Tanzania is considered a higher risk jurisdiction and (Acacia) hasn’t been functioning as a company should be, otherwise we wouldn’t be interfering

Wale wa MIGA na wale wa kushangilia saga la makinikia wote mje hapa mtufafanulie hawa jamaa wameshindwaje kuiburuza Tanzania mahakama za kimataifa za usuluhishi wa kibiashara?

Kweli serikali ya Magufuli imekurupuka na ripoti ya ya maprofesa ilikuwa mbovu kiasi cha kustahili kuitwa 'Profeserio rubbish'?
Umeelewa content lakini ?
 
Mkuu Ndebile, wajinga tuu ndio waliwao, Barrick na Acacia ni baba na mwana, lao moja. Mtoto kaharibu, baba kaingilia kati, kaja kuzungumza na sisi bila mwanae mharibifu, na baba kila akizungumza, anasisitiza chochote tutakacho kubaliana, lazima mwanae aridhie kwanza ndipo kitekelezwe. Kwenye board ya Acacia, Barrick ndie mwenye controling stake ya 63.9, hivyo Acacia ni minoriy shareholder, tangu lini minority akawa na sauti hata baba anyenyekee?.

Deni letu ni US $190bn, Baba akaahidi goodwill money ya US$ 300m kuonyeshea nia njema na kusema mtoto ndio atalipa huku akijua wazi mtoto hana hiyo fedha.

Tulipotoa hili deni la $190 bilions, sisi humu tukamweleza rais wetu unadanganywa na watu wako, mwisho wa mazungumzo hakuna tena deni la $190 bilions, zimebaki just $300milions ambazo Barrick angeweza kuzitoa pale pale na kumaliza huu mchezo, tunaambiwa mtoto kakataa!, ni wajinga tuu ndio wanaweza kuamini.

Kwa vile the final settlement deal ni Acacia kuvunjwa na kuundwa kampuni mpya yenye 16% stake ya Watanzania, ili kumzuia mwanae asiumie kwenye kuvunjwa huku na kuundwa upya, Barrick akaamua kwanza kumrudisha nyumbani mwanae Acacia, na kwa vile mtoto huyu ni independent kwenye masoko ya hisa ya London na Dar es Salaam, lazima baba atangaze kumnunua mwanae 100% Acacia iwe disolved, Baba alipe ile $300 ya kishika uchumba, halafu kwanza ataunda kijikampuni Tanzu kingine, ndicho hicho kijikampuni tupewe 16%shares na mchezo umekwisha.

This is a very big game I feel sorry kwa level yetu we can't play!.

Mimi nimesema kila kitu humu, but who is me hadi watu wanisikilize?, tumepigwa mchana kweupe toka US $190 hadi peanut ya just $300 huku tunachafuliwa halafu watu humu mnashangilia!.

Kiukweli kabisa, ili Tanzania tuweze kupata maendeleo ya ukweli, kuna baadhi ya viongozi wetu, their heads seriously need be examined!.
P.
Rejea

Utakuta watu kama Titicomb ama jingalao ambao hawakuelewa content ya uzi (Nia ya Barrick ) wakaanza kushangili in first place (reffer posts kumi za Mwanzo) na kuanza kujisifia utakuta nao wapo kwenye timu ya Maafisa wa Serikali ya negotiations na Barick
Tatizo Lugha Mkuu
 
Kwenye hili la makinikia wazungu wamepoteza fedha gani?.
Kwenye mchanga, tunaibiwa kwa sababu hatujui kilichomo. Rais Magufuli aliuzuia mchanga kwa nia njema kabisa, ili tujue kilichomo. Sasa tangu auzue mpaka leo, jee umewahi kusikia juhudi zozote za sisi kujua kilichomo?.

Rais ameunda tume mbili zikathibitisha tunaibiwa, tukapiga hesabu ikaja ni dola bilioni 190. Sasa mgogoro umeisha tunalipwa hiyo pesa?.

Mimi sio uchumi, lakini ikipigwa hesabu ya kwenye hili sakata lote la makinikia, tangu limeanza hadi siku tunalipwa hiyo dola milioni 300,halafu tukafanya a comparison analysis ya mapato ambayo tungeingiza kwa kuendelea kuibiwa, unaweza kukuta we have lost big time.

Kutokana na kuuuzui mchanga kwa kutojua kilichomo, sasa mgogoro umekwisha, tutaruhusu mchanga bila kujua kilichomo, kama huku sii kikurupuka ni nini?.

Kama hawa jamaa wametuibia kodi ya dola bilioni 190, wao wakasema watatupa zawadi ya dola milioni 300 wakati tukizungumzia deni hilo la dola
bilioni 190, mwisho wa mazungumzo tunalipwa tuu zawadi ya dola milioni 300, kwa nini ile dola bilioni 190 haitajwi tena popote, huku kama sii kukurupuka ni nini?.

Tukifanya overall assesment ya gainers and looses, tunaweza kujikuta sisi ndio tume loose big time, halafu majitu mnataka kuja humu kuanza kusifia na kushangilia peanuts!.
P

Kwenye mambo kama haya, sisi watu wa bara hili huwa hatuna long term plan. Tunaangalia kila kitu kwa mtazamo wa siku ya leo itaishaje.
Mimi nafikiri tulijirahisisha mno wakati wa kuwakaribisha wawekezaji. Tusingeweza kupata faida yoyote kama mambo yasingebadilika.
Hatari ya maamuzi yaliyofanyika ni kuondoa confidence ya investors. Ila kama ikikaa sawa na wakaona hawasumbuliwi, wanaweza kuja kuwekeza kwa terms mbadala. Yes, on short term basis, we have lost. What about on long term projection?
 
..kinachoendelea ni kama kukamata mwizi, unampeleka kituo cha Polisi, halafu kesho yake unamkuta yuko kitaa.

..sisi tulikamata accacia ni mwizi katuibia usd 191 billion. ghafla akatokea Barrick anataka mazungumzo.

..baada ya barrick kutokea hatuzungumzii tena wizi uliotokea. badala yake tunazungumzia jambo jipya kabisa, "kishika uchumba" cha usd 300 million.
 
Kwenye hili la makinikia wazungu wamepoteza fedha gani?.
Kwenye mchanga, tunaibiwa kwa sababu hatujui kilichomo. Rais Magufuli aliuzuia mchanga kwa nia njema kabisa, ili tujue kilichomo. Sasa tangu auzue mpaka leo, jee umewahi kusikia juhudi zozote za sisi kujua kilichomo?.

Rais ameunda tume mbili zikathibitisha tunaibiwa, tukapiga hesabu ikaja ni dola bilioni 190. Sasa mgogoro umeisha tunalipwa hiyo pesa?.

Mimi sio uchumi, lakini ikipigwa hesabu ya kwenye hili sakata lote la makinikia, tangu limeanza hadi siku tunalipwa hiyo dola milioni 300,halafu tukafanya a comparison analysis ya mapato ambayo tungeingiza kwa kuendelea kuibiwa, unaweza kukuta we have lost big time.

Kutokana na kuuuzui mchanga kwa kutojua kilichomo, sasa mgogoro umekwisha, tutaruhusu mchanga bila kujua kilichomo, kama huku sii kikurupuka ni nini?.

Kama hawa jamaa wametuibia kodi ya dola bilioni 190, wao wakasema watatupa zawadi ya dola milioni 300 wakati tukizungumzia deni hilo la dola
bilioni 190, mwisho wa mazungumzo tunalipwa tuu zawadi ya dola milioni 300, kwa nini ile dola bilioni 190 haitajwi tena popote, huku kama sii kukurupuka ni nini?.

Tukifanya overall assesment ya gainers and looses, tunaweza kujikuta sisi ndio tume loose big time, halafu majitu mnataka kuja humu kuanza kusifia na kushangilia peanuts!.
P

Nimekupata vizuri kabisa mkuu.

Ubarikwe
 
Utakuta watu kama Titicomb ama jingalao ambao hawakuelewa content ya uzi (Nia ya Barrick ) wakaanza kushangili in first place (reffer posts kumi za Mwanzo) na kuanza kujisifia utakuta nao wapo kwenye timu ya Maafisa wa Serikali ya negotiations na Barick
Tatizo Lugha Mkuu
Out of context.
Looks like you didn't understand my question.
Can we discuss that news in english?
Can we listen and read Lissu and Zitto's comments about copper concetrates ban?

What I have asked and what you are trying to feed my mouth are two different things.

Maswali rahisi sana
"Kwanini hawa wazungu wameshindwa kutuburuza MIGA tunyolewe bila maji?"

"Ripoti za makinikia zilikuwa sio sahihi za kukurupuka kiasi cha kustahili kuitwa 'takataka' kama alivyosema Lissu?"

