Tanzania kuna baadhi ya vijiji wananchi wakiona magari wanaogopa

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Tanzania kuna baadhi ya vijiji wananchi wakiona magari wanayaogopa magari,na wanayakimbia magari,na kudhani wenye magari ni wanyonya damu.

Vijiji vya aina hii ccm imekuwa ikivuna kura nyingi sana hasa wakati wa uchaguzi,ndio maana ccm hawataki asasi za kirai,na vyama vya siasa visifanye siasa,au asasi za kiraia kutoa elimu ya uraia.
 
Wananchi wengi wa vijijini wanapigia kura ccm kwa kutokujua maana ya umuhimu wa kura ni nini,na kura ina faida gani,ndio maana mtu anaomba kura akishapata kura anageuka kuwa mtawala,na mflume
 
:D:D:D:D Wanakijiji wanaogopa gari duh! kweli mikutano ikifanyika sana mpaka hivyo vijiji vitaijua gari kama chombo cha usafiri. Wanakijiji gari sio muumiani bali ccm ndio muumiani
 
Back
Top Bottom