Tanzania kuna bank ambayo inahifadhi Fedha kwa mfumo wa Dollar?

Cheef Baroka

JF-Expert Member
Apr 28, 2019
491
1,000
Wakuu katika maboresho ya huduma na uanzishwaji wa huduma mpya, hakuna Bank yoyote nchini Tanzania ambayo imeanzisha/ ina huduma inayomuwezesha mteja kuhifadhi pesa zake kwa mfumo wa USD.?

Mfumo ambao mteja anaweza deposit tsh zikiwa converted automatically kuwa Dollar na miamala yake akafanya kwa mfumo wa USD. Au hata kama nikifika bank ni change pesa zangu then niziweke kwenye acount yangu kama USD.

Sijui kama nimeweleka wakuu?

Kama kuna mtu anaifaham bank inayotoa huduma hiyo au inayofanana na hiyo anijuze ni bank ipi nina dharura wakuu. Nahitaji kufahamu ni bank gan? Huduma hiyo inaitwaje? Makato yake na utaratibu wao upoje?
 
Wakuu katika maboresho ya huduma na uanzishwaji wa huduma mpya, hakuna Bank yoyote nchini Tanzania ambayo imeanzisha/ ina huduma inayomuwezesha mteja kuhifadhi pesa zake kwa mfumo wa USD.? Mfumo ambao mteja anaweza deposit tsh zikiwa converted automatically kuwa Dollar na miamala yake akafanya kwa mfumo wa USD. Au hata kama nikifika bank ni change pesa zangu then niziweke kwenye acount yangu kama USD.

Sijui kama nimeweleka wakuu?

Kama kuna mtu anaifaham bank inayotoa huduma hiyo au inayofanana na hiyo anijuze ni bank ipi nina dharura wakuu. Nahitaji kufahamu ni bank gan? Huduma hiyo inaitwaje? Makato yake na utaratibu wao upoje?
Bank ABC...Diamond trust
 
Mbona hiyo.huduma ipo bank nyingi hasa international bank, kama stanbic, starndar chartered nadhaninhata NMB pia wanayo hata ya euro ukitapa zipo, pesa yako tuu nilishwawahi kua nayo miaka mingi nyuma standard chartered opening balance ilikua 50$
 
Benki nyingi zinatoka hiyo huduma, Crdb, Dtb, kcb hizi nina experience nazo, tena dtb unaweka mpaka euro
 
Back
Top Bottom