Tanzania is considered a higher risk jurisdiction and (Acacia) hasn’t been functioning as a company should be, otherwise we wouldn’t be interfering

*Tanzania is considered a higher risk jurisdiction*katika lipi? wazungu bwana! Taifa likianza kujitambua na kubuni mbinu za kulinda rasilimali zake ndo linapewa majina hayo na propaganda kibao. Mzee kabudi (prof) na nia ya Raisi JPM iheshimiwe hili sakata si dogo linawahusisha makampuni ya kizungu yenye ushawishi kiuchumi na kisiasa katika mataifa yenye nguvu Sana duniani na kwa busara za Kabudi na Raisi wetu tunaendelea vizuri.Natamani na nchi Kama DRC Congo wange fuata nyayo zetu.Namwomba mungu Kila siku maraisi watakaomrithi JPM wawe na nia,busara,hekima na ujsiri wa kiwango chake au zaidi na tuepushwe na Raisi goigoi. Kumbukeni China chini ya Mao ilipokua katika harakati za kujikomboa ilishambuliwa Sana kua haiheshimu haki za binadamu na propaganda na mbinu za kijasusi zilitumika kuwavuruga hata hivo walivumilia na Sasa nitaifa kubwa, North Korea enzi za Bushi ilitajwa miongoni mwa mataifa mihimili ya maovu duniani wa vumilia na malengo yao yakatimia. Walifanikiwa kwakua walibaki wamoja na wasaliti walidhibitiwa. Wasi wasi wangu nikipitia nyuzi na michango mbali mbali hapa jukwaani nachelea kusema kua wengi wetu tunasahau mifumo iliowekwa na mabeberu ili kufyonza rasilimali zetu waafrica. Na ili kubomoa mifumo hi lazima wakati mwingi kuwatega na kujitoa ufahamu na ikiwezekana tupambane na propaganda zinazo pigwa juu yetu....kumbukeni propaganda inanguvu Sana Kama dini.
 
You kept on asking yourself a couple of questions and yet you made a conclusion based on the study
What a shame
By the way,have you gone through the comments of Lissu & Zitto regarding the subject matter as you hinted out.
Naona inazidi kuji contradict
Basic question, umeelewa Maana ya kilichaondikwa na Barrick ?
Kama huna Jibu la hili you better packoff and hide your ass...
Akili ndogo hukimbilia matusi.
Maliza matusi njoo niletee tafsiri ya hilo bandiko juu.

If you were an intelligent and articulate person than me you would have been wise enough to provide me with your version of translation in swahili.
All I see is brah brah, spitting low life words like uncivilized person.

Probably you underestimated me.
I'm sure you got your bitter lesson today, swallow it.
 
Kuna taarifa kwamba Kikwete aliwakamua Accacia fedha nyingi kuliko 300 million tuliyoahidiwa na Barrick. Na aliwakamua bila kuleta vurugu na kukimbiza wawekezaji.

..Magufuli alianza kudai 191 billion. Sasa haieleweki kitu gani kimetokea mpaka madai yamekuwa 300 million.

WaTz ni kama tumepumbazwa au kuchukuliwa msukule. hatuzungumzii tena billion 191 sasa tumekomalia 300 million.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya 191 billion na 300 million. Nini kimepita hapo katikati mpaka sasa serekali haizungumzii tena findings za report ya uchunguzi na madai ya 191 billion?

Kwa maoni yangu tulipaswa kuwa na akiba ya maneno na akiba ya matendo. Nadhani suala hili halikushughulikiwa kwa weledi unaostahili.
Adui ujinga bado analitatua taifa.
 
Out of context.
Looks like you didn't understand my question.
Can we discuss that news in english?
Can we listen and read Lissu and Zitto's comments about copper concetrates ban?

What I have asked and what you are trying to feed my mouth are two different things.

Maswali rahisi sana
"Kwanini hawa wazungu wameshindwa kutuburuza MIGA tunyolewe bila maji?"

"Ripoti za makinikia zilikuwa sio sahihi za kukurupuka kiasi cha kustahili kuitwa 'takataka' kama alivyosema Lissu?"

ZINGATIA:
  1. Serikali haijashitakiwa MIGA.
  2. Serikali imepitisha sheria mpya ya madini inayotaka usuluhishi ufanyike mahakama za ndani (TZ).
  3. Serikali imeongezewa hisa umiliki wa migodi yote ya Barrick & Accacia kufikia 16% kama sikosei takwimu.
  4. Serikali itapewa US$ 300m pesa ya 'goodwill' au 'nia njema' kwa tafsiri isiyo rasmi.
  5. Serikali imelazimisha mazingira ya Barrick kufikiria kumuondoa kabisa Accacia kwa kununua hisa zake za migodi yao Tanzania, na wamelazimika kutamka kauli nzito kwamba Accacia wanaonekana kutofanya vizuri kazi zake hapa nchini.
  6. Serikali imepitisha sheria ofisi za uhasibu/fedha za makampuni ya madini ziwe hapa nchini.
  7. Account za benki za kampuni za madini zifunguliwe bank za ndani.

