Tanzania is Constructing $100 Millions New Stadium in Dodoma...

Naona mambo ya loan wakati mfalme wa Morocco alitupa ahadi.

Tushapigwa tena.

Sent using iphone pro max
 
Siyo Dodoma dah!!
Wangeujenga Arusha au Moshi ili siku tukiandaa AFCON, tuimarishe na utalii hapohapo. Pia, kuna hoteli nyingi around.
Dodoma bado sana, tena sana.
Dom arusha ni jirani,kwa midege yetu hapo dk 30 tu

Sent using iphone pro max
 
Mhh lini? Dodoma kufika watu M5 Dar itakuwa M 30!Hii mass movement ya JPM imeongexa watu Kama Elfu 25! Hapa insjumuisha watumishi na fimilia zao! ...kumbuka Kati ya watumishi 15,000 walio hamia Dom,Ni asilimia SI zaidi ya 30 walihamis na familia zao!
Dodoma hakuna pull factor ya nguvu inayoleta nguvu kazi kutoka maeneo mengine ya nchi!
Huko wanafyatuana tu.

In 15 yrs to 25 yrs mji utakuwa na population ya 10m

Sent using iphone pro max
 
Mwanza sio mji mkuu ni jiji labda nadhani Jiji la Mwanza hulijui vizuri mkuu, sipingi ukuaji wa Dodoma ila nakushauri urudi tena kuichunguza Mwanza na population yake ndio uje utabiri tena isije ikawa unatika huko Buchosa unasema unatok Mwanza.
😁😁😁😁😁 Subiri takwimu mpya
 
Wana andaa "GOFU" litakalojaa mapanyabuku kibao...
Wawaulize South Africa vile viwanja vyao wanafanya Nini Sasahivi... Sijui Hakuna Washauri ktk hiyo project...
Si washauri katika hiyo tu, mipango mingi ktk 'inji' hii nina shaka kama huwa inajadiriwa na Baraza la mawaziri kupata maridhiano. Yaonekana ni uamuzi wa mtu mmoja, wengine huwa ni wasikilizaji tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom