Tanzania iwe kama China na sio kulala kama Argentina, ZNZ ni yetu

Semilong

JF-Expert Member
Mar 5, 2009
1,712
219
nasema TZ ikiendelea kulala kama argentina basi itafika siku tutaambiwa kuwa ZNZ siyo ya kwetu.
waingereza wameanza kuchimba mafuta falklands wakati argentina wakiwa wamelala.
mfano mzuri ni china wamewapush waingereza out of hongkong na wame declare dalai lama kama ni separatist.

wakati umefika wa serikali kumdeclare kiongozi yeyote wa kisiasa ambaye anataka kuvunja muungano separatist.
nasema tena tanganyika eneo lake ni kubwa sana na pia eneo la bahari ni kubwa sana kwa hiyo ni haki kuwa maji ya bahari yote na ardhi ya znz ni yetu.
 
Mzee nakuaminia. Nimemuona Putin kashika kidevu nikahisi anawafikiria Chechyne. Aliwapa kipigo cha mbwa mwizi kwa maneno haya haya ya kujitenga. Hii habari ya kujitenga ni uzushi mtupu.
 
kama vipi tuoe mademu wa kipemba wote tuwalete bara.tutakuwa tumemaliza kila kitu.
mr froast upo?
 
kama vipi tuoe mafmu wa kipemba wote tuwalete bara.tutakuwa tumemaliza kila kitu.
mr froast upo?

mr froasty inabidi afanyiwe udalai lama

kweli waingereza wako fast yani wameshaweka oil rig tiyari

hii move ya uingereza kwa argentina ni kama vile mfalme wa omani anavyotaka kufanya kwa ZNZ yetu
 
Hivyo mnataka kutwambia tukaitawale zanzibar sio kisa oil!!!! What a bunch of loosers and pathetic nincamputs!!!!! Dhahabu na gesi, uranium na almasi mumewapa wazungu sasa mnataka mkawaonee wazanzibar Tanzania haitakalika mshkaji!!!
 
Greedy and stupid, siwezi ku-support upuuzi huo..muungano si kutawala watu kwa mabavu kwa ajili ya mali. it must be the result of mutual understanding..inasaidia nini kuchuma kwa dhulma?

Kama kuna wabongo wanaamini katika mali tutapingana nao hadi mwisho wa dunia.
 
nasema TZ ikiendelea kulala kama argentina basi itafika siku tutaambiwa kuwa ZNZ siyo ya kwetu.
waingereza wameanza kuchimba mafuta falklands wakati argentina wakiwa wamelala.
mfano mzuri ni china wamewapush waingereza out of hongkong na wame declare dalai lama kama ni separatist.

wakati umefika wa serikali kumdeclare kiongozi yeyote wa kisiasa ambaye anataka kuvunja muungano separatist.
nasema tena tanganyika eneo lake ni kubwa sana na pia eneo la bahari ni kubwa sana kwa hiyo ni haki kuwa maji ya bahari yote na ardhi ya znz ni yetu.
Pole sana ndugu yangu. Kweli leo nimeamini kuwa kusoma ni kirtu kingine na kuelimika ni kitu kingine.

Nilikuwa nasikia tu kuwa Mbwa mwitu hata kama ukamtunza vipi nyumbani na kumpa kila kitu atakukimbia tu siku moja. Na hapa tunawaona mbwa mwitu waishio nyumbani, na sasa wamejitambulisha hali zao.

Haya rudini msituni mkastarehe!!!!
 
mr froasty inabidi afanyiwe udalai lama

kweli waingereza wako fast yani wameshaweka oil rig tiyari

hii move ya uingereza kwa argentina ni kama vile mfalme wa omani anavyotaka kufanya kwa ZNZ yetu

mkuu wewe wala usiwe na worry kuhusu hao waarabu wa oman kuichukua zenj.jamaa nyoronyoro hawana uwezo huo hata siku moja ,its better to give them pemba island for free because that place sucks.
 
That place ndio imejaa mafuta kibao sijui ukiona hizo oil reserves utarudia statement yako!!!
 
mkuu wewe wala usiwe na worry kuhusu hao waarabu wa oman kuichukua zenj.jamaa nyoronyoro hawana uwezo huo hata siku moja ,its better to give them pemba island for free because that place sucks.
oyaa, yaani umeamua kutupa jongoo na jiti lake kabisa!!
 
Kulinganisha historia yetu na Hong Kong/China ni ujinga. Hong kong ilikuwa ni sehemu ya Impirial China na British Empire wakatawala wakati wa Qing Dynasty. Hata leo japokuwa officially ni sehemu ya China, Hong Kong inafanana zaidi na UK kuliko China kiutawala, kisheria na mambo mengine mengi. Vile vile raia wa mainland China hana haki ya kwenda kuishi Hong Kong.
Hii mada yako ni uchochezi tu. Tatizo letu watanzania sio ardi au rasilimali.
Hata tukipewa Kenya na Uganda matatizo yetu yapo pale pale.

¬K
 
Tusiandikie mate na wino ungalipo,,mnaonekana kuzidi kuwa desperate na Zanzibar mnapaona kama vile hawaii lakini mkae mkijuwa ipo siku patakutumbukieni nyongo.
 
nasema TZ ikiendelea kulala kama argentina basi itafika siku tutaambiwa kuwa ZNZ siyo ya kwetu.
waingereza wameanza kuchimba mafuta falklands wakati argentina wakiwa wamelala.
mfano mzuri ni china wamewapush waingereza out of hongkong na wame declare dalai lama kama ni separatist.

wakati umefika wa serikali kumdeclare kiongozi yeyote wa kisiasa ambaye anataka kuvunja muungano separatist.
nasema tena tanganyika eneo lake ni kubwa sana na pia eneo la bahari ni kubwa sana kwa hiyo ni haki kuwa maji ya bahari yote na ardhi ya znz ni yetu.

Upupu
 
stop nonsense...kabla hujaidai zanzibar wambie hoa viongozi wako uliowachagua wakupatie umeme na maji safi....na huduma za afya bora...
 
sijapata kuona mpemba kuolewa na mtanganyika...think again bro...

Mkuu huna data wameolewa wengi, japo sikubaliani na kuvamia watu kimabavu hasa kwa ajili ya greedy na mali, lakini mahusiano ya mapenzi hayawezi kuzuiwa na siasa ndugu..tumeoa wengi ..
 
agerntina wana utaratibu mzuri sana wa kazi

kazini mtu unatakiwa kuingia kuanzia saa moja na nusu asubuhi mpka saa sita mchana, then unaenda lunch. unatakiwa kurud kazini saa kumi jion had saa tatu usiku.
baa nyingi zinafunguliwa mda huo( saa tatu usiku) sasa hapa kwetu baa ziko wazi 24hours.
watu wakifika kazini ni ni majungu na kutafutana flani mbaya toka saa moja asubuhi had saa tisa na nusu ofc nyingi hapa taz ndo hivyo kazi haziend.

ninyi majungu wao kazi!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom