Tanzania kubadili mfumo wake wa mawasiliano ya TELEVISION kutoka ANALOGY kwenda DIGITAL

mwanawao

JF-Expert Member
Aug 18, 2010
3,142
5,634
Kutokana na mabadiliko ya teknologia yanavyozidi kukua Tanzania imeazimia kubadili mfumo wake wa mawasiliano ya Television kutoka ANALOGY kwenda DIGITAL ifikapo tarehe 31.12.2012. Kwa taarifa hiyo Watanzania wote watakaopenda kuangalia television itabidi wawe na VING'AMUZI vitakavyo wasaidia kupata mawasiliano hayo. Kwa taarifa hiyo basi kutoka kwa Waziri wa Mawasiliano Mh. Prof. Makame suala la kupata taarifa kwa njia ya television itabidi MTANZANIA alipie kwanza. Kwa hiyo kuanzia tarehe 01/01/2013 kuangalia taarifa kwenye televion haitakuwa bure tena.
 
Back
Top Bottom