Ebu nieleze hapo serikali ime 'fail' wapi au au ime 'gain' nini?

Tuwekee tafsiri ya maneno yako ya hilo bandiko na barua aliyo ambatanisha Yericko Nyerere umeelewaje?

Tusaidie sisi tusiojua kiingereza au tusiokuwa na ufahamu baada ya kusoma maandiko au habari.

Haitasaidia kama hautaweka wewe umeelewaje. Tutafsirie mkuu.
Labda mimi niiweke kwa namna hii,sisi tulimkamata mwizi wetu ambae ni acacia red handed akiwa na vitu alivyotuibia na tukaviorodhesha,friji kubwa mpya,friza mpya,iphone 2,smart tv samsung curve inch 48,makochi ya ngozi,laptop mbili,generator moja nk,yani kwa ujumla jamaa ametuibia kwelikweli.baada ya kumkamata sisi tulitakiwa tumpeleke polisi halafu aende mahakamani tumshtaki lkn cha ajabu baba yake akaja tukaanza majadiliano na baba yake tukamuachia mtoto aendelee na shughuli zake.kwahiyo utaona wakati majadiliano yanaendelea sisi wenyewe tumepunguza vitu tulivyomkuta navyo akituibia kutoka,mafriji,ma tv ya kisasa,ma simu ya maana mpaka tumebaki tunamdai ni nokia tochi moja,tecno mbili na subwoofer moja😌,na kumbuka majadiliano bado yanaendelea ina maana hata hizi tecno tulizokubaliana nao kwamba ndio tulizowakamata nazo(kishika uchumba) bado hawajaturudishia,inamaana wanazidi kutushusha kwenye makubaliano kitu ambacho sisi hatutaki kukubaliana nao,sasa badala ya sisi tuchukue hatua ya kuwashtaki badala yake tunajizungusha zungusha tu.hivyo kwa ishu ilipofikia acacia au barick bado anaona udhaifu wetu na fursa ya kuendelea kufanya shughuli zake na sisi kwasababu hatujambana kisawasawa mpaka afikirie kutushtaki.hizi faida nyingine kama 50/50,16% na mengineyo yangeweza kupatikana bila hii saga ya mchanga na deni la 190b,tungeweza kukaa na kuamua kuanzia sasa tunataka sheria zinazotunufaisha na sisi kama tulivyofanya,sidhani kama angetokea wa kutuzuia kufanya hivyo kuliko jambo lilivyokuwa.
 
Akili ndogo hukimbilia matusi.
Maliza matusi njoo niletee tafsiri ya hilo bandiko juu.

If you were an intelligent and articulate person than me you would have been wise enough to provide me with your version of translation in swahili.
All I see is brah brah, spitting low life words like uncivilized person.

Probably you underestimated me.
I'm sure you got your bitter lesson today, swallow it.
I want you to be honest,you have to admit first that you didn't understand the content of the thread in the first place,from there I will be readily available to explain it to you in a plain Swahili langauge.
 
Sijuhi ndio lugha gani? Nyinyi ndio wanafunzi zao la division 5 na shule za kata mnaotusumbua mitandaoni mkijiita great thinkers ilhali kuandika tu ni shida
Mkuu wala usitumie nguvu nyingi kulaumu, hata hiyo div.5 sins....sijasoma elimu "rasmi" ya kupangwa mafungu, mimi nimesomea nyumbani tu!
 
Barrick was leading negotiations with the Tanzanian government on the tax issue while Acacia was shut out of the talks. Barrick has accused Acacia of failing to cooperate.

Kiingereza kigumu hiki, ila hako ka mstari nimeelewa kidogo, naona kama Barrick anamlaumu mwanae kwa kuwa mkaidi, tofauti na tulivyoambiwa na Mh.Tundu Antipasi Lissu (MB) kuwa tutanyolewa kwa vigae na mahakama sijuhi za Uturuki sijuhi wapi huko wanjua wenyewe akina Lissu,Pascal Mayalla na wenzake!

"This is not an opportunity to exploit a situation, it’s a genuine attempt to mediate an outcome to a situation which has become extremely emotional and which is holding up the mining industry in Tanzania,” he said.

Wataalam wa kiswahili hii ina maana gani?
 
Watanzania ni wajeuri wa kuelewa na wakurupukaji wakuu; ila sasa naona mmeanza kumwelewa Lissu!!
 
Hawa Acacia wanashirikiana na Barrick kusepa bila kulipa Noah. Lissu alisema hawa jamaa hawatatoa hata jero, na leo tunashuhudia nchi inapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa
 
.Namwomba mungu Kila siku maraisi watakaomrithi JPM wawe na nia,busara,hekima na ujsiri wa kiwango chake au zaidi na tuepushwe na Raisi goigoi.
Amen, naunga mkono hoja.
P
 
Back
Top Bottom