Tanzania kuna Demokrasia ya kweli kwenye nchi za kidikteta Bavicha wasingeruhusiwa kulisogelea kaburi la Nyerere!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,506
141,232
Nenda kwenye nchi yoyote ya kidikteta halafu wasimulie kwamba vijana wa upinzani waliingia lilipo kaburi la hayati mwenyekiti wa chama tawala na wakacheza bao na kunywa maziwa, maandazi na samosa.

Watashangaa sana.

Tanzania tuna demokrasia pana!
 
Tuwekee na picha basi .

C18E4B81-0FA5-4F01-BD50-1E6CB14F8CA8.jpeg
 
Mtoa hoja hii sio kweli,Nyerere alikua Rais wa watanzania wote regardless itikadi zao na Bavicha sio wakimbizi ndani ya nchi hii na elewa kutofautiana kiitikadi ni haki yetu!sometime unakuja na mada nzuri na mwezi ukiandama unakuja na mada zilizojaa ufitini,ubaguzi na ushenzi!Nyerere alichukia ubaguzi wowote ule na LAZIMA uelewe hivyo,u kant
 
Nenda kwenye nchi yoyote ya kidikteta halafu wasimulie kwamba vijana wa upinzani waliingia lilipo kaburi la hayati mwenyekiti wa chama tawala na wakacheza bao na kunywa maziwa, maandazi na samosa.

Watashangaa sana.

Tanzania tuna demokrasia pana!
Sio watanzania, sometimes inaonyesha how big fool you are
 
Nenda kwenye nchi yoyote ya kidikteta halafu wasimulie kwamba vijana wa upinzani waliingia lilipo kaburi la hayati mwenyekiti wa chama tawala na wakacheza bao na kunywa maziwa, maandazi na samosa.

Watashangaa sana.

Tanzania tuna demokrasia pana!
Mwagito leo umekwama. Mambo ya makaburini mbona sisi wahehe tumeacha kabisa hata kula nyama za makaburini hatuli. Acha ushirikina mwagito
 
Nenda kwenye nchi yoyote ya kidikteta halafu wasimulie kwamba vijana wa upinzani waliingia lilipo kaburi la hayati mwenyekiti wa chama tawala na wakacheza bao na kunywa maziwa, maandazi na samosa.

Watashangaa sana.

Tanzania tuna demokrasia pana!

Tanzania tuna demokrasia

Because you are featuring so many times on this forum, you need to be educated whenever possible!
Democracy has got nothing to do with paying visit to tombs of the dead! It is:

In a lecture titled “What is Democracy”? Larry Diamond (2004) gave an overview of what in his opinion is democracy.

He describes democracy as a system of government with four key elements:

i) A system for choosing and replacing the government through free and fair elections;

ii) Active participation of the people, as citizens, in politics and civic life;

iii) Protection of the human rights of all citizens; and

iv) A rule of law in which the laws and procedures apply equally to all citizens.

I fully subscribe to this definition
 
Bwashee unaweza kuiweka katika lugha ya taifa!
 
Nenda kwenye nchi yoyote ya kidikteta halafu wasimulie kwamba vijana wa upinzani waliingia lilipo kaburi la hayati mwenyekiti wa chama tawala na wakacheza bao na kunywa maziwa, maandazi na samosa.

Watashangaa sana.

Tanzania tuna demokrasia pana!
Kwahiyo kwako na kwenu hiyo ndio maana ya democrasia, kama huondio uelewa wawanakijani ndio sababu ya shida zote za watanzania na sababu ya mambo yote ya hovyo thnayoyashuhudia huku mkiyashadadia bila kuwa nauelewa was kutosha juu ya athari zake kwa taifa na mliowanyonga na kuwadanganya unyonge ni sifa na mpo Kwa ajili Yao.
 
Back
Top Bottom