Tanzania is leading investment destination for Kenyan investors

Cicero

JF-Expert Member
Jan 20, 2016
2,924
3,072
Tanzania has beaten Uganda and the US to become the main destination of investment for enterprises and investors in Kenya.

Recent figures on Kenya’s investment stock across the world indicate a gradual shift in investor preferences, with Tanzania and South Africa now emerging as key investment destinations.

According to data from the Kenya National Bureau of Statistics, the total stock of Kenya’s foreign assets held across the world went up 29 per cent, from Sh148 billion in 2014 to Sh182 billion as at 2015. The East African Community remains the largest investment destination for Kenya, with the stock of Kenya’s foreign assets held across the region going up from Sh47 billion in 2014 to Sh51 billion in 2015. “Tanzania remained the single leading destination of Kenya’s investment, accounting for 12.5 per cent of the total stock of external assets in 2015,” explains the statics office.

The findings come at a time when trade relations between the two countries have been strained for the better part of the past year. In November, Tanzanian authorities set fire to 6,400 hybrid day-old-chicks from Kenya, just a few days after auctioning more than 1,300 head of cattle belonging to Kenyan herders. In July, Tanzania issued a temporary ban on the importation of Kenyan-made milk, margarine, and tiles, setting off a diplomatic tiff between the two EAC neighbours.

The recent foreign direct investment numbers, however, point to a re-alignment of portfolios among Kenyan investors, with investment value to traditional sources dwindling.
Read more at: Dar tops in investor destination group
 
Kama hali ndio hii,kwa nini hizi nchi zisiwe na mahusiano mema zaidi ya kibiashara badala ya rabsha zisizo na maana for mutual benefits?
 
Tatizo wakenya hawajui kula na kipofu, wao ndio wenyeshida lakini wanataka kufanya watakavyo bila kufuata sheria na taratibu za nchi zingine, pia tatizo sio watu waungwana, hawajali maslahi ya watu wengine.
 
Tanzania has beaten Uganda and the US to become the main destination of investment for enterprises and investors in Kenya.

Recent figures on Kenya’s investment stock across the world indicate a gradual shift in investor preferences, with Tanzania and South Africa now emerging as key investment destinations.

According to data from the Kenya National Bureau of Statistics, the total stock of Kenya’s foreign assets held across the world went up 29 per cent, from Sh148 billion in 2014 to Sh182 billion as at 2015. The East African Community remains the largest investment destination for Kenya, with the stock of Kenya’s foreign assets held across the region going up from Sh47 billion in 2014 to Sh51 billion in 2015. “Tanzania remained the single leading destination of Kenya’s investment, accounting for 12.5 per cent of the total stock of external assets in 2015,” explains the statics office.

The findings come at a time when trade relations between the two countries have been strained for the better part of the past year. In November, Tanzanian authorities set fire to 6,400 hybrid day-old-chicks from Kenya, just a few days after auctioning more than 1,300 head of cattle belonging to Kenyan herders. In July, Tanzania issued a temporary ban on the importation of Kenyan-made milk, margarine, and tiles, setting off a diplomatic tiff between the two EAC neighbours.

The recent foreign direct investment numbers, however, point to a re-alignment of portfolios among Kenyan investors, with investment value to traditional sources dwindling.
Read more at: Dar tops in investor destination group
Hadi watakubali kwamba bila Tanzania hakuna EAC. Hii ndiyo sababu kubwa inayofanya wakenya kushindwa kujibu mapigo tunapowafukuza au kutaifisha mifugo yao, wanaitegemea Tanzania almost for everything, from food, business, employment, land and political stability.
 
Watanzania mliharibiwa na ujamaa mkawa watu wenye matatizo yasioeleweka au kupata tafsiri, mnaishi kimajungu majungu miaka yote, Nyerere aliwalemaza vibaya sana nyie, ujamaa uliwasaidia tu kupunguza ukabila lakini ukalea ndani yenu uzalendo uliojaa chuki na uzembe.

