Tanzania Itakuwa Huru Barrick Ikiondoka na CCM Kung'olewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Itakuwa Huru Barrick Ikiondoka na CCM Kung'olewa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Jun 18, 2011.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Hali halisi North Mara, yaani uchafu unaofanywa na barrick ni Sababu tosha serikali dhalimu ya CCM na mafisadi wake kung'olewa madarakani. Nguvu ya umma ndio dawa pekee ya kulikomboa taifa letu. Watoto wa mafisadi kama January wanaliona Tanzania kama shamba la baba yao. Uvumilivu wetu unafika ukingoni, CCM lazima iondoke pamoja na Rarrick
   
 2. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Ndiyo maana CCM walitumia nguvu kubwa sana kutaka kushinda jimbo la Tarime . Barrick hawakuwapenda kabisa Chadema maana wali side na wananchi . Mbunge wa Tarime sasa umemsikia ? Kimya baada ya mauaji alikuja Dar kapewa maelekezo yuko kimyaa hata Bungeni hakuuliza kitu wakati wameuawa wananchi na wapiga kura wake .Shame on you guys
   
Loading...