Tanzania is among top 10 Fastest growing Economies in the World

Hili ndio tatizo kubwa la watanzania, wanategemea kukuta maisha bora yameshachongwa kwa ajili yao hata kama wameenda shule?

Mimi nimefaidika kwa ujio wa Obama baada ya kutafuta kakazi kalikoniingizia $200k!
Vile vile husikii wahindi wakilalamika, ni waswahili wapenda siasa tu, tena wa kupenda kuletewa kitandani huku wao wakiwa wamelala.

Mtu alisema let sleeping dogs lie.

Umejibu nini kwenye tupio lako? Unajibu "heading" ya mwanzisha thread au unajibu hoja yangu? Maana napata tabu kukusoma!
 
Uchumi wa Tanzania unakua wanaofaidika ni mafisadi tu ndani ya Serikali dhalimu na makampuni toka nchi za nje, kwa Watanzania walio wengi hawaoni neema yoyote ile kwa sababu elimu yetu bado ni ya kukatisha tamaa, huduma za afya bado ni duni mnooo!! upatikanaji wa huduma bora kama maji safi, umeme wa uhakika, usafiri mzuri bado unakatisha tamaa katika sehemu kubwa nchini na ajira bado za kusuasua sana.
 
TAFSIRI YA UCHUMI WA TANZANIA KUKUA PART 1Published on 12 Jan 2013
Ipo dhana kuwa uchumi wa Nchi unakua mathalani kwa Mwaka 2012 umekua kwa wastani wa kati ya asilimia 6 mpaka 7 lakini wakati huo huo kiwango cha umasikini kikipungua kwa asilimia 2 tu! Je, ni nini maana yake?

Katika mahojiano haya nimekutana na Mmoja wa wasomi wa masuala ya uchumi katika Chuo cha Uhasibu Arusha ambaye anatoa ufafanuzi wa dhana ya uchumi wa Tanzania kukua. Source: youtube na Rugeray Raymond
 
Last edited by a moderator:
Na Rugeray Raymond wa youtube : TAFSIRI YA UCHUMI WA TANZANIA KUKUA PART 2 MUENDELEZO...KILIMO KWANZA
Ipo dhana kuwa uchumi wa Nchi unakua mathalani kwa Mwaka 2012 umekua kwa wastani wa kati ya asilimia 6 mpaka 7 lakini wakati huo huo kiwango cha umasikini kikipungua kwa asilimia 2 tu! Je, ni nini maana yake?

Katika mahojiano haya nimekutana na Mmoja wa wasomi wa masuala ya uchumi katika Chuo cha Uhasibu Arusha ambaye anatoa ufafanuzi wa dhana ya uchumi wa Tanzania kukua.
 
Last edited by a moderator:
Umejibu nini kwenye tupio lako? Unajibu "heading" ya mwanzisha thread au unajibu hoja yangu? Maana napata tabu kukusoma!
Adage:
Badala ya kulalamika tutumie akili na juhudi kuziona fursa za kujiendeleza kiuchumi.
Na ndio maana nimesema humwoni mhindi akilalamika, wako busy kupekua fursa zs kujitajirisha na kujipatia kipato,
 
President Obama arrives in Tanzania today, the third and final stop on his tour of Africa.

As well as holding talks with President Kikwete, he'll be meeting business leaders and visiting an American-owned power plant.

Tanzania is one of the ten fastest growing economies in the world - and the US is competing with several countries vying for business there.

READ MORE: BBC News - President Obama to visit Africa's boom country Tanzania

==========
Challenge:

As per -> The fastest-growing economies of 2013: Speed is not everything | The Economist

We have this chart

top_growers.png

and, as per Daily chart: Growers and shrinkers | The Economist

We have this chart:

20130105_woc715.png

BUT, reading -> 29 Of The World's Fastest Growing Countries - Business Insider

You will find Tanzania placed #15

See this image:

attachment.php
HAWA JAMAA WANA TUHAHADAA KWA SIFA ZISIZO NA UKWELI NA UHALISIA NA MAISHA YA WATZ ....rubish!uchumi unaokua bila kuwa na positive impact kwa wananchi?ha ha hii ni zaidi ya ulaghai jamani
 
Adage:
Badala ya kulalamika tutumie akili na juhudi kuziona fursa za kujiendeleza kiuchumi.
Na ndio maana nimesema humwoni mhindi akilalamika, wako busy kupekua fursa zs kujitajirisha na kujipatia kipato,

Sasa dada uwe unatumia akili kidogo siyo kuishi kwa kukariri majibu. Hoja siyo kwamba ujio wa Obama hauna faida na kichwa cha habari cha mleta mada hakisemi hivyo. Watu wanachopinga ni kwamba eti "Tanzania is one of the ten fastest growing economies in the world ". Kwamba ujio wa Obama umekupatia ajira iliyokuingizia $200 ndiyo uthibitisho kuwa "Tanzania is one of the ten fastest growing economies in the world"? Tumia akili dada!
 
Ukiwa na hole si kila mtu yuko kama wewe, other wise enjoy your freedom girlie and have a nice day wont you?
 
hiyo dola miambili ulilipwa kwa kazi ya usiku. duh hayo ma fbi noma ila naskia hua wanapiga kolabo we walikukoa wangapi?
 
The growth mentioned would only be meaningful if it is translated into real change in the lives of Tanzanians, otherwise it remains to be just rhetoric to most people.
 
hiyo dola miambili ulilipwa kwa kazi ya usiku. duh hayo ma fbi noma ila naskia hua wanapiga kolabo we walikukoa wangapi?
Jibidiishe kuziona vizuri fursa za kujiajiri, na kama kawaida yenu watu wa matusi , jaribu kusoma vizuri badala ya kutotumia akili.
Ni $200k kwa watu kama wewe nawanunua laki kwa ujira wa siku moja.
 
Wakuu, nilikuwa naangalia kipindi cha "Last Word" cha Lawrence O'Donnell kwenye chanel ya msnbc, na kati ya mambo yaliyoongelewa ni mkutano kati ya USA na viongozi wa Africa. Jambo lililonigusa zaidi na kupelekea niweke uzi huu ni kusikia kwamba Tanzania ni kati ya nchi 10 zenye uchumi unaokua kwa kasi zaidi duniani. Kwenye orodha ninayoambatisha hapa chini imeorodheshwa kuwa nchi ya 5.

Ebu tujadili hilo kwa mtazamo chanya kuona ni jinsi gani kasi hiyo ya kukua kwa uchumi inawagusa na kuwanufaisha wananchi.
Naomba economists watusaidie kuelewa hili.

Nawasilisha.

Umk.
 
Attachments

  • 20140804_225925.jpg
    20140804_225925.jpg
    661.8 KB · Views: 242
Mh hebu wachumi njoo ukumbini msaidie kutupatia clarification ya hii kitu, hawa wazungu naona wameanza kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa km walivofanyaga Zimbabwe enzi zile Mgabe wakimwita Sir Robert Mugabe
 
Nauliza swali na ninakuomba jibu mtoa mada, Hivi wewe ukiwa na shule ya secondary, na mimi nina shule ya secondary.wakati wa mitihani ya form 4, wewe una Div 1 ziko 20 na Div 0 ziko 50. arafu mimi Shule yangu ina Div 1 mbili tu ila Div 0 hakuna, hivi kwa swali hili ni shule gan itakuwa imeshinda?

Ni vigezo gani wamevitumia kuona Tanzania uchumi wake umekuwa kwa kasi wakati Div 0 ni wengi, kwa maana watu wengi ni maskini na maisha magumu? na matajiri wachache? Naomba nieleweke kwa hoja hii,

Tanzania bado hatuna viwanda vya kutosha, masoko ya uhakika kwa wakulima hakuna, bidhaa nyingi tunanunua kutoka nje,mfano mafuta . kibaya zaidi tunapo nunua nje ni lazima tununue kwa hela ya kigeni (usd) sasa kila siku shilingi inaporomoka sasa hivi dora moja inakwenda kwenye Tsh 1,700!!!

Hii inatishia san jaman, wewe kama una million 20 benk, na unataka kununua gari nje, inakubidi ulipe shilling nying ili upate dola ili uweze kununua gar nje. Wachina wanachukua magogo yetu, wanapeleka kwao kutengeneza meza na makabati, then warudisha hizo meza wanatuhuzia kwa bei kubwa n.k

MTAZAMO WANGU
Nafikiri wange angalia uchumi wa watanzania kwanza maisha yao sasa hivi hata elf10 tu ambayo ni sawa na 5$ haitoshi kwa siku. Pia wange angalia wawekezaji wazawa fursa wanazopewa na mashart legevu. ajira kwa vijana n.k, tunashindwa hata na nchi ya msumbiji iliyo dumu kwenye vita ya mreno miaka 500 na vita ya kisiasa miaka 15.sasa hivi ukitoka msumbiji na hela yao (miticashi) 3000 elf tatu tu ukichange kwenye shilling utapata 165,000 mpaka 170,000!! Mkuu nakuomba kama una address za hao jamaa nitumie nikawaulize wametumia data zipi? Ubarikiwe mkuu.
 
Nauliza swali na ninakuomba jibu mtoa mada, Hivi wewe ukiwa na shule ya secondary, na mimi nina shule ya secondary.wakati wa mitihani ya form 4, wewe una Div 1 ziko 20 na Div 0 ziko 50. arafu mimi Shule yangu ina Div 1 mbili tu ila Div 0 hakuna, hivi kwa swali hili ni shule gan itakuwa imeshinda?
.

Mfano wako sio relevant
 
Back
Top Bottom