Tanzania kama Taifa tisipepese macho tuupinge ushoga na usagaji. Heri tukose misaada ya mashoga na wasagaji kuliko kulaaniwa na mwenyezi Mungu

MJENGA

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
884
848
Tanzania Kama yalivyo mataifa mengine ya Afrika tunajitambua na kujitofautisha na mataifa mengine ya magharibi Kwa kuwa na Mila, tamaduni Na desturi za kistaarabu zinazoweka mipaka ya mahusiano ya jinsi Na jinsia. Kiafrika ni mwiko na laana mwanaume Kwa mwanaume ama mwanamke Kwa mwanamke kuwa na mahusiano ya kimapenzi. Sisi kwetu mahusiano sahihi ni kati ya mwanaume Na mwanamke Na tena wasio Ndugu.

Utamaduni wa mahusiano ya jinsi Na jinsia moja ni uchafu Na dhambi Na laana Mbele za Mwenyezi Mungu. Ni utamaduni wa kimagharibi waliokwisha laaniwa siku nyingi wansubiri kwenda motoni tu.

Inauma Na kushangaza sana kuina eti kweli makonda amekosa sapoti ya watanzania kupinga ushenz na uchafu huu ambao ni wazi unatychafua kama Taifa.

Nilitegemea viongozi wa sink na Watu wrote wenye dhamana ya malezi ya kiroho waungane na Makonda kupigana vita hii takatifu. Chaajabu Makonda ameonekana mzushi tu na mtafuta kiki kwa kuanzisha vita hii.

Ni rai yangu kuwa hata kama si kupitia agenda ya Makonda, sisi kama Taifa tunao wajibu wa kukilinda kizazi kijacho cha Taifa hili dhidi ya ushoga na usagaji.

Ni wito wangu kwetu sote tuamke tumbane na hii vita. Potelea mbali tukose misaada michafu yenye laana kutoka Kwa mashoga na masagaji lakini tuilinde heshima yetu ya kiafrika na pia tujiepushe na laana ya Mwenyezi Mungu.

Kupitia hapa, nimetimiza wajibu wangu na nimenawa mikono yangu si miongoni mwa ya wale watakaohukumiwa Kwa kunyamaza kimya wakati sodoma na ghomora ikilinyemelea Taifa letu.

Karibu nawe utimize wajibu wako Kwa kupaza sauti hapa.

Ushoga na usagaji haukubariki Tanzania na Afrika Kwa Ujumla. Kama wanataka wakulane wenyewe huko huko sheeeeeeeeeiiiiiiinz!
 
Wanaanza wanafki Sana nilivyoona wamemdharau makonda kwenye Vita ya madawa ya kulevya sikustaajabu Sana nikajua tu nguvu ya pesa chafu ilipotosha ukweli kwenye media likaja hili la ushoga hapa ndio nimeshangaa Sana kuona wanapinga hatua ambazo makonda alitaka kuchukua..lakini najua ipo siku tu acha wao wapige kelele mitandaoni
 
Kama laana wanalaaniwa nchi zinazo kubali ushoga basi laana nzuri,kwani zote ni nchi zilizoendelea na za dunia ya kwanza
Tusimsingizie Mungu kila mapungufu yetu,ingawa tabia hii ni kinyume na tamaduni na silka za Kitanzania
 
Yapo mengi ambayo siyo utamaduni wetu; mosi kutekana, siasa za kukomeshana, kupigana risasi mchana, kutishiana, waafrika tulikuwa tunaogopa mizimu ila sasa tunaogopa watu walioshika bunduki na risasi za moto?

Kwanza maandiko yanasema: amelaaniwa alalaye na mtu mume mfano wa mke aidha hata alalaye na mnyama.. siyo nchi imelaaniwa?

Yapo mengi yafanyayo nchi zetu kupoteza utukufu mbele za Mungu na siyo ushoga tuu; kaulize hata haki ya mpiga kura kupokwa kwani siyo laana?

Sitetei ushoga ila kuna vitu vingi vinavyofanya watu wasijali utu wao mathalani ufukara, kutaka umaarufu, kutothaminiwa na nchi yao ndo maana utasikia vijana wakisema bora kuwa mbwa ulaya kuliko.......?
 
Makonda analetaga vitu vizuri sema ile first impression ndo inawasumbua watu. Ila hata ukichukia kazi yake na kuipinga haikusaidii kuondoa tatizo,bora tuungane nae katika kupambana na hii tabia
 
Tanzania Kama yalivyo mataifa mengine ya Afrika tunajitambua na kujitofautisha na mataifa mengine ya magharibi Kwa kuwa na Mila, tamaduni Na desturi za kistaarabu zinazoweka mipaka ya mahusiano ya jinsi Na jinsia. Kiafrika ni mwiko na laana mwanaume Kwa mwanaume ama mwanamke Kwa mwanamke kuwa na mahusiano ya kimapenzi. Sisi kwetu mahusiano sahihi ni kati ya mwanaume Na mwanamke Na tena wasio Ndugu.

Utamaduni wa mahusiano ya jinsi Na jinsia moja ni uchafu Na dhambi Na laana Mbele za Mwenyezi Mungu. Ni utamaduni wa kimagharibi waliokwisha laaniwa siku nyingi wansubiri kwenda motoni tu.

Inauma Na kushangaza sana kuina eti kweli makonda amekosa sapoti ya watanzania kupinga ushenz na uchafu huu ambao ni wazi unatychafua kama Taifa.

