I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,726
- 10,016
'Tanzania bado tuko njia sahihi'. Sijui kama bado tuko njia sahihi.
Kama ilivyo ada kila mwaka hutolewa takwimu kuonyesha kiwango cha furaha duniani kulingana na nchi.
Katika takwimu ya mwaka 2021 ya nchi zenye furaha zaidi duniani Finland imeendelea kuwa nchi bora kabisa kuishi na kuendelea kutetea nafasi yake. Tazama ....
Bado nasikitika kuona Tanzania ikiwa moja ya nchi isiyokuwa na furaha kwa raia wake tena hata furaha iliyopo ni chini ya kiwango pamoja na baraka tulizojaliwa.
Hizi chini ni baadhi ya nchi zilizoshika mkia kwa ukosefu wa furaha duniani kati ya nchi 153.
Tanzania yakamata 6 bora toka mkiani. Tujipongeze tafadhali
_worldhappiness.report