Tanzania is Exploding..........!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania is Exploding..........!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by ChingaMzalendo, Nov 1, 2010.

 1. ChingaMzalendo

  ChingaMzalendo Senior Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 9, 2008
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  It is time Jakaya Mrisho Kikwet's government realize that, the country is soon going to explode if they continue holding their votes. People have spoken, their votes have been counted but the NEC and CCM are holding their verdict.

  Kikwete and his henchmen are not going to escape the blame, neither is the NEC. They may find themselves standing at the Hague if they continue and the country descend into bloodbath. Kikwete, Makamba, Lowassa, and the rest, please save your souls, save the country and let people's voice do the rest.

  Dont wake up to find everything is burning, stop this insanity for heaven's sake. Put your personal interest and pride aside, you can supress people but you can never hold back what belong's to them. Kikwete family is coming to pass but Tanzania is going to remain, consider this and let people's voices be heard. They have spoken
   
 2. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Uchochezi huu sasa... Lets not talk of bloodbath aise!
   
 3. R

  Rugemeleza Verified User

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 26, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Uchochezi gani mtu kutaka busara, ukweli na kuheshimu matakwa ya Tanzania yatekelezwe na kuonyesha hatari ya kutofanya hivyo? Itabidi ujifunze maana ya neno hilo.
   
 4. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Unaogopa blood bath eh, basi washauri mafisadi waache uhuni
   
 5. ChingaMzalendo

  ChingaMzalendo Senior Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 9, 2008
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe utasema ni uchochezi, lakini subiri uone kitakachotekea wakiinglia ubungo na mbeya mjini na kutoa majibu wanayotaka wao. Hali itakuwa mbaya zaidi. Watu wanafahamu kabisa nani kashinda, lakini wao wanataka kulazimisha yao, sasa unafikiri nini kitakachofuatia?

  Watu wamechoka sana
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Ikitokea hiyo basi hii dhambi nec hawatasamehewa manake ni kama dhambi ya kumkufuru roho mtakatifu: Haina msamaha!
   
 7. c

  chanai JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa nini Mnyika wanampania sana? 2005 mizengwe ilikuwa hivyo hivyo na hatimaye akatupiliwa mbali. Mwaka huu hadi kieleweke.
   
 8. GFM

  GFM JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Well said Chinga............... na wewe unayeongea pumba hapo chini ... u better kept ur dirt mouth shut wanoleta bloodbath ni CCM na NEC period
  watangaze matokeo, what is a big deal, CCM is not the first political partly to loose an election, it just happened in Brazil and is gone happen in USA in couple days ........if can you did not know.
   
 9. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Damu imekwisha mwagika hii ni aibu ya Tanzania kwa vizazi vyote I am so sad hivi Watanzania tutajificha wapi kwenye kadamnasi la kimataifa? Ndio matatizo ya kuchangua mbumbumbu ambao kwao matumbo yao ndio wanayoyajali.
   
Loading...