Tukitalii kwenu msimu wa Krisimasi mnalalamika, tukitajwa kwamba tunaongoza kwenye uwekezaji ndani ya nchi yenu mnalalamika kila kitu kikifanywa na Mkenya lazima mlalamike haijalishi ni kizuri au kibaya, mnaishi maisha magumu sana na cha kushangaza hata vizazi vya leo mlishapokezwa hii laana na mtaipokeza kwa watoto wenu.

Anyway kama nilivyojibu kwenye uzi mwengine, sisi Wakenya tumezoea haya matatizo yenu maana tumeunganishwa na nyie kwenye kiuno na ndio mnaona pamoja na full chuki zenu lakini tunaendelea kutanua katika uwekezaji wetu humo ndani ya hiyo nchi yenu, sisi hata Somalia tunawekeza huku tukikwepa mabomu na risasi sembuse chuki tu. Tumejifunza kufanya biashara kama Wahindi na Wachina, wale hata uwachukie vipi, wataingia na kuchukua chao na kugeuza.
 
Tunaishi kwa shida? That is rich coming from a KENYAN!
 
Kwanza rekebisha sehemu mbili, Kenya haingozi katika uwekezaji Tanzania, ni nchi ya tatu baada ya China na Uingereza katika kuwekeza, ila kwa Kenya, Tanzania ni nchi ya kwanza kupeleka investors" Tanzania is a leading destination for Kenya investors". Pili sio kweli kwamba Kenya imefunganishwa na Tanzania kwahiyo hakuna jinsi, ukweli ni kwamba Kenya inalazimisha sana kuwa karibu na Tanzania, Tanzania haipendi wala haitaki kuwa karibu na Kenya, Tanzania inaamini kwamba Kenya ni jirani yetu lakini sio rafiki wala ndugu yetu, sisi ndugu zetu ni SADC countries, tulimwaga damu zetu, tulikua nao wakati wa matatizo, sera na siasa zetu zinafanana, wote tumeegemea ujamaa, Kenya ni ubepari, utasemaje tumefunganishwa kama mkanda?,

Tunarudia tena, Kenya ni majirani zetu lakini sio rafiki zetu, msijrabu kulazimisha undugu usiowezekana, sisi ni mafuta na maji, kamwe hayachanganyiki, Tanzania tumezungukwa na nchi 8, zote hazifuati ubepari isipokua Kenya, tafuteni mabepari wenzenu sisi hatuwahitaji. This is the position.
 
Tena shida kubwa sana, maisha ya kulalamikia lalamikia kila kitu ni shida kubwa sana na ni laana ya kiaina, ulalamike kisa mtu ameongoza kwenye uwekezaji nchini mwako, ulalamike kisa mtu ametalii ndani ya nchi yako ilhali milango yote umefungua wewe mwenyewe.
Kama nilivyosema, huwa hatuna jinsi maana tumeunganishwa kwenye viuno, hatuwezi kujitoa, inabidi kufumba macho na kuziba masikio na kufanya biashara.
 
Kwanza rekebisha sehemu mbili, Kenya haingozi katika uwekezaji Tanzania, ni nchi ya tatu baada ya China na Uingereza katika kuwekeza, ila kwa Kenya, Tanzania ni nchi ya kwanza kupeleka investors" Tanzania is a leading destination for Kenya investors". Pili sio kweli kwamba Kenya imefunganishwa na Tanzania kwahiyo hakuna jinsi, ukweli ni kwamba Kenya inalazimisha sana kuwa karibu na Tanzania, Tanzania haipendi wala haitaki kuwa karibu na Kenya, Tanzania inaamini kwamba Kenya ni jirani yetu lakini sio rafiki wala ndugu yetu, sisi ndugu zetu ni SADC countries, tulimwaga damu zetu, tulikua nao wakati wa matatizo, sera na siasa zetu zinafanana, wote tumeegemea ujamaa, Kenya ni ubepari, utasemaje tumefunganishwa kama mkanda?,

Tunarudia tena, Kenya ni majirani zetu lakini sio rafiki zetu, msijrabu kulazimisha undugu usiowezekana, sisi ni mafuta na maji, kamwe hayachanganyiki, Tanzania tumezungukwa na nchi 8, zote hazifuati ubepari isipokua Kenya, tafuteni mabepari wenzenu sisi hatuwahitaji. This is the position.
Well explained, hawa jamaa wanafosi undugu na Tanzania balaa.

Ukweli ni kwamba Kenya haijawahi kuiva na Tanzania hata second moja tokea enzi za Nyerere hata ukiangalia safari za nyerere nje ya nchi ametembelea Kenya nadra sana kwenye uongozi wake.

Siasa za Tanzania na Kenya haziendani na Kenya ndio chanzo cha kuvunjika old east Africa community kwa kifupi hakuna ile harmony relationships between the two of us ni hivyo basi tu ni majirani
 
Hamna sehemu tumelazimisha undugu na nyie, ni kwamba tumejikuta tumeunganishwa na nyie kiasi hatuwezi kujitoa hivyo inabidi kuwavumilia jinsi mlivyo. Nyie hamuendani na nchi yoyote, hataa ukiangalia huko SADC huwa ni kimberembere tu lakini hakuna mnaye endana naye huko, mliwatuma askari wenu kufa bure kitu ambacho hakikua na ulazima, nchi yenu ililemazwa na umaskini baada ya kiherehere cha kujiingiza kwenye ugomvi wa nchi za huko, na leo hii huwa mnachezea kibano kila hao wa huko SADC wakijitoa ufahamu, angalia Msumbiji juzi tuliona mlivyokua mnasakwa na kupigwa ovyo.

Hatuna undugu na nyie lakini tumeunganishwa kiasi kwamba hamna jinsi wala nini inabidi kuishi na nyie kama unavyoweza kuishi na kakao kilaza fulani kijijini ambaye huwa anaishi kwa chuki kila akiona umenunu mabati kwa ajili ya ujenzi wa nyumba yako.

Ikuingie kwamba
- Kenya ndio nchi mnayochangia mpaka mrefu kati ya majirani zenu wote
- Kenya ndio nchi mnachangia makabila ya mpakani zaidi ya majirani zenu wote
- Kenya ndio mnachangia lugha ya Kiswahili zaidi ya majirani zenu wote, maana Kireno hamuwezi kuongea na Msumbiji ilhali Kingereza kiliwashinda
- Kenya ndio muwekezaji mkubwa kwenye nchi yenu ukilinganisha na majirani zenu wote

Hapa naweza kuweka points nyingi sana, lakini kwa jinsi mlivyghubikwa na ujamaa, huwa hamuoni chochote zaidi ya kulalamika na kulialia.
 
Richer countries are leading investors in poorer countries, never the vice versa. Simple economic fact!

Now how some bewildered Tanzanian has this warped up notion of This translating to Tanzania being more needed than Kenya, I honestly don't know.
 
Hamna sehemu tumelazimisha undugu na nyie, ni kwamba tumejikuta tumeunganishwa na nyie kiasi hatuwezi kujitoa hivyo inabidi kuwavumilia jinsi mlivyo. Nyie hamuendani na nchi yoyote, hataa ukiangalia huko SADC huwa ni kimberembere tu lakini hakuna mnaye endana naye huko, mliwatuma askari wenu kufa bure kitu ambacho hakikua na ulazima, nchi yenu ililemazwa na umaskini baada ya kiherehere cha kujiingiza kwenye ugomvi wa nchi za huko, na leo hii huwa mnachezea kibano kila hao wa huko SADC wakijitoa ufahamu, angalia Msumbiji juzi tuliona mlivyokua mnasakwa na kupigwa ovyo.

Hatuna undugu na nyie lakini tumeunganishwa kiasi kwamba hamna jinsi wala nini inabidi kuishi na nyie kama unavyoweza kuishi na kakao kilaza fulani kijijini ambaye huwa anaishi kwa chuki kila akiona umenunu mabati kwa ajili ya ujenzi wa nyumba yako.

Ikuingie kwamba
- Kenya ndio nchi mnayochangia mpaka mrefu kati ya majirani zenu wote
- Kenya ndio nchi mnachangia makabila ya mpakani zaidi ya majirani zenu wote
- Kenya ndio mnachangia lugha ya Kiswahili zaidi ya majirani zenu wote, maana Kireno hamuwezi kuongea na Msumbiji ilhali Kingereza kiliwashinda
- Kenya ndio muwekezaji mkubwa kwenye nchi yenu ukilinganisha na majirani zenu wote

Hapa naweza kuweka points nyingi sana, lakini kwa jinsi mlivyghubikwa na ujamaa, huwa hamuoni chochote zaidi ya kulalamika na kulialia.
Nyie ndio mnafosi ushosti kila tukiban chicks, auction cattle, ban commodities, chase out illegals, bado tu hamkomi to open hands for bilateral talks, you are always the first to cry for resolutions while we don't feel like welcoming you.

Hatukuhudhuria hata uhuru ceremony lakini you still count like we like you?
 
Soma mara kumi nilichoandika kabla hujajibu....
 
Hamna sehemu tumelazimisha undugu na nyie, ni kwamba tumejikuta tumeunganishwa na nyie kiasi hatuwezi kujitoa hivyo inabidi kuwavumilia jinsi mlivyo. Nyie hamuendani na nchi yoyote, hataa ukiangalia huko SADC huwa ni kimberembere tu lakini hakuna mnaye endana naye huko, mliwatuma askari wenu kufa bure kitu ambacho hakikua na ulazima, nchi yenu ililemazwa na umaskini baada ya kiherehere cha kujiingiza kwenye ugomvi wa nchi za huko, na leo hii huwa mnachezea kibano kila hao wa huko SADC wakijitoa ufahamu, angalia Msumbiji juzi tuliona mlivyokua mnasakwa na kupigwa ovyo.

Hatuna undugu na nyie lakini tumeunganishwa kiasi kwamba hamna jinsi wala nini inabidi kuishi na nyie kama unavyoweza kuishi na kakao kilaza fulani kijijini ambaye huwa anaishi kwa chuki kila akiona umenunu mabati kwa ajili ya ujenzi wa nyumba yako.

Ikuingie kwamba
- Kenya ndio nchi mnayochangia mpaka mrefu kati ya majirani zenu wote
- Kenya ndio nchi mnachangia makabila ya mpakani zaidi ya majirani zenu wote
- Kenya ndio mnachangia lugha ya Kiswahili zaidi ya majirani zenu wote, maana Kireno hamuwezi kuongea na Msumbiji ilhali Kingereza kiliwashinda
- Kenya ndio muwekezaji mkubwa kwenye nchi yenu ukilinganisha na majirani zenu wote

Hapa naweza kuweka points nyingi sana, lakini kwa jinsi mlivyghubikwa na ujamaa, huwa hamuoni chochote zaidi ya kulalamika na kulialia.
Huko kote ni kulazimisha undugu kwa nguvu, kwani kuchangia mpaka mrefu kuna uhusiano gani na kuwa na ukaribu au urafiki?, mbona Kenya mna mpaka mrefu na Somalia lakini hamjipeleki Somalia na kulazimisha huo undugu?, kuwa na makabila mengi kuingiliana isiwe sababu ya kujipendekeza.

Undugu na urafiki haujengwi kutokana na kuwa na mipaka mirefu au kuwa na makabila mipakani, unaendana na kufanana kwa mawazo, fikra, sera na mitazamo, hata kama mumezaliwa na baba na mama mmoja, lakini kama mna mitazamo tofauti mtabaki kuwa ndugu wa kuzaliwa tu lakini sio marafiki.

Kuhusu kuwekeza, mnakuja wenyewe kutokana na mazingira ya nchi yetu kuwa mazuri, mna majirani wengi sana, kwanini msiende huko badala yake mnakimbilia Tanzania?, tunajaribu kuwawekea kila aina ya vikwazo ikiwemo expensive working permit, lakini bado mnaendelea kuja, sawasawa na US inavyoweka mazingira magumu kwa nchi za Africa kupata visa, lakini bado waafrika wanapigania kwenda.

