luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,325
- 6,868
Ilo tuna kuachia wwUnaijua miko yenye shida au maisha magumu Tanzania. Tuanzie hapo kwanza.
Usikute unahangaika na jirani huku hujui km watoto wako wanakula ama la.
Ilo tuna kuachia wwUnaijua miko yenye shida au maisha magumu Tanzania. Tuanzie hapo kwanza.
Usikute unahangaika na jirani huku hujui km watoto wako wanakula ama la.
Ndo ukae kimya sasa achana na jirani wkt kwako kuna njaa shika jembe kalimee alafu ccm watakuja kununua korosho zakoIlo tuna kuachia ww
Sasa una nilazima kuninyamazisha ww nani ? Una uhakika gani na kitu nilichoandika awali?Ndo ukae kimya sasa achana na jirani wkt kwako kuna njaa shika jembe kalimee alafu CCM watakuja kununua korosho zako
njaa ya mtu haijifichi.Ndo ukae kimya sasa achana na jirani wkt kwako kuna njaa shika jembe kalimee alafu CCM watakuja kununua korosho zako
Mbona ww sifia sifia hujazema nchi nzima kuna chakula cha kutosha?, njaa ya mtu haijifichi.
leo hii kuwe na njaa tz na nyinyi waropokaji mkae kimya, mnavyopenda kubwabwaja.
Unaropoka tu km mwenyekiti wako na huna uhakika na ulichoandika hujiamini na hii ndio sifa kuu ya wacbumia tumbo ccm.Sasa una nilazima kuninyamazisha ww nani ? Una uhakika gani na kitu nilichoandika awali ?
uliishawahi kusikia baba yako anakwambia nina hela mwanangu???Mbona ww sifia sifia hujazema nchi nzima kuna chakula cha kutosha?
Maccm yote hayana akili kabisa
Unaropoka tu km mwenyekiti wako na huna uhakika na ulichoandika hujiamini na hii ndio sifa kuu ya wacbumia tumbo ccm.
Kungekua na njaa TZ chakula cha TANZANIA kingeenda Kenya?Ndo ukae kimya sasa achana na jirani wkt kwako kuna njaa shika jembe kalimee alafu ccm watakuja kununua korosho zako
Hiyo comment hujatumia akili kabisa..... Kufanya exports sio sababu hatuna njaa😂😂Kungekua na njaa TZ chakula cha TANZANIA kingeenda Kenya?
Hii comment umeandika km ccm au km Mtanzania maana kuna tofauti kubwa sana kati ya watu hao wawiliKungekua na njaa TZ chakula cha TANZANIA kingeenda Kenya?
Shida yako ww ni ccm sio mtamzaniaUnajua hauna utakacho weza fanya kumnyamazisha mtu bac endelea tu kuropoka
Halafu wapo uchumi wa kati...... 😒😒uliishawahi kusikia baba yako anakwambia nina hela mwanangu???
matokeo utayaona tu. ndio maana tz inaongoza kuwa na vijana flani wazembe, wana uhakika kesho hawawezi kulala njaa.