Tanzania kaponea on 20:1: Amin Tanzania Kagera invasion

Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
58,301
2,000
Ndio nashangaa! Ila kinachoshangaza zaidi ni wale ambao wamekuwa wakijivunia kwa miongo minne. Eti kwamba waliishinda hiyo brigade moja tu kwenye vita, tena na vikosi vya nchi zaidi ya mbili, Tan&Znz, alafu ongeza juu yake wanamgambo sijui wa kutoka wapi na wapi.
That number is ridiculously fake. Plus, you did not count the Libyans at all. Don't rain on their parade of valor. Don't shortchange their mischievous chivalry.
 

nyabhera

JF-Expert Member
Nov 25, 2011
625
1,000
Vita vya Kagera lazima Amin angeshindwa maana Waganda wenyewe walikua wamemchoka hawamtaki, hivyo wakaruhusu nchi yao ikojolewe na jirani, ukizingatia pia maelfu ya waasi na wafuasi wapiganaji wa Museveni, Tito Okello na wale wa Ojok waliungana na jeshi la Tanzania, na pia kunao wapiganaji kutokea Msumbiji wote pia walihusika dhidi ya nduli Amin.

Halafu wengi wa wanajeshi wa Amin walikua majizi, hawakua na uzalendo, hawangepigana hadi mwisho, walitaka fursa za kuiba tu, bora hata wale wa Hitler ambao walizingua kishenzi, hawa wa Amin walikimbia uwanja wa mapambano baada ya kupora.
War is politics. Ukiwa na siasa nzuri utashinda vita 1000. Vita ni game kutengeneza uungwaji mkono.
 

stormryder

JF-Expert Member
Mar 23, 2013
1,230
2,000
Idd amin aliiteka kagera then nyerere akakwara Uganda yote na mpaka leo jwtz ndio jeshi pekee Africa ambalo liliteka mji mkuu wa nchi nyingine

KDF dhaifu walifanyiwa ambush ya nusu saa wakauwawa 500 na kuliwa tigo juu
Sio tu mji mkuu, ikakaa miaka 3, kama Colonial master tukiwafundisha waganda
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom