Tanzania is considered a higher risk jurisdiction and (Acacia) hasn’t been functioning as a company should be, otherwise we wouldn’t be interfering

winnerian

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
335
530
UPDATE 1-Barrick's offer for Acacia Mining reflects Tanzania risk -CEO

Zandi Shabalala, Nichola Saminather
4 MIN READ

* Barrick offer for Acacia “fair”- Barrick CEO

* Offer is 11% discount from Barrick’s own valuation

By Zandi Shabalala and Nichola Saminather

LONDON/TORONTO, May 24 (Reuters) - Barrick Gold Corp’s offer to buy the rest of Acacia Mining for $787 million is fair because the Canadian company is taking on more risk by increasing its exposure to Tanzania, its chief executive said on Friday.

Barrick, which owns 63.9% of London-listed Acacia, proposed on Tuesday to buy out the minority shareholders as part of efforts to resolve a 2017 tax dispute with the Tanzanian government.

However, its offer, which was not a firm intention, represents a near 11% discount to Acacia’s closing share price on Tuesday and is 42% below Barrick’s own audited valuation of Acacia’s assets in its 2018 annual report.

The discount has elicited complaints from some of Acacia’s minority shareholders, but Bristow said the offer was fair because Barrick was taking on more risk.

“We have had a good look at the assets and ... the (agreement with the Tanzanian government), which still has to be finalized, comes with risk,” Barrick CEO Mark Bristow said in an interview with Reuters.

“Tanzania is considered a higher risk jurisdiction and (Acacia) hasn’t been functioning as a company should be, otherwise we wouldn’t be interfering in it,” he said.

Barrick clinched a framework deal with Tanzania on the tax issue in 2017 that required Acacia to pay $300 million, hand over a 16% stake in its three gold mines and split the economic benefits from its operations.

“I can assure you there’s nothing else,” Bristow said. “No side agreement or other agreement, which we’re trying to exploit.”
Acacia declined to comment.

Barrick’s offer follows more than two years of wrangling over a ban on mineral concentrate exports from Tanzania and a $190 billion tax bill, which has dragged Acacia’s share price 70% lower. The tax bill has since been reduced to $300 million.

Barrick was leading negotiations with the Tanzanian government on the tax issue while Acacia was shut out of the talks. Barrick has accused Acacia of failing to cooperate.

Barrick said on Tuesday that the east African country had refused to settle directly with Acacia, prompting it to make the offer to take full control the miner.

Some minority shareholders and analysts have said Barrick’s offer was too low, but also said that the Tanzanian government’s stance limited Acacia’s options.

One Acacia shareholder told Reuters he was skeptical as Barrick had not made a firm offer but only an indicative one.

“That shows that (Barrick) can pull the offer at any point...” the shareholder, who declined to comment, said.

Analysts at Jefferies said: “An outcome whereby Acacia could return to a normalized operating environment appears increasingly unlikely and we believe this was the trigger to Barrick proposing the offer.”

Asked whether there were alternative plans to solving the dispute, Bristow said: “If we had a better plan, we would have tabled it.

“This is not an opportunity to exploit a situation, it’s a genuine attempt to mediate an outcome to a situation which has become extremely emotional and which is holding up the mining industry in Tanzania,” he said.

1106858
 
Barrick was leading negotiations with the Tanzanian government on the tax issue while Acacia was shut out of the talks. Barrick has accused Acacia of failing to cooperate.

Kiingereza kigumu hiki, ila hako ka mstari nimeelewa kidogo, naona kama Barrick anamlaumu mwanae kwa kuwa mkaidi, tofauti na tulivyoambiwa na Mh.Tundu Antipasi Lissu (MB) kuwa tutanyolewa kwa vigae na mahakama sijuhi za Uturuki sijuhi wapi huko wanjua wenyewe akina Lissu,Pascal Mayalla na wenzake!
 
Wale wa MIGA na wale wa kushangilia saga la makinikia wote mje hapa mtufafanulie hawa jamaa wameshindwaje kuiburuza Tanzania mahakama za kimataifa za usuluhishi wa kibiashara?

Kweli serikali ya Magufuli imekurupuka na ripoti ya ya maprofesa ilikuwa mbovu kiasi cha kustahili kuitwa 'Profeserio rubbish'?
 
Hivi kweli hawa wazungu wamekubali kirahisi kupoteza fedha yao wakati serikali ya Tanzania ilikurupuka kama Msomi Lissu na Zitto walivyo tuaminisha?

Huenda kweli kuna watu walinunuliwa na mabeberu kwenye zile kelele na vitisho.

Tujifunze kuweka akiba ya maneno.
 
Kiingereza kigumu hiki, ila hako ka mstari nimeelewa kidogo,

Na mimi mwenyewe Kiingereza kimenivuruga hapo

wanasema BARRICK anamiliki 63.9% ya hisa za ACACIA

Nani anamiliki hisa 36.1% zilizobaki?

Na ni kwa nini huyo mwenye minority share ndio anaonekana kidume kuliko BARRICK katika maamuzi ya mustakabali wa kampuni?
 
Barrick was leading negotiations with the Tanzanian government on the tax issue while Acacia was shut out of the talks. Barrick has accused Acacia of failing to cooperate.
Kiingereza kigumu hiki, ila hako ka mstari nimeelewa kidogo, naona kama Barrick anamlaumu mwanae kwa kuwa mkaidi, tofauti na tulivyoambiwa na Mh.Tundu Antipasi Lissu (MB) kuwa tutanyolewa kwa vigae na mahakama sijuhi za Uturuki sijuhi wapi huko wanjua wenyewe akina Lissu,Pascal Mayalla na wenzake!
Kuna kunyolewa kwa aina nyingi, kwa mfano 'Panki' au 'kiduku, n.k.,

Pamoja na mambo kuwa yalivyofikia sasa, ni ujinga kuanza kujipiga vifua kuonyesha wewe ni kinyozi mzuri.

Elewa vizuri lugha iliyotumika hapo (najua umesema huielewi, isipokuwa mistari hiyo miwili), ambayo hata yenyewe inaonyesha hukuielewa vizuri.

Mambo mazuri yanayoweza kutokana na habari hii ya Acacia ni kutuwezesha kuwa na sheria zilizotungwa kulinda mali zetu. Lakini haikuwa lazima kuamsha purukushani iliyotokea na Acacia ili tuweze kutunga sheria hizo.

Sasa hata hao Barrick wanatuita majina, "High Risk", unadhani hiyo ni sifa nzuri? Ilikuwa lazima kujitafutia sifa hiyo ndipo tuonekane kuwa tunataka kulinda mali zetu?
 
Hivi kweli hawa wazungu wamekubali kirahisi kupoteza fedha yao wakati serikali ya Tanzania ilikurupuka kama Msomi Lissu na Zitto walivyo tuaminisha?

Huenda kweli kuna watu walinunuliwa na mabeberu kwenye zile kelele na vitisho.

Tujifunze kuweka akiba ya maneno.

Kuna taarifa kwamba Kikwete aliwakamua Accacia fedha nyingi kuliko 300 million tuliyoahidiwa na Barrick. Na aliwakamua bila kuleta vurugu na kukimbiza wawekezaji.

..Magufuli alianza kudai 191 billion. Sasa haieleweki kitu gani kimetokea mpaka madai yamekuwa 300 million.

WaTz ni kama tumepumbazwa au kuchukuliwa msukule. hatuzungumzii tena billion 191 sasa tumekomalia 300 million.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya 191 billion na 300 million. Nini kimepita hapo katikati mpaka sasa serekali haizungumzii tena findings za report ya uchunguzi na madai ya 191 billion?

Kwa maoni yangu tulipaswa kuwa na akiba ya maneno na akiba ya matendo. Nadhani suala hili halikushughulikiwa kwa weledi unaostahili.
 
Kuna kunyolewa kwa aina nyingi, kwa mfano 'Panki' au 'kiduku, n.k.,

Pamoja na mambo kuwa yalivyofikia sasa, ni ujinga kuanza kujipiga vifua kuonyesha wewe ni kinyozi mzuri.

Elewa vizuri lugha iliyotumika hapo (najua umesema huielewi, isipokuwa mistari hiyo miwili), ambayo hata yenyewe inaonyesha hukuielewa vizuri.

Mambo mazuri yanayoweza kutokana na habari hii ya Acacia ni kutuwezesha kuwa na sheria zilizotungwa kulinda mali zetu. Lakini haikuwa lazima kuamsha purukushani iliyotokea na Acacia ili tuweze kutunga sheria hizo.

Sasa hata hao Barrick wanatuita majina, "High Risk", unadhani hiyo ni sifa nzuri? Ilikuwa lazima kujitafutia sifa hiyo ndipo tuonekane kuwa tunataka kulinda mali zetu?

Majuzi nilimsikia Prof.Kabudi anahimiza wawekezaji waje nchini halafu akawahakikishia kuwa mali zao hazitataifishwa.

Kauli hiyo ya Waziri Kabudi inaashiria kwamba imani ya wawekezaji kwa Tz imepotea.

Je, ni nani aliyesababisha hali hiyo?
 
UPDATE 1-Barrick's offer for Acacia Mining reflects Tanzania risk -CEO
Mkuu Winnerian, asante kwa taarifa hii.
Kiukweli sisi Watanzania ni watu wa ajabu sana!, huyu mtu anatutangaza vibaya hivi kimataifa kuwa Tanzania ni higher risk nation for investors, halafu watu humu wanashangilia!.

Taarifa hii kaitolea Reuters na sio kwenye haya magazeti yetu ya kufungia maandazi.
What does this tell about our nation to the rest of the world as far as investment climate is concerned?.

Kwa ruhusa yako, nitaomba nilitumie bandiko lako hili kama mbegu ya kuoteshea bandiko langu fulani.
P.
 
Barrick was leading negotiations with the Tanzanian government on the tax issue while Acacia was shut out of the talks. Barrick has accused Acacia of failing to cooperate.
Kiingereza kigumu hiki, ila hako ka mstari nimeelewa kidogo, naona kama Barrick anamlaumu mwanae kwa kuwa mkaidi, tofauti na tulivyoambiwa na Mh.Tundu Antipasi Lissu (MB) kuwa tutanyolewa kwa vigae na mahakama sijuhi za Uturuki sijuhi wapi huko wanjua wenyewe akina Lissu,Pascal Mayalla na wenzake!

Mkuu Ndebile, wajinga tuu ndio waliwao, Barrick na Acacia ni baba na mwana, lao moja. Mtoto kaharibu, baba kaingilia kati, kaja kuzungumza na sisi bila mwanae mharibifu, na baba kila akizungumza, anasisitiza chochote tutakacho kubaliana, lazima mwanae aridhie kwanza ndipo kitekelezwe. Kwenye board ya Acacia, Barrick ndie mwenye controling stake ya 63.9, hivyo Acacia ni minoriy shareholder, tangu lini minority akawa na sauti hata baba anyenyekee?.

Deni letu ni US $190bn, Baba akaahidi goodwill money ya US$ 300m kuonyeshea nia njema na kusema mtoto ndio atalipa huku akijua wazi mtoto hana hiyo fedha.

Tulipotoa hili deni la $190 bilions, sisi humu tukamweleza rais wetu unadanganywa na watu wako, mwisho wa mazungumzo hakuna tena deni la $190 bilions, zimebaki just $300milions ambazo Barrick angeweza kuzitoa pale pale na kumaliza huu mchezo, tunaambiwa mtoto kakataa!, ni wajinga tuu ndio wanaweza kuamini.

