Tanzania is considered a higher risk jurisdiction and (Acacia) hasn’t been functioning as a company should be, otherwise we wouldn’t be interfering

Wewe ungefanya nini? Ungewafilisi kwa kuwadai kodi au ungechenjua makinikia ujue Kodi halisi? Yote hayo ni gharama, usumbufu, na kufunga migodi hivyo kupoteza mapato mengine! Mikataba ni uelewano na win win situation.
Sasa mbwembwe zote nilikuwa za nini? si mliambiwa mnatafuta political mileage tu ni si maslahi ya nchi mkaishia kupiga watu risasi? sasa mmefika wapi?au hizi ndo sababu za kukotea kwenye ujinga mlioufanya?Huku mkiwa mshaharibu
 
Kwenye hili la makinikia wazungu wamepoteza fedha gani?.
Kwenye mchanga, tunaibiwa kwa sababu hatujui kilichomo. Rais Magufuli aliuzuia mchanga kwa nia njema kabisa, ili tujue kilichomo. Sasa tangu auzue mpaka leo, jee umewahi kusikia juhudi zozote za sisi kujua kilichomo?.

Rais ameunda tume mbili zikathibitisha tunaibiwa, tukapiga hesabu ikaja ni dola bilioni 190. Sasa mgogoro umeisha tunalipwa hiyo pesa?.

Mimi sio uchumi, lakini ikipigwa hesabu ya kwenye hili sakata lote la makinikia, tangu limeanza hadi siku tunalipwa hiyo dola milioni 300,halafu tukafanya a comparison analysis ya mapato ambayo tungeingiza kwa kuendelea kuibiwa, unaweza kukuta we have lost big time.

Kutokana na kuuuzui mchanga kwa kutojua kilichomo, sasa mgogoro umekwisha, tutaruhusu mchanga bila kujua kilichomo, kama huku sii kikurupuka ni nini?.

Kama hawa jamaa wametuibia kodi ya dola bilioni 190, wao wakasema watatupa zawadi ya dola milioni 300 wakati tukizungumzia deni hilo la dola
bilioni 190, mwisho wa mazungumzo tunalipwa tuu zawadi ya dola milioni 300, kwa nini ile dola bilioni 190 haitajwi tena popote, huku kama sii kukurupuka ni nini?.

Tukifanya overall assesment ya gainers and looses, tunaweza kujikuta sisi ndio tume loose big time, halafu majitu mnataka kuja humu kuanza kusifia na kushangilia peanuts!.
P
Uwezo wetu ni hizi peanuts sasa tunaachaje kushangilia,hata mtukufu akitokea akasema sisi ni donna country kwa hiyo hizo peanuts hatuzitaki tena tutashangilia na kuunga mkono.sisi no cam bwana,fikra za mwenyekiti zinadumishwa daima
 
Ndio maana nikasema wewe ndiye uliyesema haya.

Rejea Makubaliano kati ya Mwenyekiti wa Barrick na Team ya Kabudi na uyaelewe vyema.

Kishika uchumba
Faida 50/50
Uchenjuaji

huku mazungumzo yakiendelea kuhusu kodi waliyokwepa.
Mkuu Jingalao usitake kunichonganisha, aliyesema tumesamehe ni taarifa ya Ikulu, ukisema ni mimi, itaonekana kama kweli ni mimi ndiye niliyetoa siri ya kusamehe dola bilioni 190 na kuomba tupewe kile kishika uchumba tuu.

Hata barua za serikali zilizoandikwa Jumapili zilikuwa siri, usije kusema ni mimi ndio nimetoa siri.
Kuna siri fulani ni an open secret
P.
 
Mkuu Winnerian, asante kwa taarifa hii.
Kiukweli sisi Watanzania ni watu wa ajabu sana!, huyu mtu anatutangaza vibaya hivi kimataifa kuwa Tanzania ni higher risk nation for investors, halafu watu humu wanashangilia!.