ZINGATIA:
  1. Serikali haijashitakiwa MIGA.
  2. Serikali imepitisha sheria mpya ya madini inayotaka usuluhishi ufanyike mahakama za ndani (TZ).
  3. Serikali imeongezewa hisa umiliki wa migodi yote ya Barrick & Accacia kufikia 16% kama sikosei takwimu.
  4. Serikali itapewa US$ 300m pesa ya 'goodwill' au 'nia njema' kwa tafsiri isiyo rasmi.
  5. Serikali imelazimisha mazingira ya Barrick kufikiria kumuondoa kabisa Accacia kwa kununua hisa zake za migodi yao Tanzania, na wamelazimika kutamka kauli nzito kwamba Accacia wanaonekana kutofanya vizuri kazi zake hapa nchini.
  6. Serikali imepitisha sheria ofisi za uhasibu/fedha za makampuni ya madini ziwe hapa nchini.
  7. Account za benki za kampuni za madini zifunguliwe bank za ndani.

Ebu nieleze hapo serikali ime 'fail' wapi au au ime 'gain' nini?

Tuwekee tafsiri ya maneno yako ya hilo bandiko na barua aliyo ambatanisha Yericko Nyerere umeelewaje?

Tusaidie sisi tusiojua kiingereza au tusiokuwa na ufahamu baada ya kusoma maandiko au habari.

Haitasaidia kama hautaweka wewe umeelewaje. Tutafsirie mkuu.
 
Barrick’s offer follows more than two years of wrangling over a ban on mineral concentrate exports from Tanzania and a $190 billion tax bill, which has dragged Acacia’s share price 70% lower. The tax bill has since been reduced to $300 million.

What a shame???? Yani kumbe walipunguza tax bill na Wala haikuwa kishika uchumba????

Lissu was right....this was a proffesorial rubish...

Balaa la karne 🙌🙌🙌🙌

Lisu the greatest was correct 100%
 
Mkuu Ndebile, wajinga tuu ndio waliwao, Barrick na Acacia ni baba na mwana, lao moja. Mtoto kaharibu, baba kaingilia kati, kaja kuzungumza na sisi bila mwanae mharibifu, na baba kila akizungumza, anasisitiza chochote tutakacho kubaliana, lazima mwanae aridhie kwanza ndipo kitekelezwe. Kwenye board ya Acacia, Barrick ndie mwenye controling stake ya 63.9, hivyo Acacia ni minoriy shareholder, tangu lini minority akawa na sauti hata baba anyenyekee?.

Deni letu ni US $190bn, Baba akaahidi goodwill money ya US$ 300m kuonyeshea nia njema na kusema mtoto ndio atalipa huku akijua wazi mtoto hana hiyo fedha.

Tulipotoa hili deni la $190 bilions, sisi humu tukamweleza rais wetu unadanganywa na watu wako, mwisho wa mazungumzo hakuna tena deni la $190 bilions, zimebaki just $300milions ambazo Barrick angeweza kuzitoa pale pale na kumaliza huu mchezo, tunaambiwa mtoto kakataa!, ni wajinga tuu ndio wanaweza kuamini.

Kwa vile the final settlement deal ni Acacia kuvunjwa na kuundwa kampuni mpya yenye 16% stake ya Watanzania, ili kumzuia mwanae asiumie kwenye kuvunjwa huku na kuundwa upya, Barrick akaamua kwanza kumrudisha nyumbani mwanae Acacia, na kwa vile mtoto huyu ni independent kwenye masoko ya hisa ya London na Dar es Salaam, lazima baba atangaze kumnunua mwanae 100% Acacia iwe disolved, Baba alipe ile $300 ya kishika uchumba, halafu kwanza ataunda kijikampuni Tanzu kingine, ndicho hicho kijikampuni tupewe 16%shares na mchezo umekwisha.

This is a very big game I feel sorry kwa level yetu we can't play!.

Mimi nimesema kila kitu humu, but who is me hadi watu wanisikilize?, tumepigwa mchana kweupe toka US $190 hadi peanut ya just $300 huku tunachafuliwa halafu watu humu mnashangilia!.

Kiukweli kabisa, ili Tanzania tuweze kupata maendeleo ya ukweli, kuna baadhi ya viongozi wetu, their heads seriously need be examined!.
P.
Rejea

Mkuu,300m usd is nothing tuki compare na madhara ya kuchafuliwa kiasi kile,na huu mchezo nahisi unachezwa na barrick,nadhani barrick wanataka kutoka kwenye biashara ya madini Tanzania kijanja na tusipokuwa makini hiyo kampuni mpya itaachwa nyeupe na madeni juu,acacia na barrick wanatuchezea masharubu,wanataka wapige ngoma sisi tucheze,alafu tatizo lingine naliona kwenye hiyo 300m usd,kwanini ipewe jina zuri kama goodwill, kwanini hata wapingepigwa kama fine ya tax evasion hili jina la acacia lichafuliwe na sisi kama taifa tubaki salama huko nje
 
Out of context.
Looks like you didn't understand my question.
Can we discuss that news in english?
Can we listen and read Lissu and Zitto's comments about copper concetrates ban?