Sisi ndiyo tuliokua makao makuu na mwenyekiti wa nchi tano zilizokua mstari wa mbele wa ukombozi kusini mwa Afrika, baada ya ukombozi, umoja huo ukabadilishwa kuwa SADC, Tanzania ndiyo mwanachama namba moja katika kuanzishwa kwa SADC, bila Tanzania SADC inakua haina kiini chake(Nuclear). SADC tunaishi kwa kuheshimiana na kufuata sheria, kama watanzania walienda kuishi bila kufuata sheria, lazima wafukuzwe kwa mujibu wa sheria za nchi husika, hatulalamiki kama Kenya, nchi isiyofuata sheria na kutaka kulinda watu wanaovunja sheria za nchi jirani, ndiyo sababu hutosikia malalamishi toka Uganda, Burundi, Rwanda, Zambia, Malawi au Msumbiji, tukiwafukuza raia wao wanaoishi nchini kinyume cha sheria, Kenya tu ndiyo inalalamika.
1)Urafiki hautokani na kupakana au kufanana kwa makabila
2)Urafiki hauji kwa kufanya biashara
3)Urafiki haujengwi kwa kuzungumza lugha moja
[HASHTAG]#Urafiki[/HASHTAG] unajengwa kwa kuwa na mtazamo, fikra, maono na mawazo yanayofanana, urafiki wa kweli huonekana wakati wa shida, SADC countries tulisaidiana wakati wa shida, no body can separate us.
 
Kwanza rekebisha sehemu mbili, Kenya haingozi katika uwekezaji Tanzania, ni nchi ya tatu baada ya China na Uingereza katika kuwekeza, ila kwa Kenya, Tanzania ni nchi ya kwanza kupeleka investors" Tanzania is a leading destination for Kenya investors". Pili sio kweli kwamba Kenya imefunganishwa na Tanzania kwahiyo hakuna jinsi, ukweli ni kwamba Kenya inalazimisha sana kuwa karibu na Tanzania, Tanzania haipendi wala haitaki kuwa karibu na Kenya, Tanzania inaamini kwamba Kenya ni jirani yetu lakini sio rafiki wala ndugu yetu, sisi ndugu zetu ni SADC countries, tulimwaga damu zetu, tulikua nao wakati wa matatizo, sera na siasa zetu zinafanana, wote tumeegemea ujamaa, Kenya ni ubepari, utasemaje tumefunganishwa kama mkanda?,

Tunarudia tena, Kenya ni majirani zetu lakini sio rafiki zetu, msijrabu kulazimisha undugu usiowezekana, sisi ni mafuta na maji, kamwe hayachanganyiki, Tanzania tumezungukwa na nchi 8, zote hazifuati ubepari isipokua Kenya, tafuteni mabepari wenzenu sisi hatuwahitaji. This is the position.
Umeliweka vyema na huu ni ukweli mchungu!
 
Huko kote ni kulazimisha undugu kwa nguvu, kwani kuchangia mpaka mrefu kuna uhusiano gani na kuwa na ukaribu au urafiki?, mbona Kenya mna mpaka mrefu na Somalia lakini hamjipeleki Somalia na kulazimisha huo undugu?, kuwa na makabila mengi kuingiliana isiwe sababu ya kujipendekeza.

Undugu na urafiki haujengwi kutokana na kuwa na mipaka mirefu au kuwa na makabila mipakani, unaendana na kufanana kwa mawazo, fikra, sera na mitazamo, hata kama mumezaliwa na baba na mama mmoja, lakini kama mna mitazamo tofauti mtabaki kuwa ndugu wa kuzaliwa tu lakini sio marafiki.

Kuhusu kuwekeza, mnakuja wenyewe kutokana na mazingira ya nchi yetu kuwa mazuri, mna majirani wengi sana, kwanini msiende huko badala yake mnakimbilia Tanzania?, tunajaribu kuwawekea kila aina ya vikwazo ikiwemo expensive working permit, lakini bado mnaendelea kuja, sawasawa na US inavyoweka mazingira magumu kwa nchi za Africa kupata visa, lakini bado waafrika wanapigania kwenda.

