Tanzania Kijiografia imezungukwa na nchi nyingi ila ni kwanini wanaosumbuliwa sana kuhusu Uraia wao ni wa Kigoma na Kagera tu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,927
2,000
Ombi langu kwa Wasumbuaji wa Uraia wa Watanzania

Naomba Siku zingine muwasumbue pia na Watanzania watokao Mikoa ya Mara, Arusha, Kilimanjaro, Rukwa, Mbeya, Ruvuma, Lindi na Mtwara na msiwe mnang'ang'ania tu kwa Watanzania watokao Mikoa hii Miwili ya Watani zangu Wakubwa ya Kigoma na Kagera.

Na bahati mbaya Kwenu ( Watumwaji ) ni kwamba hata huyo anayewatumeni nae Kiasili na kwa 100% siyo Mtanzania kama ilivyokuwa kwa Namba Moja wake na Namba Tatu wake ambao Makabila yao yote Mawili yapo nje ya Mipaka yetu hii ya Tanzania na tunashangaa mnavyohangaika tu Kusumbuka na hawa wengine. au ni kwakuwa Mikoa yao haijatoa Kiongozi Mkuu wa Kikatiba nchi hii?

Inakera na tumechoka sasa.
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
9,674
2,000
Sababu kubwa hapo itakua ni ile hali yao waliyojaliwa na Mwenyezi Mungu ya kujitambua tofauti na hao raia walio wengi wa upande mwingine wa nchi, na pia uwezo wao wa kutofautisha kati ya ukweli dhidi ya uongo, nk.

Nb; uliadimika sasa jamaa yetu hizi siku za katikati! Sijui ulizamia Puerto Rico kwa muda kwa kuogopa hizi timbwili timbwili zetu zisizoisha!!
 
Ze burner

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
512
225

Umeanza na kuonba ukaishia na lawama
Sababu kubwa hapo itakua ni ile hali yao waliyojaliwa na Mwenyezi Mungu ya kujitambua tofauti na hao raia walio wengi wa upande mwingine wa nchi, na pia uwezo wao wa kutofautisha kati ya ukweli dhidi ya uongo, nk.

Nb; uliadimika sasa jamaa yetu hizi siku za katikati! Sijui ulizamia Puerto Rico kwa muda kwa kuogopa hizi timbwili timbwili zetu zisizoisha!!
Umeanza na ombi ukaishia na lawama utapata utapata msaada kweli?
 
HFOOO

JF-Expert Member
Aug 6, 2018
683
1,000
Sababu nchi zilozopakana na mikoa hiyo zilikumbwa sana na machafuko na wakimbizi wengi kujazana mikoa hiyo
Ni kweli ila kumekuwa na kauonevu fulani hiv, mimi hapo Uvinza niliamua kujifanya kama sina ID yeyote na kwa muonekano wangu ni kma jamaa yule atupae zawadi ya ngo'ombe so nilipata matusi hayo na maneno ya ovyo toka kwa maafande hao ila baadae baada mmoja alieoga asubuhi akasema ina maana hata kusoma nucta nundu hamjui tu ndipo kukawa na ubarafu fulani mie huyooooo na safari zangu, so hapo huwa kuna makosa yanafanyika sana hata kudhalilishwa kwa watz wenzetu ambao kwa namna moja au nyingine hata kujieleza ni shida
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,927
2,000
Sababu kubwa hapo itakua ni ile hali yao waliyojaliwa na Mwenyezi Mungu ya kujitambua tofauti na hao raia walio wengi wa upande mwingine wa nchi, na pia uwezo wao wa kutofautisha kati ya ukweli dhidi ya uongo, nk.

Nb; uliadimika sasa jamaa yetu hizi siku za katikati! Sijui ulizamia Puerto Rico kwa muda kwa kuogopa hizi timbwili timbwili zetu zisizoisha!!

Mbona hili Swali lenu la GENTAMYCINE nilikuwa wapi nimeshalijibu tokea Majuzi na bado mnaendelea tu Kuliuliza? Haya nakujibu kwa mara ya mwisho na kwa faida ya wengine kwamba kuna Member Mmoja hivi ( Popoma ) alijijaza mwenyewe katika ' Frame ' na nikampa ' Dozi ' moja Kubwa sana ambapo alishindwa Kupambana nami Jeshi la Mtu Mmoja Daima na akakimbilia kwa Mapilato wa Jamvi hili ( Moderators ) nao bila Ajizi wakanipa Stahiki yangu ya Kutukuka ya Adhabu ya Wiki Nane ( Miezi Miwili ) na Kifungo changu Kimeisha rasmi tarehe 30 Mwezi July 2019.
 
big_in

JF-Expert Member
Sep 26, 2013
4,508
2,000
Ombi langu kwa Wasumbuaji wa Uraia wa Watanzania

Naomba Siku zingine muwasumbue pia na Watanzania watokao Mikoa ya Mara, Arusha, Kilimanjaro, Rukwa, Mbeya, Ruvuma, Lindi na Mtwara na msiwe mnang'ang'ania tu kwa Watanzania watokao Mikoa hii Miwili ya Watani zangu Wakubwa ya Kigoma na Kagera.

