mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 794
Nizame kwenye hoja moja kwa moja, Nchi yetu eneo la ELIMU limeoza.
Nchi hii kubwa na chuo utitiri haina chuo hata kimoja katika orodha ya ranking ya vyuo duniani.
Pamoja na bara la Afrika kukosa chuo hata kimoja katika 100 best lakini nchi yetu imekosekana kabisa katika ubora wa vhuo hata 100 -500 nakuendelea, kwa ufupi hatumo.... katika 100 kuendelea Uganda na Kenya wapo..Tanzania Siasa na Elimu vimetuponza...
Hii inaathari gani katika uchumi, Ajira nk...tutaumia sana
Leo nilikuwa nikiangalia prospectus ya OPEN university, nikawa najiuliza vijiswali, mbona pana mambo yapo komplicated? wameyafanya katika ugumu kimaandishi na utekelezaji. Hayo ni baadhi ya mambo tunayobobea badala ya kujali global uniformity.
Mh Magufuli lazima hili alione.
source: Rankings