Tanzania kuingia Uchumi wa Kati maana yake nini?

Hivi tuko uchumi wa Kati kweli?
Wiki chache zilizopita Tanzania imetangazwa na World BANK kufikia uchumi wa kati

Kigezo kilichotumika ni pato la mtu mmoja kwa mwaka
Annual Indivual Income au Per Capita Income na imeelezwa kipato cha MTU mmoja kwa mwaka kinakadiriwa kuwa 2.5million

Wananchi wa kawaida ukiwahoji wanasema hela ndo inazidi kuwa ngumu kupatikana

Sasa je kuna ukweli wowote katika hili limekaaje wakuu?!

#Iam Zagarino
 
Hivi tuko uchumi wa Kati kweli?
Wiki chache zilizopita Tanzania imetangazwa na World BANK kufikia uchumi wa kati...
Mkuu hiyo 2.5 m ukiigawanya kwa miezi 12 Kisha siku 30 utapata Kama ahillingi 6000 kwa siku. Je elfu sita kwa siku inatosha hata Milo mitatu kwa siku?
 
Wagaa gaa na upwa tumekuwa Wengi Sana awamu hii, wetu wali mkavu, samaki na nyama wenye V8 za serikali.
 
Nilidhani umetuwekea data hapa kupinga Tanzania kuingia uchumi wa kati kumbe ni porojo tu
 
USAHIHI

Tumeingia UCHUMI WA KATI WA CHINI na si tu "uchumi wa kati"

Wanapima wastani wa pato jumla la taifa kwamba pato la muuza karanga, mpaka pato la kina MO, wastani unaopatikana ndo kipimo
 
Napenda mnijulishe kuhusu hiki kinachoitwa uchumi wa kati.

Ni nini?

Sifa zake ni zipi yaani utajua vipi kuwa nchi fulani uchumi wa kati?
 
Tanzania ya Uchumi wa Kati, Wote tumekuwa tunapiga dili tunashinda vijiweni , stendi n.k

 
Back
Top Bottom