Na bahati mbaya Kwenu ( Watumwaji ) ni kwamba hata huyo anayewatumeni nae Kiasili na kwa 100% siyo Mtanzania kama ilivyokuwa kwa Namba Moja wake na Namba Tatu wake ambao Makabila yao yote Mawili yapo nje ya Mipaka yetu hii ya Tanzania na tunashangaa mnavyohangaika tu Kusumbuka na hawa wengine. au ni kwakuwa Mikoa yao haijatoa Kiongozi Mkuu wa Kikatiba nchi hii?

Inakera na tumechoka sasa.
Kambi zawakimbizi zipo huko kwenu hata wewe ni mkimbizi
 
chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
4,951
2,000
Ni kweli ila kumekuwa na kauonevu fulani hiv, mimi hapo Uvinza niliamua kujifanya kama sina ID yeyote na kwa muonekano wangu ni kma jamaa yule atupae zawadi ya ngo'ombe so nilipata matusi hayo na maneno ya ovyo toka kwa maafande hao ila baadae baada mmoja alieoga asubuhi akasema ina maana hata kusoma nucta nundu hamjui tu ndipo kukawa na ubarafu fulani mie huyooooo na safari zangu, so hapo huwa kuna makosa yanafanyika sana hata kudhalilishwa kwa watz wenzetu ambao kwa namna moja au nyingine hata kujieleza ni shida
hapa jirani kuna dada fulani katokea Kigoma, tulipoenda kujiandikisha NIDA mimi nilikuwa na document za kawaida tu zinazohitajika, ila yeye wakamuambia pamoja na mahitaji ya kawaida anatakiwa pia awasilishe na vyeti vya kuzaliwa vya wazazi wake wawili
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,927
2,000
Kambi zawakimbizi zipo huko kwenu hata wewe ni mkimbizi

Mimi nikiwa Mkimbizi kwahiyo unakiri hapa hapa kuwa kumbe hata Rais wako wa Kwanza nae ni Mkimbizi kwani Mimi ni Kabila lake kwa 100% na ambao Kiasili kabisa ni wa Watutsi kutoka nchini Rwanda. Kwahiyo Tanzania mlikubali Kuongozwa na Mtutsi Mzanaki? Na si huyo tu mbona Namba Tatu ( 3 ) baada ya Mwalimu nae Kiasili ni wa kutokea nchini Malawi? Mbona na Yeye hamumsumbui kama mnavyowasumbua hawa wa Kigoma na Kagera tu? Na mwisho kabisa kwa Kukusaidia najua kwa Akili yako ndogo uliyonayo utakuwa hujui kuwa karibia 99% ya Makabila yote 150+ yaliyopo Tanzania ni ya Wakimbizi tupu kasoro tu Wagogo. Ukipata muda nenda pale Maktaba ya Taifa mkabala na Mahakama ya Kisutu mwombe Mkutubu ( Librarian ) yoyote pale akupe Kitabu Kikubwa Cheusi chenye Historia nzima ya Makabila ya Tanzania na Chimbuko lake. Mbona hata huyu Namba Tano ( wa sasa ) nae Kiasili ni Msubi na Wasubi wanajulikana wanatokea nchini Burundi lakini hamsemi na wala UHAMIAJI hawamsumbui?
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,927
2,000
hapa jirani kuna dada fulani katokea Kigoma, tulipoenda kujiandikisha NIDA mimi nilikuwa na document za kawaida tu zinazohitajika, ila yeye wakamuambia pamoja na mahitaji ya kawaida anatakiwa pia awasilishe na cheti cha kuzaliwa cha wazazi wake wawili

Walimuonea mno na nimesikitika kulisikia hili Mkuu.
 
EvilSpirit

JF-Expert Member
Jun 15, 2017
6,434
2,000
yaani hamna UZI wako ambao hujitajitaji kwani upo humu JF kujiuza kila siku tu girlmysin,girlmysin acha upumbavu mtu mzima
 
MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
5,474
2,000
Mbona hili Swali lenu la GENTAMYCINE nilikuwa wapi nimeshalijibu tokea Majuzi na bado mnaendelea tu Kuliuliza? Haya nakujibu kwa mara ya mwisho na kwa faida ya wengine kwamba kuna Member Mmoja hivi ( Popoma ) alijijaza mwenyewe katika ' Frame ' na nikampa ' Dozi ' moja Kubwa sana ambapo alishindwa Kupambana nami Jeshi la Mtu Mmoja Daima na akakimbilia kwa Mapilato wa Jamvi hili ( Moderators ) nao bila Ajizi wakanipa Stahiki yangu ya Kutukuka ya Adhabu ya Wiki Nane ( Miezi Miwili ) na Kifungo changu Kimeisha rasmi tarehe 30 Mwezi July 2019.
Karibu tena Mkuu nilidhani umetekwa
 
Mtoto wa Baba

JF-Expert Member
Sep 1, 2018
3,033
2,000
Sababu kubwa ni kuwa na wakimbizi maeneo hayo tofauti na mikoa kama , Kilimanjaro, Arusha, Mara, Mbeya, Mtwara n.k ambako hakuna wakimbizi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom