jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,951
- 29,532
2016 World Press Freedom Index | Reporters Without Borders
Tanzania bado ni kinara katika uhuru wa habari kwa nchi za Africa mashariki na kati mwaka 2016 kulingana na ripoti ya wataalamu wa habari duniani(na sio makanjanja wanaojiita wahariri ).
Hii ni habari mbaya kwa makanjanja na wazee wa vibahasha wanaojaribu kupotosha umma eti serikali imekataza kurushwa kwa matangazo ya bunge live.
Hili ni pigo kwa vilaza wanaojiita watetezi wa haki za binadamu ambao kwa makusudi wanatetea matumbo yao na badala kujiongeza kwa kusoma wao wanaropoka kwa reference za waandishi makanjanja...
Poleni sana....
UJUMBE WA LEO :
WATANZANIA HAWAHITAJI KUONA BUNGE LIVE BALI WANAHITAJI HOJA ZINAZOISHI (ALIVE)KUTOKA BUNGENI...JINGALAO 2016