Tanzania; katika world happiness report 2021

Haukona nchi ilivyokuwa inamlilia shujaa wetu wa Africa ? Unategemea furaha itokee wapi
Kaifanyia nini Africa? Ilihali kaiacha nchi (Tanzania) imechakaa sababu ya ukichaa wake.
Yule alikuwa shujaa wa Chato tu, ambako walineemeka pakubwa na mambo ya ovyo ya Magufuli.
 
Propaganda hizi, Tanzania inashindwaje na nchi kama USA kwa mfano..., kila siku wamefungiwa ndani kama kuku wa kisasa, furaha wanatoa wapi?
 
Back
Top Bottom