Tanzania is one of 10 poorest countries..Why??

Mfwatiliaji

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
1,323
67
1 Malawi
2 Somalia
3 Comoros
4 Solomon Islands
5 DRC
6 Burundi
7 East Timor
8 Tanzania
9 Afghanistan
10 Yemen

Majority of these countries underwent political instability.

But TZ has been always politically stable and endowed with vast natural resources.

We need to take this issue seriously from now onwards.
 

Details zaidi za viwango vya umasikini

Poorest Countries in the World

Rank Country GDP - per capita
1 Malawi $ 600
2 Somalia $ 600
3 Comoros $ 600
4 Solomon Islands $ 600
5 Congo, Democratic Republic of the $ 700
6 Burundi $ 700
7 East Timor $ 800
8 Tanzania $ 800
9 Afghanistan $ 800
10 Yemen $ 900

Source: CIA World Factbook
 
".......the president doesn't understand [either]" ; that was his answer to an interview question last year with the financial times (if not mistaken).
 

Details zaidi za viwango vya umasikini

Poorest Countries in the World

Rank Country GDP - per capita
1 Malawi $ 600
2 Somalia $ 600
3 Comoros $ 600
4 Solomon Islands $ 600
5 Congo, Democratic Republic of the $ 700
6 Burundi $ 700
7 East Timor $ 800
8 Tanzania $ 800
9 Afghanistan $ 800
10 Yemen $ 900

Source: CIA World Factbook


Umasikini wetu ni wakujitakia tu, hakuna lolote. Siku tutapopata Chama mbadala chenye Kiongozi mwenye maono na kuepukana na dudu lililodumaa na kututawala kwa miaka 47 I am sure haitatuchukua miaka 5 kutoka katika huo umasikini.

Siku Somalia, Afghanistan, E.Timor, DR Congo na Burundi wakimaliza kupigana wao kwa wao watatuacha katika hiyo orodha. Rwanda na Uganda wako wapi? Hawapo kweny hiyo orodha ya kichefuchefu na ni juzi tu walikuwa wanapigana wao kwa wao (Rwanda) na shughuli za Kimaendeleo zilisimama. Uganda bado wanamalizia mtifuano na LRA na hawamo katika kichefuchefu hicho wakimalizana tu na LRA nadhani watakuwa bora mara 10 kuliko sisi!
 
Halafu watu/system wame-relax tu.....halafu wanataka JF tunyamaze........noo way......tutaendelea kuwaumbua mbele ya wananchi ili at the end of the day wazembe/wezi waondoke madarakani
 
Mimi nna mashaka pia na hicho kipimo cha umasikini, GDP maana shughuli nyingi sana bongo ni informal. Inaingia akilini kweli kwamba sisi ni maskini kuliko Uganda, Central Africa, Niger, Mauritania, Albania, Burundi, na hata India ambako kuna maskini wa kutupwa zaidi ya milioni 300
 
..nikijifanya kama vile sijaona wala kusikia jibu la mh. rais wangu, jibu langu kwa kifupi ni kama ifuatavyo:


..maadili ya kazi hayafatwi. kanuni na sheria zinakiukwa na kupindwa kwa ajili ya maslahi ya wanao husika

..wataalam wa maswala mbalimbali katika nyanja mbalimbali za maisha wanajichanganya mno na siasa na kusahau malengo, majukumu na maadili ya kazi zao.

..wataalam hawako pushed to limits katika kubuni mbinu mbalimbali za kuokoa na kuendeleza jamii, na kwa uzembe wao pia hawajishughulishi ipasavyo.

..jamii inaendekeza undugu na protectionism katika maswala yanayoihusu jamii nzima. hapa jamii inashindwa kutofautisha kati ya culture na misingi bora ya maendeleo.

.............naomba kuishia hapa, ila kuna sababu nyingine kama tatu muhimu, nitakuja kuziandika kirefu nikipata muda kwenye thread hii au nyingineyo.

SteveD.
 
Wanasiasa wanaendelea kuwa decision makers kwenye mambo ambayo ni too technical; mswada wa umeme uliopitishwa jana bungeni ni mkenge mwingine utakaoutuumiza mno baadae.

Hatujapona majeraha ya hawa wawekezaji matapeli ktk sekta ya madini na bado serikali imependekeza Tanesco iwe na mshindani, Tanesco ambayo inalipa gharama chungu nzima kwenye makampuni ambayo hatuhitaji umeme wao.

Tutaendelea kuwa maskini kama tunawaachia wanasiasa wafanya maamuzi ya kufurahisha mabwana zao.

MASKINI TANZANIA NCHI YANGU....
 
Hivi wale maadui wetu maarufu tuliowaidentify wakati wa uhuru kuna hata mmoja tumefanikiwa kudeal naye appropriately????
 
Wanasiasa wanaendelea kuwa decision makers kwenye mambo ambayo ni too technical; mswada wa umeme uliopitishwa jana bungeni ni mkenge mwingine utakaoutuumiza mno baadae.....

Mkuu wambandwa
.......ina maana ul muswada uliokuwa ukipingwa siku zote kabla ya kuwasilishwa UMEPITITISHWA BUNGENI!!!!!

Mh Zitto........popote uliko............hebu tupe dondoo tafadhali
 
Maskini Tanzania!!!!!!!!!!!
Kweli tumebanwa pabaya.Watanzania wote tumefanywa mabubu,viziwi na vipofu hata kama tunaona,tunaongea na tunasikia. Kinachohitajika ni mapinduzi tena mapinduzi ya kweli si ya kitoto.Mapinduzi hayo ni katika nyanja zote yaani uchumi, siasa,utamaduni n.k bila ya hivyo mtutu utarindima hivi karibuni, dalili zote zinaonekana au nyie viongozi wetu hamzioni? Tafadhalini msiwaamshe waliolala, ukoeni uchumi wa Tanzania ama sivyo hamtaweza kutumia vijisenti vyenu mnavyojilimbikizia.
 
Mkuu wambandwa
.......ina maana ul muswada uliokuwa ukipingwa siku zote kabla ya kuwasilishwa UMEPITITISHWA BUNGENI!!!!!

Mh Zitto........popote uliko............hebu tupe dondoo tafadhali

Mkuu Ogah muswada umepita nakila mbunge aliyekuwa akisimama anasema kabla ya yoote naunga hoja mia kwa mia......
 
1 Malawi
2 Somalia
3 Comoros
4 Solomon Islands
5 DRC
6 Burundi
7 East Timor
8 Tanzania
9 Afghanistan
10 Yemen

Majority of these countries underwent political instability.

But TZ has been always politically stable and endowed with vast natural resources.

We need to take this issue seriously from now onwards.

.....na katika hilo, Angola na Mozambique ambazo tumezisaidia kuondokana na vita zimeyeya nakutuacha mithili ya Prado iki overtake Bajaji !!
 
.....na katika hilo, Angola na Mozambique ambazo tumezisaidia kuondokana na vita zimeyeya nakutuacha mithili ya Prado iki overtake Bajaji !!

Yaani it's crazy!!! Imagine hata Siera Leone na Liberia wametuzidi????
 
Hivi nani kawadanganya wabunge wako kwa maslahi yenu? hivi mnafikiri mahela yote waliyotumia kupata ubunge ilikua ni jitihada za kuwatumikia wananchi? lazima wazirudishe ndipo wawakumbuke wapiga kura na kabla hazijarudi sawasaw uchaguzi mwingine huoooo, maendeleo yatakuja kweli? iliyobaki kumwomba MOLA maana bila super natural powers kuingilia kati tutachinjana kama Kenya,Rwanda n.k
 
Sasa jamani si mnafahamu kuwa matatizo yetu hata mungu husiki ni yetu wenyewe
Ufisadi kila pembe na kibaya zaidi mtu ukiwa fisadi ndio unaheshimika kwenye jamii
 
Hii notion kwamba Tanzania ni moja ya nchi maskini sana duniani mimi siikubali kabisa. Tuna dhahabu, tuna Tanzanite, Tuna almasi, tuna misitu, tuna uranium. Hizi rasilimali zote kama mikataba iliyokuwepo ingezingatia zaidi maslahi ya Tanzania basi tungeweza kunyanyua sana GDP yetu na kujitoa katika hilo kundi la nchi maskini sana duniani.

Viongozi mafisadi wanaosaini mikataba kwa kujali maslahi yao badala ya nchi ndio wanaosababisha Tanzania kuendelea kuwemo kwenye kundi hilo.
 