What I have asked and what you are trying to feed my mouth are two different things.

Maswali rahisi sana
"Kwanini hawa wazungu wameshindwa kutuburuza MIGA tunyolewe bila maji?"

"Ripiti za makinikia zilikuwa sio sahihi za kukurupuka kiasi cha kistahili kuitwa 'takataka' kama alivyosema Lissu?"

ZINGATIA:
  1. Serikali haijashitakiwa MIGA.
  2. Serikali imepitisha sheria mpya ya madini inayotaka usuluhishi ufanye mahakama za ndani (TZ).
  3. Serikali imeongezewa hisa umiliki wa migodi yote ya Barrick & Accacia kufikia 16% kama sikosei takwimu.
  4. Serikali itapewa US$ 300m pesa ya 'goodwill' au 'nia njema' kwa tafsiri isiyo rasmi.
  5. Serikali imelazimisha mazingira ya Barrick kufikiria kumuondoa kabisa Accacia kwa kununua hisa zake za migodi yao Tanzania, na wamelazimika kutamka kauli nzito kwamba Accacia wanaonekana kutofanya vizuri kazi zake hapa nchini.

Ebu nieleze hapo serikali ime 'fail' wapi au au ime 'gain' nini?

Tuwekee tafsiri ya maneno yako ya hilo bandiko na barua aliyo ambatanisha Yericko Nyerere umeelewaje?

Tusaidie sisi tusiojua kiingereza au tusiokuwa na ufahamu baada ya kusoma maandiko au habari.

Haitasaidia kama hautaweka wewe umeelewaje. Tutafsirie mkuu.

..serekali imefeli kwasababu tunawadai accacia billion 191 lakini tunakwenda kulipwa million 300.

..na mwizi wetu accacia hatutamuona tena kwasababu anakwenda kufutwa kwa kununuliwa na barrick.

NB:

..from billion 191 mpaka million 300 unafikiri tumenyolewa na kitu gani? mimi nadhani tumenyolewa kwa msumeno.
 
Mkuu,300m usd is nothing tuki compare na madhara ya kuchafuliwa kiasi kile,na huu mchezo nahisi unachezwa na barrick,nadhani barrick wanataka kutoka kwenye biashara ya madini Tanzania kijanja na tusipokuwa makini hiyo kampuni mpya itaachwa nyeupe na madeni juu,acacia na barrick wanatuchezea masharubu,wanataka wapige ngoma sisi tucheze,alafu tatizo lingine naliona kwenye hiyo 300m usd,kwanini ipewe jina zuri kama goodwill, kwanini hata wapingepigwa kama fine ya tax evasion hili jina la acacia lichafuliwe na sisi kama taifa tubaki salama huko nje
Hiyo $300milioni, iliitwa goodwill pale offer ilipotolewa na rais wa Barrick, lakini kwenye final settlement, imeishabadilishwa jina, inaitwa kifuta machozi ya lile deni la $190bilions
P
 
..serekali imefeli kwasababu tunawadai accacia billion 191 lakini tunakwenda kulipwa million 300.

..na mwizi wetu accacia hatutamuona tena kwasababu anakwenda kufutwa kwa kununuliwa na barrick.
Je kuna mahali popote umeona hao jamaa wamesema au kuandika 'clause' inayotamka majadiliano yamefikia mwisho na makubaliano deni limefutwa lote na kufikia US$ 300m?

Au haya ni maneno ambayo tunawawekea sisi mdomoni mwao?
 
..na wewe nionyeshe ni wapi wamesema wanakubaliana na deni la usd billion 191.

..hii habari ilishakwisha baada ya ceo wa barrick kuja hapa na kuanza kuitwa mwanaume.
 
The discussion is too hot lakini swali linabaki ,je nani amenufaika na hili saga?ni tz au acacia?kwa upande wangu naona mwanga kwa mbaali kuwa tukiendelea hivi kuna possibility ya kuja kunufaika badae lakini kwa hili tumepoteza game ...tumepoteza kwa sababu mchanga ulikuwa unalipiwa kodi ili kusafirishwa so tangu uzuiwe na hio milion3000 tunayopewa inaweza kuwa haki kweli! Any one can prove me wrong.
 
Back
Top Bottom