Tanzania kupanda kuwa uchumi wa kati chini: Mkapa amechangia 194%; JK 96% na Magufuli 10%

sawa comrade.
tunaongea kitu kimoja ila sema wewe unatumia assumptions wakati wengine tunatumia facts kutoka reliable sources.
Aisee! eti assumptions ? dah !
Kumbe basi mimi wa kijijini natumia hypothesis maana siko well informed sawa bhana.wee kaa na hizo {allegedly} facts zako
Acha tusubiri.
 
Jakaya ndie kinara, figure zinaonyesha na uhalisia ulionekana kwa kila raia nini maana ya uchumi kupanda.
 
Dadek jiwe kawashika hawa wapuuzi kila swhemu mpaka wanaanza kuzisifia serikali za nyuma ambazo nazo zilikuwa za Ccm. Niwakumbushe tu haijalishi wawindaji mmemrushia mnyama mikuki mingapi alierusha mshale wa mwisho mnyama akaanguka ndo anapewa pande kubwa la nyama. Makamanda komaeni na kelele ambazo haziwasaidii mbele ya wapiga kura
 
Sasa nadhani ugonjwa umeshafika kwenye ubongo. Kilichobaki ni kushindwa kuvuka barabara!! Sasa unaelekea kuwa mropokaji tu.

Hata mwaka 1776, USA ilikuwa mbali sana kuliko ilivyo Tanzania mwaka 2020. Leo bado unazungumzia maji safi na salama, elimu bure, miundombinu. Walishatoka huko!!
😊😊
 
hatujui kwa sasa maana hakuna chama kingine kilichowahi kuongoza nchi.
inawezekana hii ni spontaneous growth tu.

who knows..... labda kingekuwa chama kingine tungekuwa juu zaidi but we can't tell now.
CCM chama makini na imara
 
Back
Top Bottom