Tanzania itaendelea bila Kenya, wakenya walaghai, wezi, wakatili, hatuwataki

Kidzogolae

Senior Member
Apr 20, 2008
133
2
Mara nyingi, huwa napata shida sana. Jamani, nimetembea sana Kenya, kwa ndege hata kwa gari. ni kama nimeishi tu kule kwa muda. kiswahili changu mara nyingi ni tofauti na chao. wakenya wakiongea kiswahili,inanikereketa sana kwenye masikio yangu.sipendi kusikiliza.
sasa, mara nyingi, nikijulikana kama mtz, nilihisi watu wanatuona kama sisi hatuna akili. akili za kwanza wanazosema hatuna, wanasema hatujaenda shule kama wao, hivyo myth ikaenea kwa kila mkenya kuwa, kwasababu wakenya wengi wameenda shule kuliko watz, basi wakenya wana akili kuliko watz. cha kushangaza,nilizidi tu kuona umasikini uliokithiri wa wakenya mtaani na vijijini...umasikini ambao mimi siuoni hata katika vijiji vya tz. wakati wa kuongea, niliongea na mtu mmoja akaniuliza kama nina nyumba tz, nikamwambia ndio, alishangaa sana, kwasababu kule kenya wao haiwezekani kwa kijana wa kawaida kuwa na nyumba. ardhi kwao ni ngumu kupatikana, tz ni kubwa kuliko kenya hivyo wakija hapa wakaona sisi tuna ardhi kibwena, wanakuwa na wivu na tamaa kuwa wangeishi hapa wangemiliki na wao. huu ni upuzi kabisa.


sasa, sisi watz, tumekubali kutukanwa na wakenya kuwa hatuna akili. pamoja na kwamba, wao ndo wanawezakuwa hawana akili. na kama hatuna akili, watuache tukae peke yetu, sisi hatutaki kuungana nao kama federation. tunayo madini mengi sana hapa, tunayo ardhi kubwa, na karibia tutaanza kuchimba mafuta, tunavyo visima kibao vya gesi ambayo tunaweza tukasafirisha hata ulaya na nchi zingine za africa.kama wakenya hawatakuwa soko letu, basi tutauza kwingine. wanachotaka wakenya, wameona kule kwao hawana natural resources, zao wamezimaliza zote kwa rushwa na ubadhilifu, sisi hapa tz nyeyere aliziacha ndo tunaanza kutumia sasahivi...wanataka waje watupunje hapa. NAWAASA WATZ WOTE, TUSIKUBALI. NA MKENYA YEYOTE AKING'AA HAPA, TUMCHAPE FIMBO. hatuwataki, ni wezi wanaokuja na bunduki hapa, tumewakamata wengi, wana lugha za ukatili sio kama za kindugu kama watz, wanajiona wao ndo wao,wezi na walaghai kama wanigeria, na hawafai kuigwa na jamii.

USHAURI KWA WATZ. Msikate tamaa kwasababu kuna mafisadi wengi hapa tz wanaokula hela zetu za madini na secta zingine.wana JF na watz wengine tumeshatangaza vita, tutapambana na tutaiweka nchi yetu kwenye mstari, na sio mda mrefu wakenya wataona kiburi chao si maungwana. tz tuungane na tuwe na moyo mmoja, kutetea nchi yetu na maliasili zetu zisiliwe na mafisadi na wakenya. asanteni.
 
Mara nyingi, huwa napata shida sana. Jamani, nimetembea sana Kenya, kwa ndege hata kwa gari. ni kama nimeishi tu kule kwa muda. kiswahili changu mara nyingi ni tofauti na chao. cha kwao kama kina uchafu wa chooni. wakenya wakiongea kiswahili,inanikereketa sana kwenye masikio yangu.sipendi kusikiliza.

next time you write an article, treat people with respect. unajua kiswahili cha Tanzania Bara ni tofauti cha Tanzania Visiwani? Je, Wazanzibari walishakiita kiswahili cha Bara kwa tusi gani? Je, utakiitaje kiswahili cha waganda, wakongo na wacomoro?
 
kiswahili cha waganda, wacongo na wengine kama mzumbiji nk, si kama cha Kenya. well, nakubali kuwa niliongea vibaya. lakini wewe kinakuuuma nini? we mkenya nini? ukweli ni kwamba, ninyi mnatakiwa kujifunza kiswahili. ndio maana hata nilipofika nchi kama US, niliona watu toka kenya wanafundisha kiswahili. nilishangaa sana watafundishaje kiswahili wakati hawajui. nilipojaribu kuongea nao mbele ya wanafunzi wao, niliona wako intimidated kwasababu hawajiamini kuongea icho kiswahili mbele ya mtz. kwasabaabu hawajui.

Well, on the side of Zanzibar, Tanzania visiwani ni Tanzania tu. kwa taarifa yako, wale watu wanaoishi Zanzibar wametoka bara. wengi wao ni watu toka Tabora,Dodoma na maeneo mengine ya bara. walichukulia kwenda kule kipindi cha utumwa kwenda kulima mashama ya karafuu kipindi cha sultan Sayyid said. ndo maana sisi na wazanzibar ni kitu kimoja hata kama utaona tunaonekana kama tunang'atana kidogo. ukijaribu kumgusa mzanzibar, bara watakuumiza, ukijaribu kumguza mtu wa bara, wazanzibar watakuumiza. tunao huo umoja. sio kama ninyi wakenya wenye ukabila. Kwahabari ya kiswahili, kiswahili cha tz visiwani na bara ni sawa tu. isipokuwa kuna rafudhi ndogo sana inatofautiana lakini wanaongea kiswahili sanifu kama bara tu. kwanza watu wa zanzibar huja tz freely. wengi wao tunaishi nao hapa Dar es salam, wana biashara zao hapa dar, na accent yao haiitii kichefuchefu kama ya kikenya.

Kama ni waganda au watu toka Congo, hauelewi tu. watu toka congo, kiswahili chao ni kizuri tu ila kina lafudhi ya kifaransa na kilingala. waganda nao ni wepesi kujua na kuongea kiswahili vizuri. na kiswahili chao hakina kichefuchefu unapokisikiliza. tatizo lipo kwenu nyie wakenya...hasahasa kwasababu huwa mnajifanya mnajua sana mambo, kumbe ni mbumbumbu tu. nendeni darasani mkajifunza kiswahili, tena mwalimu wenu awe mtz. thanks. take care. kama nimeongea vibaya naomba nisamehe. unless you are an administrator kuongea na mimi namna hiyo, sitajisafisha wala kuacha kuongea kilichoko moyoni mwangu.
 
Jeez, yaani these attacks on kenyans havent stoped. Anyway cant realy answer you dude, u just called my brother sister, me and all kenyans thieves. But unlike you im wise enough to realise that u dont speak for all watz cuz i know very nice tanzanians here in kenya.
 
Mimi kwa sasa naona hawa kenya uganda na rwanda/burundi, inabidi wafikirie upya kutuingiza katika hiyo jumuiya. Tutawaambukiza ugonjwa mbaya sana.

Watanzania si waungwana kabisa.

Mambo yetu yanatia aibu kabisa!

Hebu angalia michezo yetu, uongozi wetu, angalia tulivyo wababaishaji.

Kama ningekuwa natokea kenya ningesema watanzania wawekwe probation kwanza, hawaeleweki.
 
EAC missed its chance... in the 60's and 70's
huo ni uongo... wazo la jumuia ya afrika mashariki ni wazo la kikoloni ktka kwa waingereza British iast afrika, sisi tunadanganywa tuu kama ilivyo kawaida... achilia mbali hayo mawazo wacha tujenge nchi yetu na tufutilie mbali mambo ya shirikisho kwani lilianzishwa na waingereza na mungu ndiye anajua kwa manufaa ya nani! hivi unajua kwamba kenya kuna kambi ya kijeshi ya uingereza mpaka leo hii? sasa swali ni ya nini na kwa kumlinda nani....
 
huo ni uongo... wazo la jumuia ya afrika mashariki ni wazo la kikoloni ktka kwa waingereza British iast afrika, sisi tunadanganywa tuu kama ilivyo kawaida... achilia mbali hayo mawazo wacha tujenge nchi yetu na tufutilie mbali mambo ya shirikisho kwani lilianzishwa na waingereza na mungu ndiye anajua kwa manufaa ya nani! hivi unajua kwamba kenya kuna kambi ya kijeshi ya uingereza mpaka leo hii? sasa swali ni ya nini na kwa kumlinda nani....

Kijakazi,

Huo wako ni mtazamo wa kikoloni pia. Ni wakoloni wa Kijerumani ndio walioanza kuiita nchi yetu Dutch Ost Afrika. League of Nations wakaibandua Rwanda na Burundi wakawapa Wabelgiji wa Congo na hiki kipande walichopewa Waingereza wa Kenya ndio kikaitwa na kuanza kujulikana kama Tanganyika, ambayo sasa ni nchi ndani ya Tanzania.

Ukilikataa wazo, hata kama zuri, kwa kuwa tu awali lilikuwa la wakoloni, basi uikatae na Tanganyika, kitu ambacho kitakulazimu uikatae na Tanzania unayotaka kuijenga.

Wazo la kuwakataa wenzetu wa Kenya, Rwanda na Burundi, halina tofauti na lile la ukabila tunalojaribu kulipiga vita kila siku.

Let's go with the spirit of Pan Africanism. Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu.

Kuuana, Tanzania siku zote tunaua mazeruzeru na vibibi vizee vyenye macho mekundu. Tunachunana ngozi na tunauziana vipara na mambo kama hayo. Kama ni wizi tumekubuhu kwenye ufisadi, kutekana nyara, mabasi kuwekewa vigogo na abiria kunyang'anywa mali zao na mengi tu. Ulaghai kwetu ni maisha ya kawaida.

Cha ajabu mno, kwetu sisi, kinachofanywa na Wakenya ni nini?
 
Wakuu lakini hizi attacks hazijenge.instead ya kuja na point za maana you'll find somebody dwelling on personal vendata kama basis ya arguinment yake.It is shame to mention!
 
Back
Top Bottom