Cheef Baroka
JF-Expert Member
- Apr 28, 2019
- 491
- 1,000
Wakuu katika maboresho ya huduma na uanzishwaji wa huduma mpya, hakuna Bank yoyote nchini Tanzania ambayo imeanzisha/ ina huduma inayomuwezesha mteja kuhifadhi pesa zake kwa mfumo wa USD.?
Mfumo ambao mteja anaweza deposit tsh zikiwa converted automatically kuwa Dollar na miamala yake akafanya kwa mfumo wa USD. Au hata kama nikifika bank ni change pesa zangu then niziweke kwenye acount yangu kama USD.
Sijui kama nimeweleka wakuu?
Kama kuna mtu anaifaham bank inayotoa huduma hiyo au inayofanana na hiyo anijuze ni bank ipi nina dharura wakuu. Nahitaji kufahamu ni bank gan? Huduma hiyo inaitwaje? Makato yake na utaratibu wao upoje?