Tanzania kufanya vizuri kwenye Para-olympics Tokyo

Adam-Saffi

JF-Expert Member
Aug 13, 2010
394
305
Ninaamini nchi yetu itafanya vizuri sana kwenye paraolympics. Tuna wabunge, wanasiasa wakiongozwa na honorable Ndungai, Polepole, Gwajima, Tarimba, Mwigulu, Zungu etc hakuna hata haja ya kuwapima maana wana akili ya kuku wote hao. Mheshimiwa Tarmba atasindikizwa na na vigogo wa Yanga, huyu jamaa anafikiri alienda bungeni kuzungumzia Yanga tu. Tunategemea kupata medali 115 according to betting agencies.
 
🤣🤣🤣🤣unatafutwa na police, fika kituo cha eneo ulilopo mapema iwezekanavyo.
Ila msukuma kama ungemtoa hapo, jamaa kidogo anaakili pamoja elimu yake ya darsa la saba.
 
🤣🤣🤣🤣unatafutwa na police, fika kituo cha eneo ulilopo mapema iwezekanavyo.
Ila msukuma kama ungemtoa hapo, jamaa kidogo anaakili pamoja elimu yake ya darsa la saba.
Hawa wabunge wanalipwa mabilioni, hawalipi kodi, bado hawajui kazi zao
 
Back
Top Bottom