Tanzania kama Taifa tisipepese macho tuupinge ushoga na usagaji. Heri tukose misaada ya mashoga na wasagaji kuliko kulaaniwa na mwenyezi Mungu

You wanna combat a global malady? You need to fight SMART! Sio unaingia mpambano kichwakichwa tu na makelele mengi kama unashabikia mechi za mchangani. Waliowahi kumsikiliza Uhuru Kenyatta akiwajibu CNN kuhusu haki za mashoga Kenya kuna kubwa la kujifunza. CNN wenyewe walimvulia kofia baada ya kushindwa kulazimisha hoja ya kumkubalisha kuwa Kenya kuna “suala” la mashoga. Sasa kwetu, kiongozi kaishia kukiri mwenyewe kuwa mashoga wanakubalika nchini - wasiwe na wasiwasi! Kesha sahau kuwa kwa sheria za nchi ushoga ni jinai. How dumb!
 
Kama laana wanalaaniwa nchi zinazo kubali ushoga basi laana nzuri,kwani zote ni nchi zilizoendelea na za dunia ya kwanza
Tusimsingizie Mungu kila mapungufu yetu,ingawa tabia hii ni kinyume na tamaduni na silka za Kitanzania
Kwa akili yako, unadhani laana inahusiana na hicho unachoiita maendeleo, kuendelea kwa mtu ni suala relative, sisi hujui tuko salama zaidi yao, marekani vimbunga kila siku, mijitu inatwangana risasi, magaidi wanawinda kosa moja wanapigwa, Cancer ina waandama, je sisi huoni tuko salama zaidi...?
 
Tanzania Kama yalivyo mataifa mengine ya Afrika tunajitambua na kujitofautisha na mataifa mengine ya magharibi Kwa kuwa na Mila, tamaduni Na desturi za kistaarabu zinazoweka mipaka ya mahusiano ya jinsi Na jinsia. Kiafrika ni mwiko na laana mwanaume Kwa mwanaume ama mwanamke Kwa mwanamke kuwa na mahusiano ya kimapenzi. Sisi kwetu mahusiano sahihi ni kati ya mwanaume Na mwanamke Na tena wasio Ndugu.

Utamaduni wa mahusiano ya jinsi Na jinsia moja ni uchafu Na dhambi Na laana Mbele za Mwenyezi Mungu. Ni utamaduni wa kimagharibi waliokwisha laaniwa siku nyingi wansubiri kwenda motoni tu.

Inauma Na kushangaza sana kuina eti kweli makonda amekosa sapoti ya watanzania kupinga ushenz na uchafu huu ambao ni wazi unatychafua kama Taifa.

Nilitegemea viongozi wa sink na Watu wrote wenye dhamana ya malezi ya kiroho waungane na Makonda kupigana vita hii takatifu. Chaajabu Makonda ameonekana mzushi tu na mtafuta kiki kwa kuanzisha vita hii.

Ni rai yangu kuwa hata kama si kupitia agenda ya Makonda, sisi kama Taifa tunao wajibu wa kukilinda kizazi kijacho cha Taifa hili dhidi ya ushoga na usagaji.

Ni wito wangu kwetu sote tuamke tumbane na hii vita. Potelea mbali tukose misaada michafu yenye laana kutoka Kwa mashoga na masagaji lakini tuilinde heshima yetu ya kiafrika na pia tujiepushe na laana ya Mwenyezi Mungu.

Kupitia hapa, nimetimiza wajibu wangu na nimenawa mikono yangu si miongoni mwa ya wale watakaohukumiwa Kwa kunyamaza kimya wakati sodoma na ghomora ikilinyemelea Taifa letu.

Karibu nawe utimize wajibu wako Kwa kupaza sauti hapa.

Ushoga na usagaji haukubariki Tanzania na Afrika Kwa Ujumla. Kama wanataka wakulane wenyewe huko huko sheeeeeeeeeiiiiiiinz!
Ni wito wangu kwetu sote tuamke tumbane na hii vita. Potelea mbali tukose misaada michafu yenye laana kutoka Kwa mashoga na masagaji lakini tuilinde heshima yetu ya kiafrika na pia tujiepushe na laana ya Mwenyezi Mungu.

UMASIKINI NI LAANA KUBWA KULIKO ZOTE , UKIKOSA KUJIUNGA NA MUOVU KWENYE UOVU WAKE BASI HUTOWEZA KUMKEMEA KAMWE
 
Nchi yetu inalaana ya milele daima. taifa lolote lile linalokimbiza moto lina laana kwa mujibu wa vitabu vya kiimani.
 
Back
Top Bottom