Nilitegemea viongozi wa sink na Watu wrote wenye dhamana ya malezi ya kiroho waungane na Makonda kupigana vita hii takatifu. Chaajabu Makonda ameonekana mzushi tu na mtafuta kiki kwa kuanzisha vita hii.

Ni rai yangu kuwa hata kama si kupitia agenda ya Makonda, sisi kama Taifa tunao wajibu wa kukilinda kizazi kijacho cha Taifa hili dhidi ya ushoga na usagaji.

Ni wito wangu kwetu sote tuamke tumbane na hii vita. Potelea mbali tukose misaada michafu yenye laana kutoka Kwa mashoga na masagaji lakini tuilinde heshima yetu ya kiafrika na pia tujiepushe na laana ya Mwenyezi Mungu.

Kupitia hapa, nimetimiza wajibu wangu na nimenawa mikono yangu si miongoni mwa ya wale watakaohukumiwa Kwa kunyamaza kimya wakati sodoma na ghomora ikilinyemelea Taifa letu.

Karibu nawe utimize wajibu wako Kwa kupaza sauti hapa.

Ushoga na usagaji haukubariki Tanzania na Afrika Kwa Ujumla. Kama wanataka wakulane wenyewe huko huko sheeeeeeeeeiiiiiiinz!
Ni sawa unalo sema.....ila tunachangamoto kubwa, zinazo tukabili kuliko ya ushoga, vipaumbele vyetu absolutely sio ushoga, tuungane tutokomeze Malaria kwanza tuungane tumalize vifo vya wakina mama wajawazito, tupambane kupata elimu bora kwa watoto wetu, umasikini ushirikina, makazi safi, ndo tumalizia na ushoga unafanywa kwa hiari na wachache tu.
 
Ulaaniwe mara ngapi!watu mnaowauwa,mnawasingizia mna waonea hayo amyaoni. USHOGA na Mashoga ni watu tunaoishi nao kwenye jamii chukua hatua kuwapeleka polisisheria iko wazi wala uhitaji mzungu akukataze.Msitafute visingizio
 
Nafikiri kiujumla sidhani kama tutafanikiwa kwa kutajana kuwa huyu ni shoga bila kujua wanaomfira sasa je wakitajwa hao mashoga bila wafiraji tatizo litakuwa limeisha?

Maana laana ni two way traffic maana yupo mgawa mfereji na mchimba mfereji wote wamelaaniwa; maana waliokuwa wanatajwa ni wanaume warembo tuu wanaume wanaochimba mifereji hawakutajwa?

Maana wengine ni mashoga kwa sababu walibakwa mara kwa mara mpaka wakazoea aidha watu muhimu kwao ndiyo walio wafundisha mchezo kiasi kwamba ilikuwa ngumu kuripoti tatizo.
 
Wanaanza wanafki Sana nilivyoona wamemdharau makonda kwenye Vita ya madawa ya kulevya sikustaajabu Sana nikajua tu nguvu ya pesa chafu ilipotosha ukweli kwenye media likaja hili la ushoga hapa ndio nimeshangaa Sana kuona wanapinga hatua ambazo makonda alitaka kuchukua..lakini najua ipo siku tu acha wao wapige kelele mitandaoni
Ila siyo siri hili jambo linakera namna Watu wanavyojitoa ufahamu na kushabikia uchafu huu
 
Kama laana wanalaaniwa nchi zinazo kubali ushoga basi laana nzuri,kwani zote ni nchi zilizoendelea na za dunia ya kwanza
Tusimsingizie Mungu kila mapungufu yetu,ingawa tabia hii ni kinyume na tamaduni na silka za Kitanzania
Hakuna laana nzuri. Haijalishi mlaaniwa ana mafanikio kiasi gani. Unajua vya shetani hung'aa ili kuvutia watu kuingia na kunaswa humo
 
Makonda analetaga vitu vizuri sema ile first impression ndo inawasumbua watu. Ila hata ukichukia kazi yake na kuipinga haikusaidii kuondoa tatizo,bora tuungane nae katika kupambana na hii tabia
Hata kama anakosea approach ni vema tunhekuwa tunaangalia dhamira njema aliyonayo
 
Hakuna mtz mwenye akili timamu ataunga mkono ushoga na hii iwe ni vita endelevu haya mambo kama alivyosema Lugola,najua ameongea kwa shinikizo ya ukoloni mambo leo,lakini moyoni mwake sidhani kama anaamini yale maneno
 
Attachments

  • IMG-20181107-WA0024.jpg
    IMG-20181107-WA0024.jpg
    43 KB · Views: 16
tatizo ni kufanyia mambo yao hadharani
kama wanawekana vyumbani huko mimi na wewe inatuhusu nini?!!!!
umekosa kazi ya kufanya wewe
 
tuwaambie mara ngapi serikali haina dini, hivyo huyo Mungu unaemuogopa kuwa atakulaani ni wakwako wewe na familia yako!!! kila mtu anaruhusiwa kwa mujibu wa katiba kuabudu anachokitaka, kuna wengine miungu yao inawaruhusu kufumuana marinda waache haikihusu wewe na mungu wako!
maendeleo ya nchi ni muhimu kuliko hizo dini za kuletewa!!!
 
Mbona hao wanaoruhusu ushoga ndiyo wanaonekana kama wamebarikiwa sana?!!
 
Back
Top Bottom