1 Malawi
2 Somalia
3 Comoros
4 Solomon Islands
5 DRC
6 Burundi
7 East Timor
8 Tanzania9 Afghanistan
10 Yemen

Majority of these countries underwent political instability.

But TZ has been always politically stable and endowed with vast natural resources.

We need to take this issue seriously from now onwards.

unatupotisha mkuu!!

hizo data za 4 years ago..,with gdp increase ya around 5% consistently,we are actually doing way better than ever.

look at latest results of GDP PPP.and note the difference.

199
Sao Tome and Principe $ 1,200 2003 est.
200
Burkina Faso $ 1,200 2007 est.
201
Gaza Strip $ 1,100 2006 est.
202
Nepal $ 1,100 2007 est.
203
West Bank $ 1,100 2006 est.
204
Uganda $ 1,100 2007 est.
205
Tanzania $ 1,100 2007 est.

206
Afghanistan $ 1,000 2007 est.
207
Djibouti $ 1,000 2006
208
Eritrea $ 1,000 2007 est.
209
Guinea $ 1,000 2007 est.
210
Tokelau $ 1,000 1993 est.
211
Rwanda $ 1,000 2007 est.
212
Madagascar $ 1,000 2007 est.
213
Kiribati $ 1,000 2004 est.
214
Mozambique $ 900 2007 est.
215
Togo $ 900 2007 est.
216
Burundi $ 800 2007 est.
217
Gambia, The $ 800 2007 est.
218
Sierra Leone $ 800 2007 est.
219
Malawi $ 800 2007 est.
220
Central African Republic $ 700 2007 est.
221
Ethiopia $ 700 2007 est.
222
Niger $ 700 2007 est.
223
Solomon Islands $ 600 2005 est.
224
Comoros $ 600 2005 est.
225
Somalia $ 600 2007 est.
226
Guinea-Bissau $ 600 2007 est.
227
Liberia $ 500 2007 est.
228
Zimbabwe $ 500 2007 est.
229
Congo, Democratic Republic of the $ 300 2007 est.
 
Nyambala,
Mimi nna mashaka pia na hicho kipimo cha umasikini, GDP maana shughuli nyingi sana bongo ni informal. Inaingia akilini kweli kwamba sisi ni maskini kuliko Uganda, Central Africa, Niger, Mauritania, Albania, Burundi, na hata India ambako kuna maskini wa kutupwa zaidi ya milioni 300
Ndio upate kuelewa tuliposimama mkuu hii haina haja ya wewe kuamini ama kutoamini. Pengine ungejiuliza zaidi hata Haiti imetutoka?...

Yawezekana unachotazama ni mgawanyo wa pato la serikali nje ya figures kwa hali hiyo hata Marekani wana hesabu kubwa sana ya maskini pengine wao inaweza kuonekana zaidi hata ya Tanzania ama Yemen kwa sababu sisi tumezoea Umaskini na tunadunda kwa furaha na umaskini wetu..na sidhani kama kuna mstari unaoachananisha classes za umaskini, nikiwa na maana maskini Tanzania huhesabiwa kutokana na kitu gani?

Tanzania hakuna sababu kabisa ya kusimama ktk kundi hilo na kamwe hatutaweza kujikwamua ikiwa hatutaweza kuamini umaskini wetu...
Ndio maana Nyerere aliwahi sema kuhusu Uberari kwamba hatuwezi kugawana Umaskini nam kwa bahati mbaya tumeshindwa kuzalisha isipokuwa tunazidi kukopa zaidi kuweka uuwiano wa kiuchumi dhidi ya kile tunachozalisha na kuuza nje!..
 
plus our rate of GDP increase is the fastest among EAST and central africa..,around 6.9% compare to 6% of uganda,6.3%kenya and around 6% from both burundi and rwanda.also make no mistake that all of the above countries have less population compares to tanzania..,

if u dont understand check this example.China is the 4TH BIGEST economy in the world BUT its low GDP of only $5,300 leave it as the developing country in comparison with other big econmies like the US or germany.

so,here comes other factors that plays part like our purchasing power and the condition of living etc..,here is where we can simply outguns our neighbours..

I HATE the fact that our country is POOR bbut i will never feel down and fail to apreciate simple accomplishments we have.

few thiefs aka ministers pulls us down..,BUT only time will tell.and the clock is ticking for them.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom