Tanzania is now East Africa's Most Attractive Investment Destination

Gambino

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
3,622
2,000
The latest Africa Investment Index ranks Tanzania as the most attractive investment destination in East Africa.
The report which was released in April by London based Quantum Global in April, places Tanzania as the 8th most attractive investment destination in Africa while Uganda comes in a 12th and Kenya 15th.
Tanzania capturing investors attention. In 2015, Tanzania ranked the 19th most attractive investment destination in Africa, following a drop from 20th place to 25th in 2014.
The latest report see Tanzania leapfrog Kenya, which drops one place down to 15th, based on data until 2016.
sources: The East Africa Monitor
What if kama umepika hii hadithi, tukawa tunajitekenya na kucheka wenyewe mana ni rahisi tu kutunga hadithi na kuandika chanzo flani.

Naomba njia wezeshi (Link) ya kusoma hii taarifa kamili isije kua umejitungia tu hadithi na chanzo chake, hata kama hujatunga itatusaidia wengi kujua taarifa kamili.

Emergency inaweza kua Emerge and see.
 

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,172
2,000
What if kama umepika hii hadithi, tukawa tunajitekenya na kucheka wenyewe mana ni rahisi tu kutunga hadithi na kuandika chanzo flani.

Naomba njia wezeshi (Link) ya kusoma hii taarifa kamili isije kua umejitungia tu hadithi na chanzo chake, hata kama hujatunga itatusaidia wengi kujua taarifa kamili.

Emergency inaweza kua Emerge and see.
Please check with sources as stated below
 

CHOCKSTIC

JF-Expert Member
May 16, 2011
474
500
Maana ya Tanzania kuwa katika nafasi ni vita dhidi ya ufisadi unaoendeshwa na serikali ya awamu ya tano. Wazungu wanachukia corruption kuliko ukimwi. Mheshimiwa Rais Magufuli akifanya ziara ya nje tutegemee misaada na uwekezaji mkubwa nchini
Mabadiliko yote za kiuchumi huwa zinakuja na maumivu yake tuwe na subira kwani 2015 watanzania walilia mabadiliko na hii ndio mabadiliko halisi.
Kubomoa kilichojengwa ni sekunde tu lakini kujenga inachukua muda sasa uchumi unabomolewa,hizi fungafunga maana tulianza na fungua baa saa 10 jioni funga saa 6,fungia shisha,fungia viroba.sasa mnaotegemea tuwe na subira kwamba mambo yatakuwa mazuri awamu hii mnajidanganya.vinginevyo mambo yanaanza kutushinda tunarudia matapishi yetu tulisema inchi tajiri haihitaji kuwa ombaomba sasahivi tunaomba hadi ombaomba wenzetu tulikuwa tunatangaziwa mapato na matumizi yaliyovuka malengo kila mwezi pumzi imekata sasahivi yako wapi?
 

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,025
2,000
"Fake economy" was getting out of control, na kwa hilo anastahili pongezi Magufuli. Ila investor confidence kwa Tanzania bado ipo very low. World Bank Economic Update on Tanzania ya mwaka huu imebainisha hilo.
Ninakubaliana na angalizo lako.

Hii lazima itokee kwa sababu wawekezaji walikuwa wamejenga mazingira ya kifisadi na kwa maana hii itachukua muda ili waji set katika mazingira ya kawaida kibiashara.

Kinachotokea kwa sasa hakina tofauti kubwa na kile wachumi wanasema 'shock therapy' or 'shock policy'
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom