Tanzania; katika world happiness report 2021

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,726
10,019
'Tanzania bado tuko njia sahihi'. Sijui kama bado tuko njia sahihi.

Kama ilivyo ada kila mwaka hutolewa takwimu kuonyesha kiwango cha furaha duniani kulingana na nchi.

Katika takwimu ya mwaka 2021 ya nchi zenye furaha zaidi duniani Finland imeendelea kuwa nchi bora kabisa kuishi na kuendelea kutetea nafasi yake. Tazama ....
Screenshot_20210821-191931_1629563936733.jpg

Bado nasikitika kuona Tanzania ikiwa moja ya nchi isiyokuwa na furaha kwa raia wake tena hata furaha iliyopo ni chini ya kiwango pamoja na baraka tulizojaliwa.

Hizi chini ni baadhi ya nchi zilizoshika mkia kwa ukosefu wa furaha duniani kati ya nchi 153.

Tanzania yakamata 6 bora toka mkiani. Tujipongeze tafadhali
Screenshot_20210821-191951_1629563875248.jpg

Screenshot_20210821-191913_1629563987342.jpg

_worldhappiness.report
 
'Tanzania bado tuko njia sahihi'. Sijui kama bado tuko njia sahihi.

Kama ilivyo ada kila mwaka hutolewa takwimu kuonyesha kiwango cha furaha duniani kulingana na nchi.

Katika takwimu ya mwaka 2021 ya nchi zenye furaha zaidi duniani Finland imeendelea kuwa nchi bora kabisa kuishi na kuendelea kutetea nafasi yake. Tazama ....View attachment 1902009

Bado nasikitika kuona Tanzania ikiwa moja ya nchi isiyokuwa na furaha kwa raia wake tena hata furaha iliyopo ni chini ya kiwango pamoja na baraka tulizojaliwa.

Hizi chini ni baadhi ya nchi zilizoshika mkia kwa ukosefu wa furaha duniani kati ya nchi 153.

Tanzania yakamata 6 bora toka mkiani. Tujipongeze tafadhaliView attachment 1902013
View attachment 1902021

_worldhappiness.report
Wewe hujui kuwa tulikuwa na msiba wa mafuta,hiyo furaha itatoka wapi sasa.
 
hahaha mpka wa haiti ambao majanga kwao ni kila siku wametuzd ...na ukifatilia utaujua ukweli, wala huna haja yakuzunguka nchi nzma kutafiti, we ingia tu mitandaon kuanzia fb, twitter na humu ndan, utagundua kuwa kila siku furaha wa watz inapungua,.na hili chanzo kikuu ni Serkali na system zake mbovu ambazo ndzo znawafanya watu wakose amani na furaha.

mfano kuna mifumo ya elimu, afya, ni hovyo kias kwamba unamkuta mtu anakosa haki yake ama huduma muhimu sabbu ya mifumo mibovu, mtu anakosa elimu ya juu sabbu ya upuuzi wa elimu ya juu ktk kudahiri, yaani mwanafunz anakosa elimu ya kidato cha kwanza, kisa mifumo mibovu ya elm ktk kuhakikisha idadi ya wanafunz wana imudu kulingana na miundombinu ya madarasa na idadi ya shule, wengine wanaishia kubakizwa nyumban kisa shule haina madarasa ama umbali, mtu anakosa haki ya matibabu ijapokuwa ana bima ya afya lkn anakosa baaz ya huduma na madawa kwa kulazmshwa kununua sasa bima ya nini? kwa mambo haya utategemea watu wawe na furaha? ama vinyongo?...Tz tutaimaliza tukiwa tumechoka sana yaan....
 
Hizi riport hazina uhalisia, mwaka 2009 na 2010 nilifanya Kama surveyor and supervisor....Cha ajabu vijana wanachukua pesa za kwenda mikoani kukusanya maoni hawaendi wanabaki dar kujaza questionnaire au wanafika mijini wanahoji watu wawili watatu wanarudi dar..wakifika majumbani mwao wanajaza hizo questionnaire... hiyo riport sio ya kuaminika watu hawaojiwi kabisa..

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Haihitaji povu jiiingi !!! Jiangalie ulivyo utapata jibu !! Kiukweli watz wanwchoka sana tusifarijiane
 
Back
Top Bottom