mwanza_kwetu
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 693
- 181
Yes. Fuatilia taarifa mbalimbali utaona Tanzania haipo kabisa ktk nchi zilizo na amsni pamoja na kuwa tumepata uhuru bila kumwaga damu pia tumesaidia waafrika wenzetu kupata uhuru. Na inaangaliwa kwa vigezo vingi sana ikiwemo utengemano wa kisiasa na vivutio mbalimbali vilivyotunzwa kwa maslahi ya vizazi vya sasa na vijavyo. Hata ktk nchi 15 haipo naendelea kutafiti nchi yetu ambayo hata ushindi wa chama tawsla kisingizio cha kutunza amani ya nchi. Ni amani ipi inayoongelewa na wakati mwingine kujisifia kimataifa.
http://travel.amerikanki.com/most-peaceful-countries-in-the-world/
Hii inadhihirisha majivuni yaliyopo kuhusu amani ni kwa sababu ya uelewa mdogo walionao wananchi kitaifa ba kimataifa. Ukiacha yote ya ufisadi,unafiki, usaliti, ukisefu wa uzalendo, wizi, ukatili, ukaburu wa watu weusi hatuna cha kujivunia ndani na nje ya nchi. Wewe GT unasemaje ktk hili la amani ni kwa ajili ya kurubuni wananchi ili kuendelea kutawala kutokana na upungufu wa uelewa wa wananchi. Je ni nvhu ya watu waogs yaani cowards