Tanzania is one of 10 poorest countries..Why??

Haya mambo ya kipimo cha umaskini yasitusumbue sana. Hata mimi siamini hizi statistics. Kwa kweli tumewashinda waganda, of all the people. Nakubali hoja ya informal sector kutotambulika. Labda kuna haja ya MKURABITA kukimbizwa spidi
 
1 Malawi
2 Somalia
3 Comoros
4 Solomon Islands
5 DRC
6 Burundi
7 East Timor
8 Tanzania9 Afghanistan
10 Yemen

Majority of these countries underwent political instability.

But TZ has been always politically stable and endowed with vast natural resources.

We need to take this issue seriously from now onwards.

Hapa Chenge anaweza kuwa na jibu zuri zaidi kwa 1.bn kuwa vijisenti
 
Economic statistics are jargons to me.. Kama GDP ya Tanzania imepanda lakini nalipa Daladala shiligi 2,000 kutoka kwangu Kibamba kila siku wakati mwaka jana mwanzoni nauli ilikuwa ni sh 1,000 kwenda na kurudi azini. Wacilia mbali mafuta ya taa, ya kula, sukari, mchele au niseme kila kitu ktk mahitaji ya kila siku.

Anyway, it'll take a very convincing economic guy to make me and other economic laymen like myself to understand these statistic, I wonder if any would succeed as long as we are living beyond poverty line.
 
Mnanichekeshaga kweli mnapoanza kutoa sababu za kwa nini sisi hatujaendelea wakati eti tumejaliwa na rasilimali nyingi.....bwahahahahahaaaaaa......hata la kusema sina (ingawa baadhi yenu mnajua nataka kusema nini)
 
Nyani Ngabu,
Tatizo la Wadangayika ni kutokubali ukweli kwa sababu tu figures za GDP zinaonyesha kupanda!...Sawa na maskini aliyekuwa havai viatu leo kavaa kwa hiyo ni hatua moja mbele hata kama viatu hivyo kapewa.. hatutazami uwezo wetu kununua kiatu hicho..

Umaskini wetu uko pale pale toka tumepata Uhuru na hakuna kitakachoweza badilisha ukweli huo! kama tairi la mwisho la trela kila tunaposonga mbele matairi mengine mbele yetu yanasonga...Bia shaka Tanzania ya mwaka 1970 haiwezi kuwa sawa na hii leo...
 
Mkandara, hizo figure zitakuwa sahihi kwa sababu pato linaongezeka kutokana na mauzo ya nje, ambao ndio msingi wa mahesabu ya kupata hiyo figure. Tatizo, pesa zinazopatikana transaction zinafanyika juu kwa juu na pesa zinakwenda account za nje.

Soon mtasikia Mwafrika (aishie Afrika) anayeongoza kwa fedha anatoka TZ (ANAYEONGOZA KWA CASH SIO UWEKEZAJI). Hizo figure ziko sawa, pesa inapokwenda ndio tatizo!!
 
John Shaaban,
Unaposema hizo figure ni sahihi na zinatokana na mauzo nje ni figure gani hizo?.. una maana GDP ama!
Maanake navyofahamu, GDP haihusiani isipokuwa hutokana na takwimu za mapato ama matumizi ambayo yanaonyesha kuongezeka mwaka hadi mwaka kutokana na vianzio vya kukodisha ambavyo ni mikopo inaoweza kuondoka kesho..
Huwezi kunambia kabisa kuwa kuna sustainability ktk uchumi wetu ikiwa mapato na matumizi yanayoongezeka ni foreign owned ambazo hawalipi kodi inayotakiwa isipokuwa toka mfuko wa mwananchi.
 
Wanasiasa wanaendelea kuwa decision makers kwenye mambo ambayo ni too technical; mswada wa umeme uliopitishwa jana bungeni ni mkenge mwingine utakaoutuumiza mno baadae.

Hatujapona majeraha ya hawa wawekezaji matapeli ktk sekta ya madini na bado serikali imependekeza Tanesco iwe na mshindani, Tanesco ambayo inalipa gharama chungu nzima kwenye makampuni ambayo hatuhitaji umeme wao.

Tutaendelea kuwa maskini kama tunawaachia wanasiasa wafanya maamuzi ya kufurahisha mabwana zao.

MASKINI TANZANIA NCHI YANGU....

...katika hili sina pingamizi kabisa.."Wanasiasa wanaendelea kuwa decision makers kwenye mambo ambayo ni too technical"

Pia sisi wenyewe kama Wenyenchi tunakubali kupelekwa - na hao wanasiasa.

Nikitoa mfano mmoja: kama siku 2 hivi nilisoma habari inasema "Save African's Flamingos - Campaigns kwenye thread hii, kweli nikawa nimevutiwa nayo sana na ikanitia uchungu sana. Nikajaribu kufuatilia wachangiaji, waliojitokeza walikuwa wachache sana, pia kibaya zaidi nilipotaka kujua mswaada unaendeleaje juu ya mjadala huo, thread hiyo sikuiona tena; ikiimanisha ilishaondolewa kwanye mjadala; sasa kweli kwa hali hiyo kunakitu tutakizuia hapo..ama tunakuja kuzungumzia kitu kilichokwisha tokea???? Ufisadi wa Kina AC, EL na wengineo.

Nikirejea kwenye maada husika, ukweli kwamba mambo ya kiufundi tumewaachia wanasiasa watuongoze:

Swala la ujenzi wa Kiwanda pale Ziwa Natron ni la kitaalamu sana kwani linayomadhara makubwa kwa Tanzania ya sasa na zaidi ile ya baadae, lakini watu tumelifumbia macho, baadae pakiharibika mbio kuja kupashana uhalibifu; jamani tuwe na moyo wa uzalendo, tupashane habari za kuzuia uhalifu wa nchi yetu:

Ukishangaa ya Tanesco na Madini sasa haya hapa ya Lake Natron:-

Lake Natron Resources Limited, a Company jointly Owned by the Government of Tanzania and TATA Chemical of Mumbai, India, proposes to develop a facility at Lake Natron to extract and process soda ash. As this proposal stands, it has the postential to damage or destroy the East African Lesser Flamingo population through disrupting the birds’ breeding at Lake Natron.

Naamini kabisa Income inayopatikana na itakayoendela kupatikana kwenye Utalii pale Ziwa Natron ni kubwa sana.. na haina madhara kama hii ya ujenzi wa Kiwanda:

Economic considerations
• Wildlife tourism (or ecotourism) is the major source of tourist revenue in Tanzania. The country earned US$746 million from tourist receipts in 2004, supporting 200,000 direct jobs. The number of tourists visiting Tanzania is expected to grow from 580,000 in 2004 to one million by 2010.

• Ecotourism at many protected areas in Tanzania, Kenya, Uganda and Ethiopia depends in part on the East African population of Lesser Flamingos.

• Ecotourism at the southern end of Lake Natron generates US$500,000 per year in Tanzania and is a rapidly growing industry that relies on the pristine environment of Lake Natron to give ecotourists a "wilderness experience".

• At the local level there is concern that there will be loss of livelihoods, land and natural resources to the project, and also indirectly to incomers seeking work.

Mtizamo Wangu: “Foreign Companies need their profits and not for our future Tanzanian generations”
 
Mzee wa visenti ana majibu!Tunaomba atueleze ni kwanini tuko "viwango vya chini"?
 
naungana na rais wangu na kujibu SIJUI ila tofauti na yeye mimi sio RAIS na naweza kuwa-excused kwa kutokujua jibu la suala hilo.
lakini yeye he is not excusable unless anataka kutufahamisha kuwa he is incompitent na hafai kuwa rais wa nchi
 
unatupotisha mkuu!!

hizo data za 4 years ago..,with gdp increase ya around 5% consistently,we are actually doing way better than ever.

look at latest results of GDP PPP.and note the difference.

199
Sao Tome and Principe $ 1,200 2003 est.
200
Burkina Faso $ 1,200 2007 est.
201
Gaza Strip $ 1,100 2006 est.
202
Nepal $ 1,100 2007 est.
203
West Bank $ 1,100 2006 est.
204
Uganda $ 1,100 2007 est.
205
Tanzania $ 1,100 2007 est.

206
Afghanistan $ 1,000 2007 est.
207
Djibouti $ 1,000 2006
208
Eritrea $ 1,000 2007 est.
209
Guinea $ 1,000 2007 est.
210
Tokelau $ 1,000 1993 est.
211
Rwanda $ 1,000 2007 est.
212
Madagascar $ 1,000 2007 est.
213
Kiribati $ 1,000 2004 est.
214
Mozambique $ 900 2007 est.
215
Togo $ 900 2007 est.
216
Burundi $ 800 2007 est.
217
Gambia, The $ 800 2007 est.
218
Sierra Leone $ 800 2007 est.
219
Malawi $ 800 2007 est.
220
Central African Republic $ 700 2007 est.
221
Ethiopia $ 700 2007 est.
222
Niger $ 700 2007 est.
223
Solomon Islands $ 600 2005 est.
224
Comoros $ 600 2005 est.
225
Somalia $ 600 2007 est.
226
Guinea-Bissau $ 600 2007 est.
227
Liberia $ 500 2007 est.
228
Zimbabwe $ 500 2007 est.
229
Congo, Democratic Republic of the $ 300 2007 est.

kusema kweli hii ilinipa ahueni kidoooogo mbele ya uso wa kadamnasi, japo bado umaskini ni umaskini tu uleule lakini kusema kweli kwa zile data zilizopita zilikuwa zinatia aibu "zaidi", siku hizi nikikutana na mEthiopia, Mmalawi au Msierra Leone naweza nika mpadishia vijibega kidogo, japo kwa hali halisi mambo ni yaleyale tu
 
I am currently travelling thru Tanzania. Tanzania is stunningly beautiful. It is stunningly wealthy. But our corrupt leaders have decided to share that wealth among themselves and foreigners who they call wawekezaji. South Africa now leads as a major seller of Tanzanites on the London market. Barrick and other gold digging companies will never pay corporate tax because they are claiming not to have made any profit. Until all the gold is gone.
 
Back
Top Bottom