Tanzania 🇹🇿 keeping on monopolizing state of art medical 😷 services in the region 🌍

Sasa kuna kifaa gani hatuna?
Hata hospitals nzuri zaidi hata hii tunazo nyingi tu that's why I said we are keeping monopolizing the service sio kama ndio tunaanza

Hamna hio Pet Scanner nimetaja. It's only available in Nairobi this region.
 
20 Billion?
That's KSh 1 billion. The cost of one PET Scanner.

Hospitali sio majengo.
Kuna watu humu ukiona wafungua thread hata usijisumbue. Mtu ataokota random tweet from a random person akitweet 'aboard a public bus in Tanzania' na kufungua thread nayo eti, 'Tanzania has the best infrastructure in Africa'. Hawa majamaa ni vichekesho tu.:D:D:D:D
 
Onyesha Government hospital yenu yenye PET Scanner

It doesn't matter whether it's public or private.
Kenya has a very vibrant private sector unlike communist Tanzania.

Medicare ranked in East Africa is as follows.

1. Kenya private hospitals
2. Kenya public hospitals
3. Kenya mission hospitals
4. Tanzania public hospitals
etc.

Kenya is ahead of you in everything, and you can Google to confirm.

Doctor to patient ration
Doctor salaries
Equipment in hospitals

Kenya is also better in the following: (signs of better healthcare system)

Child mortality rate
Life expectancy
 
Unamatatizo ya akili wewe sio bure, Sisi hapa tunazungumzia public services ambazo ni accessible kwa majority of citizens wewe unazungumzia private hospitals ambazo hazipo accessible for majority. Hivi unajua concept ya Obama care vs Trump health policy?.
Acha ujinga wewe wa kuzungumzia mishahara mikubwa wakati ambapo tume yenu ya utumishi imetoa mapendekezo ya kupungunguza mishahara ya watumishi wa serikali ambao wanatumia 52% ya mapato ya nchi wakati ni 2% ya wananchi wote.

Ili kujua kwamba Tanzania ipo mbali sana ya Kenya katika kutoa huduma bora za Afya kwa wananchi wa kawaida
1)Tanzania inapokea wagonjwa wa moyo toka nchi mbalimbali ikiwemo Kenya, na ndiyo nchi pekee ambayo haipeleki tena wagonjwa wa moyo nje ya nchi.
2)Tanzania ina the biggest cancer Hospital in east and central Africa inayopokea wagonjwa toka nchi mbalimbali ikiwemo Kenya, matibabu ya cancer ni free of charge (Wakenya wamejazana wamekimbia gharama huko Kenya)
3)Tanzania has the most ultramodern teaching Hospital in the region
4)Tanzania has many medical schools in East Africa
5)Tanzania produces 1000 while Kenya produces 700 medical Doctors per year
 
Mada ni 'Tanzania monopolozing healthcare'.

Ukweli ni kwamba Tanzania iko nyuma miaka 20 ya Kenya. Tanzania iko na hospitali moja mbili nzuri, ilhali Kenya iko na hospitali 47 nzuri.
Kila hospitali ya kaunti Kenya iko na vifaa vinavyopatikana tu kwenye hospitali kubwa Tanzania.
Enda usome kuhusu 'Government equipment leasing programme'.

At the end of the day, we will be judged by results. You cannot come here claiming Bongolala has better healthcare, yet you are leading in maternal deaths, infant mortality rate, and have the lower life expectancy.
Hospitali zenu ni majengo tu.

And then, Kenya has a better doctor to patient ratio. Our doctors are paid much better than yours. They are also much better trained.
Tanzania is producing 1000 substandard doctors while Kenya is producing 700 well trained doctors. Explains why Kenyan doctors are a hot commodity in more developed countries like South Africa and the UK. Just like Kenyan pilots in the middle east.

One more thing. Our health budget is almost double your health budget. You're just a very poor LDC.
 
Typical failed state argument, Indian doctors are paid less than what Kenyans doctors are paid, yet wakenya hujazana kwenda kutibiwa India na India has the best care health services.

Kenya ina budget kubwa ya kilimo kuliko Tanzania, yet Tanzania produces more food than Kenya. Kenya has bigger budget ya infrastructure, lakini imeshindwa kujenga hata kilometer moja ya SGR wakati Tanzania hadi sasa imeshatenga pesa zaidi ya $3.2B. Acha upumbavu wako wa kulinganisha majeti kubwa na ubora wa huduma.

Kenya is a failed state, that's why mumejenga Nairobi - Mombasa umbali wa KM 472 kwa pesa mara mbili zaidi ya ile tunayojenga huku pamoja na kwamba our railway is more superior than yours. Kumbuka zaidi ya 30% ya bajeti yenu inaishia kwenye rushwa.

Tanzania is far ahead o public medical services, that's why many citizens form Kenya and other countries are coming to Tanzania searching for better and affordable medical care, Tanzania will still dominate this sector for many years to come
 
Public hospital zenu.. Hazifikii hata robo ya public hospital za Tanzania ...
 
Let me reply to your bs in simple point form.

1. Indian doctors don't earn less than Kenyan doctors. Also India has more speciliazed doctors and better equipment.

2. Infrastructure is not just SGR you dimwit. Kenya with a smaller land mass has more km of tarmac than bongolala. For every kilometer you are building currently, Kenya is building 5km.
Also, SGR is being built with a loan, not donation. Learn to differentiate. It is Kenyan money that will pay for the loan.

3. Tanzania haijajenga SGR. Mkimaliza hio yenu mwaka 2030, utaleta data hapa tulinganishe gharama.

4. Which citizens of Kenya. Don't use reverse bs. Tanzanians and Ugandas have been flocking to Nairobi since independence for medical care. Kenya is your India.
 
Life expectancy ya Kenya vs Tanzania is How many years,
Please tell us.
 
Point no.3. Ujenzi wa SGR unaoendelea huku kwetu pesa inayotumika imetoka wapi?

Point no.4, nimekupa ushahidi wa article kuonyesha wakenya wanaovuka mpaka kuja kutibiwa Tanzania, Tafadhali onyesha ushahidi kama watanzania wanakuja Kenya kutafuta huduma ktk public Hospitals.

Point no. 2, nitajie nchi yoyote yenye uchumi imara inayokopa kujenga reli yake
 
Ukitaka kujua ukweli uliza msanii ommy dimpoz vile bongo kuna hospitali nzuri afrika nzima. Huyu mtoto wa watu karibu auliwe na matabibu wa huko na mshtuko bhana. Walimwarifu kwamba anaugua saratani ya koo ila alipowahi mombasa Kenya gavana joho ndiye alimshughulikia na daktari walipompima waligundua kwamba alikuwa amekunywa sumu ila hajui nani alimtilia. Alipoenda afrika kusini alifahamishwa vivyo hivyo eti ni sumu na mwishowe akafanyiwa operesheni ya koo. So ironical. Misdiagnosis in the 'best hospital 'in Africa
 
Hahahaha, hatuzungumzii individual cases, hebu meza hii japo ni chungu
Why cases of misdiagnosis are on the rise
 
Back
Top Bottom