazimia kuwa nchi wanachama wa jumuiya hiyo watasaidia kutatua tatizo linaloendelea nchini Msumbiji.

‘’Makubaliano hayo moja kwa moja yanaihusu pia Tanzania, ikumbukwe Tanzania kwa kihistoria imeisaidia sana Jamhuri ya Msumbiji katika mapambano yake ya kupata uhuru wake na hata baada ya uhuru, pia Tanzania imeshiriki katika harakati nyingi zimesaidia sana kutatua mgogoro uliokuwepo kati ya FRELIMO na RENAMO kwa hivyo tatizo la Msumbiji kwa sasa ni tatizo la kikanda na kimsingi kama Watanzania tuna wajibu wa kushirikiana na wanajumuiya ya SADC katika kutatua tatizo hili.’’ Alisema Brigedia Jenerali Sipe.

Haijabainishwa ni wanajeshi wangapi kutoka Tanzania wanashiriki operesheni hiyo nchini Msumbiji, lakini Brigedia Jenerali Sipe amesema kuwa majeshi yote (nchi zinazoshiriki) yanayokwenda yanayokadiriwa kuwa Brigedi moja yanaratibiwa chini ya SADC kwa ujumla wake.

‘’Kila nchi mwanachama ana kiasi Fulani ambayo itapeleka, wengine watapeleka kwenye hospitali, wengine watakwenda vikundi maalum vya majukumu ya aina mbalimbali, jeshi la wana maji n.k. ‘’ Alifafanua Brigedia Jenerali .

Tanzania inapeleka wataalam gani wa kijeshi?

‘’Operesheni za kijeshi kwa kawaida huchukua vikundi vya aina zote kwa pamoja, vita si kama mechi ya mpira, bali operesheniwakati mnaendelea na mkakati hasa mkakati kama huu wa kupambana na vikundi visivyo rasmi kwa maana ya kwamba si majeshi, bali kikundi ambacho kina asili ya kigaidi kwahiyo wakati huohuo wapo wataalam ambao nao watahitajika ambao pia watasaidia kutathimini aina ya watu tunaokabiliana nao na namna bora ya kushauri ili vikundi vyetu viweze kufanya kazi vizuri zaidi''. Alisema Brigedia Jenerali Sipe.

Hatua hiiimeelezwa kuwa muhimu sana kwa uhusiano wa SADC na ukanda mzima kwa ujumla wake nanchi ya Msumbiji, vile vile usalama wa Msumbiji ni sawa na usalama wa nchi wanachama pia.

Operesheni hiyo ya miezi mitatu inahusisha wataalamu wa kijeshi na vifaa kutoka Afrika Kusini, Botswana, Angola, Tanzania, na Lesotho

Gharama ya awali ya operesheni hiyo ni dola milioni 12M.

Chanzo: BBC
Baada ya Kuona Jeshi la Rwanda (Ambayo haipo SADC)limemaliza Kazi ndio Wanajifanya eti na wao wamepeleka vikosi
Pambaf kabisa
 
Unfortunately

unawaza in linear mode

tafuta any general wa JW kesho akupe shule ya nini tumefanya

mengine haya naona ni kama zile mbio zenu za kudai dsmokrasia kupitia chama kisicho na demokrasia

kazi ya last year November ni zaidi ya sweeping
Nasikia walitumiwa mizinga msituni ikawafanya nyamachoma
 
Back
Top Bottom