Tanzania kulipiza kwa nguvu zaidi kufuatia Kenya kuwakataza Watanzania kuingia Kenya

Tangu atolewe Mzee Mahiga kwenye ile wizara nyeti, limebakia Pazia tu la kutumbua mimacho tu na kusifu sifu ujinga.
Kama ni wewe ndio umepewa nafasi ya Mahiga ungefanyaje? Miezi miwili nyuma Kanya hawahawa walikataza Gari za Tanzania bila kuishirikisha Tanzania katika maamuzi yao, kabla jua halijazama wamerudia kosa lile lile, unataga Kabudi afanye nini?. Hawa ni watu wa kupambana nao tu, Hakuna jinsi.
 
Kama ni wewe ndio umepewa nafasi ya Mahiga ungefanyaje?. Miezi miwili nyuma Kanya hawahawa walikataza Gari za Tanzania bila kuishirikisha Tanzania katika maamuzi yao, kabla jua halijazama wamerudia kosa lile lile, unataga Kabudi afanye nini?. Hawa ni watu wa kupambana nao tu, Hakuna jinsi.
Hakuna noma
 
Hahahaha, kumbe mimi japo ninawahurumia wakenya kidogo kuliko Magufuli, ninashangaa wakenya wananichukia zaidi kuliko wanavyomchukia Magufuli
Alafu ifike kipindi pini ziendelee mana Wakenya wamesoma alama za nyakati wamegundua Tz itawasumbua sn kiuchumi huko mbeleni, ss inabd na cc tuanze kuchukua hatua kulinda malengo yetu kwa kuminya kila kitu toka kenya bila kusubiri wao waanze ndo tumalize yn tuwe tunalianzisha hata baada ya hili kupita.
 
Nyie ndio vinara wa kujidharau na kuona wazungu ni kila kitu kwenu.
Mbona nyie mnakuwa na aibu na kiswahili kiasi kwamba hata KIBERA mnaita Kibra ili tu utamke kama mzungu. Penda lugha yako!
Kibra ndio jina sawa la Kinubi Bali kibera ni kutoka a na Lahaja ya lugha ya Kikuyu. Learn to research kiasi kabla kudhihirisha ujinga.
 
Alafu ifike kipindi pini ziendelee mana Wakenya wamesoma alama za nyakati wamegundua Tz itawasumbua sn kiuchumi huko mbeleni, ss inabd na cc tuanze kuchukua hatua kulinda malengo yetu kwa kuminya kila kitu toka kenya bila kusubiri wao waanze ndo tumalize yn tuwe tunalianzisha hata baada ya hili kupita.
😂😂😂😂
$65b vs $100b
🤔🤔
 
Ukifanikiwa kunionesha $100b nafunga accnt Jf
Funga account 😁
Screenshot_20200801-095924.png
 
Kibra ndio jina sawa la Kinubi Bali kibera ni kutoka a na Lahaja ya lugha ya Kikuyu. Learn to research kiasi kabla kudhihirisha ujinga.
Nyie endeleeni kushiikiliwa kila kitu na mzungu....hata namna ya kupambana na corona endeleeni kusubiri mwongozo toka kwa bwana zenu.
 
Greene encourages you to use this need to be smart to your advantages. Consider your enemies and victims, and make sure they feel like they are smart, smarter than you even. And if you can establish this false sense of confidence within themselves, they will never suspect you.
 
Warembo wapi?? Najua na nimetembea uko hakuna warembo labda Arusha.Rampant bleaching fake fake kujichibua tu.Nenda Rwanda na Ethiopia uone warembo na upeleke ujinga uko kijijini kwenu Bukoba

Amelinganisha Kenya na Tz,

Rwanda ina warembo wa mitandao
 
Back
Top Bottom