Tanzania kila mahali kuna Takataka nchi imeharibika kweli...............

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,082
kp27102012.jpg
 
Suala sio kutupa taka ovyo. Mamlaka husika ina uwezo wa kukusanya 40% only ya taka zinazozalishwa kwa siku. Lakini pamoja na hayo hakuna uwekezaji kwenye kampeni za 3R, reduce, recycle and reuse.
Michael jackson enzi zile alienda dsm na kusema kunanuka akaondoka zake hatukumuelewa, sijui pua zilikuwa zinatunuka pia?
 
Hivi we MziziMkavu unashangaa ya Bongo? Juzi tu hapa tuliona kwenye TV ile hoteli ya Nyota tano pale sea cliff inamwaga kinyesi chake baharini. Huko mitaani ndiyo kabisa ahera.
 
Suala sio kutupa taka ovyo. Mamlaka husika ina uwezo wa kukusanya 40% only ya taka zinazozalishwa kwa siku. Lakini pamoja na hayo hakuna uwekezaji kwenye kampeni za 3R, reduce, recycle and reuse.

Sasa tupo katika 4R - reduce, reuse, recycle and replace; ingawa wengine hiyo R ya nne uwa wanaweka rebuy (purchase of recycled goods).
 
Sisi wenyewe tushajiona au tunajiona takataka ndio maana hata hizo taka za ukweli hatuoni kama ni kero...
 
3086556.jpg

Uwanja wa fisi Manzese

3233304175_f41048acb3.jpg



1596__525x_tandale.jpg


1213718804_kelly_1.jpg


kelly.jpg


Gal_8real%20povrty%20situation%20in%20uru%20shimbwe%20067.jpg


Mji wa Dares-Salaam ulivyokuwa ni Mchafu utafikiri hakuna Viongozi wa Halmashauri ya Jiji? ahhhh Aibu kubwa sana jamani..........
 
Back
Top Bottom