Tanzania kupeleka takribani ya wanajeshi 200 syria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania kupeleka takribani ya wanajeshi 200 syria

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by FUNGO jr, Jul 18, 2012.

 1. F

  FUNGO jr JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nipo kwenye gari safari wanajeshi wawili vijana wanapiga story kwamba vijana wengi wanang'ang'ania kwenda huko wapo tayari hata kuhonga ili wateuliwe kwenda huko wakuu wanajf hii imekaaje? Wanahamu ya vita au kuna kingine zaidi!
   
 2. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  They want practice!
   
 3. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  waache. maisha washachoka nayo. mbona somalia wamekataa kwenda?
   
 4. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Waache waende kwani kazi yao kubwa imekua kupiga Raia na kupanda daladala bure tuu
   
 5. F

  FUNGO jr JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jinsi story zilivyokuwa zinaendelea nako wanahitajika ila kunatetesi ya wengine kwenda somalia au sudan
   
 6. n

  nsanu Member

  #6
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanalipwa per day (posho maalumu) wakiwa nj'e ya nchi especially dangerious area like Syria, isitoshe kabla hawajaondoka wanapewa pesa nyingi ya kuachia familia au wazazi, wherever!!

  Kuna jamaa yangu ana V mbili tu, alienda sudan mwaka jana, karudi now, kajenga nyumba na kanunua gari la kutembelea, anatamani apate nafasi tena ya kwenda trip, nafasi hizi ni ngumu sana kupata.
   
 7. n

  nsanu Member

  #7
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tena kama unakumbuka ile shutuma ya mabilioni ya Shimbo, zile kaiba kwa njia hii, UN wakituma pesa (dollar) za hawa wanajeshi waliopo ktk war zone, yeye kwa kushilikiana na wakubwa wenzake wanazichakachua kwa maana ya kuzipunguza, kaiba kwa miaka mingi sana ndio maana yamefika mabilioni, mshenzi sana huyu, wanajeshi wa mipakan mwa nchi walitaka kumpiga risasi.
  source: rafiki yangu mwanajeshi.
   
Loading...