- Thread starter
- #41
Ok
Pia hata kenya wanajadili watanzania. Na wao unawaambiaje kwenye forum zao?
By the way Kenya au Tanzania wakijadili inakuathiri au inaathiri nn?
Yaani sawasawa na kelele za mbu nje ya neti. Ila kelele za mbu ndani ya neti zikimsumbia mhusika atajijua
Sina hakika kama uliisoma mada yote. Ila katika bandiko lile kuna haya:
"Kwamba Tanzania kama nchi ina vigezo vyake vya kuwahami au kutowahami raia wake (au kwa kujifariji tu) dhidi ya ugonjwa mbaya wenye kuambukiza na hata kuuwa." Kwanini hilo liwe subject of any discussion in Kenya likihusisha watu wenye akili zao?
Ngoswe anaweza kuwa Tanzania au Kenya. Ngoswe na aachiwe yake ndiyo msingi wa hoja labda kama wewe hudhani hivyo.
Majukwaa ya Kenya, Burundi, Bosnia au Tasmania yananihusu nini mimi?
Pili pili msizozila vipi ziwawashe?