Tanzania Karne ya 21;Wasichana mfunike miili yenu msije mkabakwa

mmakonde

JF-Expert Member
Dec 26, 2009
965
66
3.JPG
 
Dr Thomas Kashilila wa bunge akijibu maswali kwa wasichana bikira wa kiislam !!!
 
Nani aliyekwambia ni bikra hao?

tena hao ndo wanatoa hadi kusikotakiwa hao. barabarani wanavaa ushungi, wakipiga chemba, wanajisasambua kitangatanga hadi mwisho.tatizo lako wewe mtoa mada ni roho ya kubakabaka iliyokujaa, aliekwambia kila atakayemwona mwanamke hajavaa kama unavyofikiri wewe atatamani kubaka ni nani? kuna mtu duniani hapa anapenda kubaka mtu?..utapata raha gani kumwingilia mwanamke wakati hajajiandaaa na hatoi ushirikiano?...

tatizo lenu, mnakuwa na imani potofu kuwa, dhambi inakaa mwilini, kumbe dhambi inakaa rohoni. hata ukivaa nguo ya chuma mwili mzima ukaacha vijicho tu, kama rohoni unasukumwa kuzini utazini tu na minguo yako ya minyororo.
 
Bikira....? phew
akawaulize wakienda madrassa wanafanyiwa nini na walimu wao wa madrassa!
 
jamani hao mabinti wanaonekana ni wema kabisa hata sura zao zinaonyesha. ni sahihi walivyoambiwa hivyo na huyo mheshimiwa.
 
we umejuaje ni bikra hao. Huo ni mfuniko tu, usdhani ndani
kuna nyama ukaja kuta maharage na yamechacha
 
Dr Thomas Kashilila wa bunge akijibu maswali kwa wasichana bikira wa kiislam !!!

Mmakonde, mbona unawakosea heshima watoto wa watu? Hawa wanaonekena bado ni watoto (kwa kuwaangalia) na pia kwa mantiki kwamba bado wanasoma shule ya msingi. Kama wewe ni mzazi ungejisikiaje endapo picha yenye mtoto wako ingepewa maelezo kama hayo? Pia suala la dini hapo limeingiaje? Naomba sana tujitahidi kutumia lugha yenye heshima kwa watoto na watu wengine ambao wanastahili heshima kutoka kwenye jamii.
 
tena hao ndo wanatoa hadi kusikotakiwa hao. barabarani wanavaa ushungi, wakipiga chemba, wanajisasambua kitangatanga hadi mwisho.tatizo lako wewe mtoa mada ni roho ya kubakabaka iliyokujaa, aliekwambia kila atakayemwona mwanamke hajavaa kama unavyofikiri wewe atatamani kubaka ni nani? kuna mtu duniani hapa anapenda kubaka mtu?..utapata raha gani kumwingilia mwanamke wakati hajajiandaaa na hatoi ushirikiano?...

tatizo lenu, mnakuwa na imani potofu kuwa, dhambi inakaa mwilini, kumbe dhambi inakaa rohoni. hata ukivaa nguo ya chuma mwili mzima ukaacha vijicho tu, kama rohoni unasukumwa kuzini utazini tu na minguo yako ya minyororo.
Hapo kwenye red ni chuki binafsi au?????? Yaani hukuweza kutoa point yako hadi kwanza udhalilishe watu???????? Halafu unajaribu kuongea kitu gani hapo kwenye bluu. Hivi inahitajika kila mtu aathirike ili tatizo liwe tatizo gr8 thinker?????
 
Dr Thomas Kashilila wa bunge akijibu maswali kwa wasichana bikira wa kiislam !!!

Kwa kuwa haukutuambia maudhui hasa ya habari yako na reserve comment yangu. Ila najiuliza hilo suala la bikra ulilipata wapi au ni moja kati ya maudhui uliyotuficha. Kwa kifupi haueleweki
 
Nana kakambia hawajavaa vimini? Mbona hawajaonyesha kwa chini walichovaa? yawezekana wana makufuri tu au vimini vinavyozidi vya mtaani. Hahahahahahaaaa
 
Huu ni utamaduni wa wamanga siyo wetu. Mambo ya ushungi ni mambo ya wamanga. Ushungi ukivaa kwenye nchi ya joto kama bongo si unalowa jasho mwili mzima? Na ukimvulia mume wako huo ushungi si anaweza kuanguka kutokana na hiyo harufu ya jasho na kwapa? Tuacheni kuiga tamaduni za watu hata kama hazina faida.
 
Naomba kuuliza tu swali, hivi siku hizi mabinti zetu utembea barabarani wakijitangaza kwamba wao ni mabikira? Huu ni utamaduni wa wapi tena? hivi ni utamaduni wa kidini au? Na kama ni utamaduni mpya umeanzishwa basi napo nijue jamani. Maana sioni mantiki ya viongozi wetu kushinda wanatembelewa na mabinti wanaojitangaza wao ni mabikira. Nina imani wako mabinti ambao ni mabikira wengi tu humu nchini hata kama hawajajitangaza TBC au ITV. Hii ni heshima kwao na kwa wazazi wao na kwa waume wao watarajiwa na Mungu aliye hai. Sio hawa wasanii ambao hata hatuna hakika nao maana hakuna aliyewahakiki.
Naomba mnisaidie jamani.
 
mbona hamna huruma kwa watoto wa watu.jua lilivyo kali na unalazimishwa kujifunga kama ninja.ukisikia jambo limepitw na wakati,mfano mzuri unao hapa
 
Back
Top Bottom