Tanzania kujitangaza tena

princekerry

Member
Feb 9, 2011
16
0
Ni baada ya miujiza ya Mchungaji mstafu Ambikile kujitokeza na kutoa huduma ya maajabu imepelekea TAnzania kuingia katika sura nyingine kwa kujulikana na mataifa mbalimbali na kupata wageni wengi kutoka jirani na nje nchi je? serekali ianpaswa kutoza ushuru ili kujipatia kipato kwajili ya kukipatia maendeleo kijiji hicho mabali na fedhe ya babu kwani tayari imesha onyeshwa matumizi yake.
 
Back
Top Bottom