Taarifa hii kaitolea Reuters na sio kwenye haya magazeti yetu ya kufungia maandazi.
What does this tell about our nation to the rest of the world as far as investment climate is concerned?.

Kwa ruhusa yako, nitaomba nilitumie bandiko lako hili kama mbegu ya kuoteshea bandiko langu fulani.
P.
Kwani ni uongo?

Ulitaka aipambe Tanzania kwa image ya uongo?

Kuwekeza Tanzania ni very risky.
 
UPDATE 1-Barrick's offer for Acacia Mining reflects Tanzania risk -CEO

Zandi Shabalala, Nichola Saminather
4 MIN READ

* Barrick offer for Acacia “fair”- Barrick CEO

* Offer is 11% discount from Barrick’s own valuation

By Zandi Shabalala and Nichola Saminather

LONDON/TORONTO, May 24 (Reuters) - Barrick Gold Corp’s offer to buy the rest of Acacia Mining for $787 million is fair because the Canadian company is taking on more risk by increasing its exposure to Tanzania, its chief executive said on Friday.

Barrick, which owns 63.9% of London-listed Acacia, proposed on Tuesday to buy out the minority shareholders as part of efforts to resolve a 2017 tax dispute with the Tanzanian government.
However, its offer, which was not a firm intention, represents a near 11% discount to Acacia’s closing share price on Tuesday and is 42% below Barrick’s own audited valuation of Acacia’s assets in its 2018 annual report.
The discount has elicited complaints from some of Acacia’s minority shareholders, but Bristow said the offer was fair because Barrick was taking on more risk.
“We have had a good look at the assets and ... the (agreement with the Tanzanian government), which still has to be finalized, comes with risk,” Barrick CEO Mark Bristow said in an interview with Reuters.
“Tanzania is considered a higher risk jurisdiction and (Acacia) hasn’t been functioning as a company should be, otherwise we wouldn’t be interfering in it,” he said.
Barrick clinched a framework deal with Tanzania on the tax issue in 2017 that required Acacia to pay $300 million, hand over a 16% stake in its three gold mines and split the economic benefits from its operations.

“I can assure you there’s nothing else,” Bristow said. “No side agreement or other agreement, which we’re trying to exploit.”
Acacia declined to comment.
Barrick’s offer follows more than two years of wrangling over a ban on mineral concentrate exports from Tanzania and a $190 billion tax bill, which has dragged Acacia’s share price 70% lower. The tax bill has since been reduced to $300 million.
Barrick was leading negotiations with the Tanzanian government on the tax issue while Acacia was shut out of the talks. Barrick has accused Acacia of failing to cooperate.
Barrick said on Tuesday that the east African country had refused to settle directly with Acacia, prompting it to make the offer to take full control the miner.
Some minority shareholders and analysts have said Barrick’s offer was too low, but also said that the Tanzanian government’s stance limited Acacia’s options.
One Acacia shareholder told Reuters he was skeptical as Barrick had not made a firm offer but only an indicative one.
“That shows that (Barrick) can pull the offer at any point...” the shareholder, who declined to comment, said.

Analysts at Jefferies said: “An outcome whereby Acacia could return to a normalized operating environment appears increasingly unlikely and we believe this was the trigger to Barrick proposing the offer.”
Asked whether there were alternative plans to solving the dispute, Bristow said: “If we had a better plan, we would have tabled it.
“This is not an opportunity to exploit a situation, it’s a genuine attempt to mediate an outcome to a situation which has become extremely emotional and which is holding up the mining industry in Tanzania,” he said.
View attachment 1106858
Barrick’s offer follows more than two years of wrangling over a ban on mineral concentrate exports from Tanzania and a $190 billion tax bill, which has dragged Acacia’s share price 70% lower. The tax bill has since been reduced to $300 million.

What a shame???? Yani kumbe walipunguza tax bill na Wala haikuwa kishika uchumba????

Lissu was right....this was a proffesorial rubish...
 
Barrick was leading negotiations with the Tanzanian government on the tax issue while Acacia was shut out of the talks. Barrick has accused Acacia of failing to cooperate.
Kiingereza kigumu hiki, ila hako ka mstari nimeelewa kidogo, naona kama Barrick anamlaumu mwanae kwa kuwa mkaidi, tofauti na tulivyoambiwa na Mh.Tundu Antipasi Lissu (MB) kuwa tutanyolewa kwa vigae na mahakama sijuhi za Uturuki sijuhi wapi huko wanjua wenyewe akina Lissu,Pascal Mayalla na wenzake!
Ndugu yangu.... wazungu unawafahamu vizuri au unawasoma tu?

Wengine tumefanya nao kazi kwenye level ya juu for decades..... so they'll never ever tramp on me, but I can see they're easily doing so against our naive, egoistic and praise-seeking people in the corridors of power.
 
Mkuu Jingalao usitake kunichonganisha, aliyesema tumesamehe ni taarifa ya Ikulu, ukisema ni mimi, itaonekana kama kweli ni mimi ndiye niliyetoa siri ya kusamehe dola bilioni 190 na kuomba tupewe kile kishika uchumba tuu.

Hata barua za serikali zilizoandikwa Jumapili zilikuwa siri, usije kusema ni mimi ndio nimetoa siri.
Kuna siri fulani ni an open secret
P.
Hivi serilikali ya kusamehe trions of money iko wapi? Hiyo lugha imetumika kuwalidhisha akina jingalao na wadangsnyika wengine ila ukweli ni kuwa kwenye yale mazungumzo ilithihirika Pasipo kuacha mashaka kuwa zile reports were real proffeserior rubbish.na kile kishika uchumba kililenga kuficha Aibu ya mr.kukurupuka
 
Ingekuwa nchi nyingine ingeundwa tume ya kijasusi chini ya usalama wa Taifa na kuchunguza hizo details mpaka Japan huko kwa wachenjuaji.

Wangefanya hivyo ili kuhahakikisha sekta ya uwekezaji inabaki salama huku rasilimali zinalindwa.. Mwisho wa siku unaenda Acacia unaweka mzigo mezani kuonyesha ulivyokagua mzigo.

Ila kwa kuwa ni Political Mileage basi ni muhimu kutangaza kila sehemu.. Ile figure ya $190Bil ilikuwa ni Professorial Rubbish kabisa.

Swali:
Kwanza hao 30% ya shareholders ni akina nani ?? Wajeuri kweli.

Hivi hakuna kampuni nyingine za madini? Wao hawachenjui?
 
Mkuu Titicomb, tumeishabadili sheria zetu, hatuwatambui MIGA, Barrick wamekubali mabadiliko hayo, shida yao ni dhahabu yetu, hivyo wako tayari kwa lolote mradi dhahabu wachimbe.

Sio wote tunaamini zile ripoti ni proffessional rubbish zina mazuri na mabaya yake, baya kubwa ni uongo wa kuweka too high expectations ya anticipation kuwa tunaibiwa this much gold out of assumptions tuu, TRA waka calculate tax out such assumptions wakaibuka na deni la $190bilioni, Watanzania tukapewa a legitimate expectations ya kupata Noah, lakini tunachokuja kuambulia ni just peanut.
Angalia hapa nilisema nini, na sasa kunatokea nini
P
Eeenh, na 'Noah' zetu tulizoziandalia hadi nyumba za kulala! Paskali, hiyo $300 millioni, toka $190 itamudu kuzileta hizo noah kweli? Kama si aibu kwa maprofesa tuiite nini hiyo.

Uzuri ni kwamba umeyaelezea matokeo yote haya kwa lugha rahisi sana ili yaeleweke, lakini watu hawataki kuelewa.
Najua kwa nini hawataki kuelewa: hawajui ni Paskali yupi anayaeleza haya...!
 
Mkuu Winnerian, asante kwa taarifa hii.
Kiukweli sisi Watanzania ni watu wa ajabu sana!, huyu mtu anatutangaza vibaya hivi kimataifa kuwa Tanzania ni higher risk nation for investors, halafu watu humu wanashangilia!.

Taarifa hii kaitolea Reuters na sio kwenye haya magazeti yetu ya kufungia maandazi.
What does this tell about our nation to the rest of the world as far as investment climate is concerned?.

Kwa ruhusa yako, nitaomba nilitumie bandiko lako hili kama mbegu ya kuoteshea bandiko langu fulani.
P.
Pascal hapa umenena watu wameshindwa kuitafsiri kaulI ya C EO wa Barrick ilivyo mbaya kwa msatakabali wa wekezaji wengine,
Hata suala la fastjet ambao wamerodheshwa kwenye solo la hisa la London nao wanalia na Sera za Serikali zisivyotabirika na kusababisha kufunga kampuni.
 
Hivi kweli hawa wazungu wamekubali kirahisi kupoteza fedha yao wakati serikali ya Tanzania ilikurupuka kama Msomi Lissu na Zitto walivyo tuaminisha?

Huenda kweli kuna watu walinunuliwa na mabeberu kwenye zile kelele na vitisho.

Tujifunze kuweka akiba ya maneno.

Barrick’s offer follows more than two years of wrangling over a ban on mineral concentrate exports from Tanzania and a $190 billion tax bill, which has dragged Acacia’s share price 70% lower. The tax bill has since been reduced to $300 million.
 
Kwenye hili la makinikia wazungu wamepoteza fedha gani?.
Kwenye mchanga, tunaibiwa kwa sababu hatujui kilichomo. Rais Magufuli aliuzuia mchanga kwa nia njema kabisa, ili tujue kilichomo. Sasa tangu auzue mpaka leo, jee umewahi kusikia juhudi zozote za sisi kujua kilichomo?.

Rais ameunda tume mbili zikathibitisha tunaibiwa, tukapiga hesabu ikaja ni dola bilioni 190. Sasa mgogoro umeisha tunalipwa hiyo pesa?.

Mimi sio uchumi, lakini ikipigwa hesabu ya kwenye hili sakata lote la makinikia, tangu limeanza hadi siku tunalipwa hiyo dola milioni 300,halafu tukafanya a comparison analysis ya mapato ambayo tungeingiza kwa kuendelea kuibiwa, unaweza kukuta we have lost big time.

Kutokana na kuuuzui mchanga kwa kutojua kilichomo, sasa mgogoro umekwisha, tutaruhusu mchanga bila kujua kilichomo, kama huku sii kikurupuka ni nini?.

Kama hawa jamaa wametuibia kodi ya dola bilioni 190, wao wakasema watatupa zawadi ya dola milioni 300 wakati tukizungumzia deni hilo la dola
bilioni 190, mwisho wa mazungumzo tunalipwa tuu zawadi ya dola milioni 300, kwa nini ile dola bilioni 190 haitajwi tena popote, huku kama sii kukurupuka ni nini?.

Tukifanya overall assesment ya gainers and looses, tunaweza kujikuta sisi ndio tume loose big time, halafu majitu mnataka kuja humu kuanza kusifia na kushangilia peanuts!.
P
 
Acacia is not legal to operate in Tanzania
Na ndipo Magufuli aliposhikilia ,aliamua kudili na mwenye leseni,acacia alikaribishwa kinyemela ,hana leseni nchi hii,mbaya zaidi akailob serikali na kuanza ukwepaji kodi
 
Na ndipo Magufuli aliposhikilia ,aliamua kudili na mwenye leseni,acacia alikaribishwa kinyemela ,hana leseni nchi hii,mbaya zaidi akailob serikali na kuanza ukwepaji kodi
sasa nini tumefanya?kwamba mwizi yuko ndani anakuibia wewe unasema kuwa wewe mwizi hunihusu maana umeingia ndani mwangu kwa kuruka ukuta so mie ntaenda kuzungumza na baba yako sasa kama huo si uzuzu ni nini ?
 
Hujui kiti nyamaza,sana waambie wafungue kesi,Barrick msala ni wake
 
Back
Top Bottom