Sisi ndiyo tuliokua makao makuu na mwenyekiti wa nchi tano zilizokua mstari wa mbele wa ukombozi kusini mwa Afrika, baada ya ukombozi, umoja huo ukabadilishwa kuwa SADC, Tanzania ndiyo mwanachama namba moja katika kuanzishwa kwa SADC, bila Tanzania SADC inakua haina kiini chake(Nuclear). SADC tunaishi kwa kuheshimiana na kufuata sheria, kama watanzania walienda kuishi bila kufuata sheria, lazima wafukuzwe kwa mujibu wa sheria za nchi husika, hatulalamiki kama Kenya, nchi isiyofuata sheria na kutaka kulinda watu wanaovunja sheria za nchi jirani, ndiyo sababu hutosikia malalamishi toka Uganda, Burundi, Rwanda, Zambia, Malawi au Msumbiji, tukiwafukuza raia wao wanaoishi nchini kinyume cha sheria, Kenya tu ndiyo inalalamika.
1)Urafiki hautokani na kupakana au kufanana kwa makabila
2)Urafiki hauji kwa kufanya biashara
3)Urafiki haujengwi kwa kuzungumza lugha moja
[HASHTAG]#Urafiki[/HASHTAG] unajengwa kwa kuwa na mtazamo, fikra, maono na mawazo yanayofanana, urafiki wa kweli huonekana wakati wa shida, SADC countries tulisaidiana wakati wa shida, no body can separate us.

Naona unahangaika sana na kutumia nguvu nyingi kuandika andika, japo nikipitia juu juu naona unataja taja mambo ya urafiki, vitu ambavyo sijavitaja sehemu.

Sisi ni mabepari, hatutafuti urafiki ila maslahiiiiii, niliposema tumeunganishwa kwenye kiuno nilitoa sababu tosha kivipi, kwamba tumelazimishwa kuchangia vitu vingi na ninyi hivyo inabidi kutokua na jinsi ya kuwakwepa nyie. Ukiangalia mumezungukwa na mabepari watupu, nyie ndio huwa mlishalaaniwa na huo upuzi wa kusaka undugu kwa kila mnayemkenulia meno na ndio sababu mnaliwa sana hadi mnaishia kuwa na nchi kubwa ambayo bado leo hii inatajwa kwenye umaskini.
Sisi ni wana biashara, tunasaka hela, pesos, mbeca, $$$$, mulaaaaaa!!! Hayo ya urafiki ni ya ujamaa uliowalemaza kiakili, hatuna muda nawo. Dunia leo hii ipo kimaslahi zaidi, hata kule SADC mlikopeleka kiherehere cha kuingilia ugomvi wao miaka ile, nenda leo hii uwatajie huo upuzi eti mliwapigania uone utakavyotolewa kwa mwendo kasi, wanataka wawekezaji na sio omba omba wanaotafuta fadhila.
 
Hizo sababu zako ulizotoa kuonyesha kwamba tumeunganishwa, hazina msingi wowote, lengo ni kutaka kuonyesha kwamba kuna uhusiano kati yetu na ninyi, sisi tunasema hakuna mahusiano yoyote kati yetu na ninyi, hatutaki na wala msijipendekeze kwetu, hatuwezi kuwa na mahusiano na watu ambao wenyewe kwa wenyewe hampendani, vipi sisi na ninyi?, kama kikuyu na jaluo hawana mahusiano, itakuwaje mkenya awe na mahusiano na Tanzania?.

Kenya ina matatizo mengi sana, njaa, umasikini, ukabila, unemployment, rushwa, insecurity, madeni ambayo mnalazimika kukopa ili kulipa deni, hamuwezi kuikwepa Tanzania, hamna jinsi ndiyo sababu mnabembeleza undugu, zaidi ya kusema Tanzania ni masikini, hamna point nyingine ya kuishambulia Tanzania, standard ya maisha yetu is far higher than yours, hadi maji ni mgao Nairobi, kila kitu tunafanya kwa pesa yetu, ninyi hadi kulipa deni mnakopa.

Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom