Tanzania kuna visima vya mafuta kama tulivyoaminishwa na IGP Sirro?

Kila akiambiwa na mawakili wa serikali kua mzee zamu yako imefika ya kutoa ushahidi wa ugaidi wa mbowe, jamaa anakua mkali hataki kusikia habari za kwenda mahakamani
 
IGP Sirro katika press conference aliyofanya mwezi August last year, juu ya kukamatwa kwa Freeman Mbowe, alisema wanao ushahidi juu ya FAM kupanga njama za Kulipua visima vya mafuta na kudhuru viongozi wa umma.

Sio kwamba aliteleza ulimi bali alirudia karibu Mara tatu kuwa Mbowe alipanga kulipua visima vya mafuta.

Naomba kujuzwa Tanzania tuna visima vyaafuta na Kama vipo vipo wapi? Je Sirro alitudanganya.
SIRO sio wa kumchukuliah Serious.Wakati mwingine anapitiwa.
 
Visima vya mafuta anamaanisha petrol stations,pammoja na oil tank farms tank farms ni depot zenye kuhifadhi mafuta inbulk.
Hayo ma tank yanaweza yakawa yamechimbiwa ardhini au yamejengewa juu ya ardhi.

Lakini kwa msemo sahihi ukisema visima vya mafuta ni mafuta ghafi yatokayo chini ya ardhi iwe nchi kavu au chini ya bahari baada ya kuchimba,(drilling)yametengenezewa miundo mbinu ya kutokea chini ya ardhi na kupandishwa juu ardhi na kusafirishwa ikibidi sehemu mbali mbali.
Unajua kiswahili wewe? Unajua maana ya kisima? Tank linawezaje kuwa kisima? Ni sawa na kusema bakuli ni glass
 
... ni suala la lugha tu kutegemea na asili ya mzungumzaji. Wengine tenki au pipa wanaita kisima. Kwa mfano kwa vijijini maeneo ya bara matenki makubwa ya kutunzia maji ya bomba vijijini wanaita visima wakati maeneo ya Pwani kisima ni chanzo cha maji kinachochimbwa ardhini.

Inategemea Sirro Kiswahili chake cha kwanza alijifunzia kwenye mazingira gani ya makuzi. Tusimhukumu kwa vitu vidogo vinavyotokana na athari za asili ya mhusika. Context ya maelezo yake ndio muhimu kuliko neno moja moja aliloongea.
Ni Kijiji gani hicho tank la maji wanaita kisima? Acha kutetea ujinga wewe
 
Kama kuna kitu hukijui, haimaanishi hakipo. Tanzania tuna visima vya mafuta vingi sana tena kila mji,mkoa na kijiji. Nadhani mleta mada na wanaomuunga mkono mawazo yenu kisima cha mafuta, kwenu nyie ni kile kinacho chimbwa mafuta tuu.

Apana visima vinavyozungumziwa ni vile vya kuhifadhi petroli na diesel. Na hivyo vinapatikana pahali pengi nchini na vinatofautiana kwa ukubwa wao, kwa kiasi cha mafuta yanayoweza kuhifadhiwa. Kila Petrol Station kina visima takriban 2, kutegemeana na mahitaji yao.
 
Visima vya mafuta anamaanisha petrol stations,pammoja na oil tank farms tank farms ni depot zenye kuhifadhi mafuta inbulk.
Hayo ma tank yanaweza yakawa yamechimbiwa ardhini au yamejengewa juu ya ardhi.

Lakini kwa msemo sahihi ukisema visima vya mafuta ni mafuta ghafi yatokayo chini ya ardhi iwe nchi kavu au chini ya bahari baada ya kuchimba,(drilling)yametengenezewa miundo mbinu ya kutokea chini ya ardhi na kupandishwa juu ardhi na kusafirishwa ikibidi sehemu mbali mbali.
Apana visima ni vyote ulivyovitaja, vya kuhifadhi petroli na vya kutoa mafuta ghafi, vyote visima
 
IGP Sirro katika press conference aliyofanya mwezi August last year, juu ya kukamatwa kwa Freeman Mbowe, alisema wanao ushahidi juu ya FAM kupanga njama za Kulipua visima vya mafuta na kudhuru viongozi wa umma.

Sio kwamba aliteleza ulimi bali alirudia karibu Mara tatu kuwa Mbowe alipanga kulipua visima vya mafuta.

Naomba kujuzwa Tanzania tuna visima vyaafuta na Kama vipo vipo wapi? Je Sirro alitudanganya.
He simply meant kulipua petrol stations
 
sorry hivi unaeza kuitwa kuwa shahidi bila kukubali ? mahakama inakulazmisha au ? usipofika kuna adhabu ? nataka kujifunza tu...
Kwa uelewa wangu agizo la mahakama ni amri ukigoma nadhani unapata msala, hata wewe pale mahakamani ukizingua Hakimu anaweza kukuadhibu pale pale.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom