Tanzania kuipita Kenya kiuchumi

Na nini maana ya competition na rivalry?

Au unajifanya kufunga macho?Tunaita ostrich method?

Huwezi fungia macho mambo hayo hapo juu no matter how wanafiki we are!

Kama kawaida yako ya kurukia mada bila kujipanga.
Nimekuona kiwili wili, sijakuona kichwa wala miguu. Njoo tena ukiwa mzima, yaani ukiwa na kichwa, kiwili wili na miguu.
 
Unaona,umekimbilia hadithi!

Jibu hoja yangu acha hadithi wewe....

Hoja yangu ni kwamba,dimension ya "competition" au "rivary" umeiacha wapi?

Maana upende usipende kwenye capitalism kuna hizo dimensions wether you like it or not!

Kujifanya eti tunafanya maendeleo sisi kama sisi bila kumuangilia yeyote ni aina fulani ya unafiki unaonesha hapa!

Haya,kimbilia hadithi tena!

Kwa hiyo wewe unafanya maendeleo kwa kuangalia mwingine?

Hongera kama ni hicho

lakini binafsi naona kujifunza kwa wengine waliofanya vizuri pia ni hekima ya kukusaidia kuendelea, ila si kwa competition or a rivalry.
 
Kwa hiyo wewe unafanya maendeleo kwa kuangalia mwingine?
Hongera kama ni hicho,
lakini binafsi naona kujifunza kwa wengine waliofanya vizuri pia ni hekima ya kukusaidia kuendelea, ila si kwa competition or a rivalry.

karukwa na akili huyo,hiyo profile yake inaongea mengi sana.
 
Professor of wa chuo maarufu nchini Kenya katika mahojiano na kituo cha television cha Citizen amesema baada ya miradi ya Standard Gauge Train na Mwalimu Nyerere Hydro Power Project vikikamilika uchumi wa Tanzania utapanda na kuzidi uchumi wa Kenya.

View attachment 1638127
Nilifikiri mabeberu ni maadui wa Tz😂😂.
 
Wewe unatabia za kike sana. Udaku mwingi. Sasa mbona unachokora twitter handle za watu? Wachana na yeye. Wewe nimekuogopa sana.
Ala!!!Huyu naye huwa si dem.I thought ni He😂😂 Enyewe kanakuwanga na umama sana.
 
Back
Top Bottom