Kwa vile the final settlement deal ni Acacia kuvunjwa na kuundwa kampuni mpya yenye 16% stake ya Watanzania, ili kumzuia mwanae asiumie kwenye kuvunjwa huku na kuundwa upya, Barrick akaamua kwanza kumrudisha nyumbani mwanae Acacia, na kwa vile mtoto huyu ni independent kwenye masoko ya hisa ya London na Dar es Salaam, lazima baba atangaze kumnunua mwanae 100% Acacia iwe disolved, Baba alipe ile $300 ya kishika uchumba, halafu kwanza ataunda kijikampuni Tanzu kingine, ndicho hicho kijikampuni tupewe 16%shares na mchezo umekwisha.

This is a very big game I feel sorry kwa level yetu we can't play!.

Mimi nimesema kila kitu humu, but who is me hadi watu wanisikilize?, tumepigwa mchana kweupe toka US $190 hadi peanut ya just $300 huku tunachafuliwa halafu watu humu mnashangilia!.

Kiukweli kabisa, ili Tanzania tuweze kupata maendeleo ya ukweli, kuna baadhi ya viongozi wetu, their heads seriously need be examined!.
P.
Rejea

Wale wa MIGA na wale wa kushangilia saga la makinikia wote mje hapa mtufafanulie hawa jamaa wameshindwaje kuiburuza Tanzania mahakama za kimataifa za usuluhishi wa kibiashara?

Kweli serikali ya Magufuli imekurupuka na ripoti ya ya maprofesa ilikuwa mbovu kiasi cha kustahili kuitwa 'Profeserio rubbish'?
Mkuu Titicomb, tumeishabadili sheria zetu, hatuwatambui MIGA, Barrick wamekubali mabadiliko hayo, shida yao ni dhahabu yetu, hivyo wako tayari kwa lolote mradi dhahabu wachimbe.

Sio wote tunaamini zile ripoti ni proffessional rubbish zina mazuri na mabaya yake, baya kubwa ni uongo wa kuweka too high expectations ya anticipation kuwa tunaibiwa this much gold out of assumptions tuu, TRA waka calculate tax out such assumptions wakaibuka na deni la $190bilioni, Watanzania tukapewa a legitimate expectations ya kupata Noah, lakini tunachokuja kuambulia ni just peanut.
Angalia hapa nilisema nini, na sasa kunatokea nini
P
 
..kuna taarifa kwamba Kikwete aliwakamua Accacia fedha nyingi kuliko 300 million tuliyoahidiwa na Barrick. Na aliwakamua bila kuleta vurugu na kukimbiza wawekezaji.

..Magufuli alianza kudai 191 billion. Sasa haieleweki kitu gani kimetokea mpaka madai yamekuwa 300 million.

..waTz ni kama tumepumbazwa au kuchukuliwa msukule. hatuzungumzii tena billion 191 sasa tumekomalia 300 million.

..kuna tofauti kubwa sana kati ya 191 billion na 300 million. Nini kimepita hapo katikati mpaka sasa serekali haizungumzii tena findings za report ya uchunguzi na madai ya 191 billion?

..Kwa maoni yangu tulipaswa kuwa na akiba ya maneno na akiba ya matendo. Nadhani suala hili halikushughulikiwa kwa weledi unaostahili.
Tofauti kati ya usd 191bn na USD 300m inaweza kuwa riba ya kodi zote kwa miaka 18 ambazo wamesamehewa kwa kuwa wamekubali kulipa kama walivyosamehewa wafanyabiashara wengine hapa nchini na kwa kukubali masharti mapya ya uwekezaji.
 
Ukipiga mahesabu 191 billion uiteremshe mpaka 300 million ni vigumu kukubaliana na wewe. una calculator hapo karibu?
 
Back
Top Bottom