Tanzania kulipiza kwa nguvu zaidi kufuatia Kenya kuwakataza Watanzania kuingia Kenya

Ndo ukae kimya sasa achana na jirani wkt kwako kuna njaa shika jembe kalimee alafu CCM watakuja kununua korosho zako
Sasa una nilazima kuninyamazisha ww nani ? Una uhakika gani na kitu nilichoandika awali?
 
Ndo ukae kimya sasa achana na jirani wkt kwako kuna njaa shika jembe kalimee alafu CCM watakuja kununua korosho zako
njaa ya mtu haijifichi.

Leo hii kuwe na njaa tz na nyinyi waropokaji mkae kimya, mnavyopenda kubwabwaja.
 
, njaa ya mtu haijifichi.

leo hii kuwe na njaa tz na nyinyi waropokaji mkae kimya, mnavyopenda kubwabwaja.
Mbona ww sifia sifia hujazema nchi nzima kuna chakula cha kutosha?

Maccm yote hayana akili kabisa
 
Sasa una nilazima kuninyamazisha ww nani ? Una uhakika gani na kitu nilichoandika awali ?
Unaropoka tu km mwenyekiti wako na huna uhakika na ulichoandika hujiamini na hii ndio sifa kuu ya wacbumia tumbo ccm.
 
Mbona ww sifia sifia hujazema nchi nzima kuna chakula cha kutosha?

Maccm yote hayana akili kabisa
uliishawahi kusikia baba yako anakwambia nina hela mwanangu???

matokeo utayaona tu. ndio maana tz inaongoza kuwa na vijana flani wazembe, wana uhakika kesho hawawezi kulala njaa.
 
uliishawahi kusikia baba yako anakwambia nina hela mwanangu???

matokeo utayaona tu. ndio maana tz inaongoza kuwa na vijana flani wazembe, wana uhakika kesho hawawezi kulala njaa.
Halafu wapo uchumi wa kati...... 😒😒
 
Back
Top Bottom