Tanzania isitishe uhusiano wa Kibalozi na Utawala dhalimu wa Muammar al-Gaddafi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania isitishe uhusiano wa Kibalozi na Utawala dhalimu wa Muammar al-Gaddafi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Feb 24, 2011.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Feb 24, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Jamani, Tanzania hatuna tena sauti ya kutetea wanaokandamizwa? Yaani tumepoteza kabisa hata msimamo wetu wa "kila binadamu anastahili haki ya kuthaminiwa na kutambuliwa utu wake"?

  Leo hii Botswana ndio wanaongoza na sitoshangaa Namibia watafuatia wakati sisi viongozi wetu wanacheka cheka na huyu kichaa wa Libya. Of course I know serikali yetu haina uwezo au ujasiri huo hasa baada ya kupokea favors nyingi toka kwa Gaddafi lakini kweli tumeuza na utu wetu kwa sababu kuombaomba kwa viongozi wetu?


  aibu na fedheha!!
   
 2. Hassani

  Hassani JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 267
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Ujasiri huo watautoa wapi wakati wenyewe ni mababa wa ukandamizaji,yaliyotokea Arusha yanatofauti gani na ya Libya?(based on ratio math).
   
 3. n

  notradamme JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,015
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  MBONA HUTUELEZI UDHALIMU WA GADAFI???????
  dunia ya sasa hivi ni ULIMWENGU-MASLAHI...unajua na ndio maana umeikimbia nchi yako na kwenda kuishi ughaibuni.
  eleza udhalimu wa GADAFI uone tutakavyokushukia
   
 4. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ndugu unaishi dunia gani, inasikitisha unavyojifanya huelewi madhambi ya gadafi aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanya. Au huelewi maana ya udhalimu.
   
 5. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Mkjj ndoto zingine zinafurahisha na au kuumiza
   
 6. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,848
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  Nenda UDOM ukajionee aliyoyafanya Ghadafi.
   
 7. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2011
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  Hawa Botswana ni matokeo ya upeo mdogo wa politics na cheap moribund publicity-hii dunia ya leo rash decisions kama hizi can cost a nation.H ata hao big nations wanatazama upepo-there is more to politics then sees the eye.Mnakumbuka museveni aliside upande wa opposition ya kenya baada ya uchaguzi then what happened,it was a costly mistake petrol ikawa haipiti kwenda uganda.Big man museveni had to eat humble pie otherwise uganda was slowly choking
   
 8. m

  mshaurimkuu Member

  #8
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka; huyo jamaa kwa baadhi yetu ni kama nabii. Kumzungumzia kwa suala hilo unagusa moja kwa moja imani za watu. Unajua aliyoyafanya nchi hii? Alivyojenga majumba ya ibada na mamisaada kibao kwa kutazamana kwanza usoni? Nachelea usijeambiwa mdini wewe; jiandae kupambana na hoja za aina hiyo.
   
 9. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...mnh,
  ngojeni kwanza Serikali imalize taratibu za kuwaondoa ndugu zetu kule. Huyu jamaa 'Ghaddafi' hatabiriki, naamini bado ana kisasi na kile kipondo cha Lukaya Uganda War 1978-1979.

   
 10. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  MwanaKijiji kwani hujui AU inaongozwa na ma-criminal wanaotesa wananchi wao katika nchi na wengine wanaingia madarakani bila ya matakwa ya wananchi wao kama Kikwete ni mmoja wao kwa kuwa yupo kwenye chama cha AU ambao ni wahalifu wa haki za kibinaadam na manyanyaso ya raia wao
   
 11. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #11
  Feb 24, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,791
  Likes Received: 2,399
  Trophy Points: 280
  Mtoto wake AYSHA GADDAFI katimuliwa ubalozi UN
   
 12. Dyslexia

  Dyslexia Senior Member

  #12
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tusitishe pia na marekani,si wanaua huko Iraq na Afhanistan kwa kisingizio cha ugaidi kumbe wana shida na mafuta,tuna uhakika gani sicho wanachokitaka huko Libya kwa visingizio vya kijinga,au hao huko Iraq na Afhanistan si binadamu,wa Libya ndo binadamu?
   
 13. Dyslexia

  Dyslexia Senior Member

  #13
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :A S 13: so.....
   
 14. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #14
  Feb 24, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  toto la gaddaff: u will see rivers of blood flowing...
   
 15. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #15
  Feb 24, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  Wanasubiri kuunda tume!

  wenye nchi wanampinga na wako tayari kufa, wewe mmakonde unasema Gadafi mzuri !!! you need doctor for sure
   
 16. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #16
  Feb 24, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  yaani kwa vile kaleta misaada ambayo sasa inaonekana imejaa damu ndio baadhi ya watu wanasema tumkumbatie tu? Utumwa gani huu wa kifikra ambao tunao sasa? Wanajeshi wake wanakimbia na ndege kukataa kuwalipua wananchi wao hapa watu wanasema "tuoneshe udhalimu wa Ghadaffi" Utii au upendo wa aina gani huu?
   
 17. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #17
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  is he ur daddy?
   
 18. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #18
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  kaka Heshima ya mtu ni utu wake wala sio fedha na mavazi,alisema baba wa Taifa
  tatizo la sasa nchi yetu imeshakosa kabisa heshima kwa kukumbatia hizo fedha chafu kwa kisingizio cha misaada.
   
 19. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #19
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  "When Africa is burning and the African Union is silent you begin to wonder whether this Organization is serious" - Phandu Skelemani
   
 20. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #20
  Feb 24, 2011
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,316
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Viongozi wetu ni dhalimu kuliko Gadafi. Kama pamoja na ushahidi uliowazi kuhusu wizi wa dowans bado wanashinikiza kumlipa, Gadafi anakuwa kama malaika nikimlinganisha na hawa wa kwetu!
   
Loading...