Tanzania irudishe mali ilizowadhuumu watu wakati wa azimio la arusha.

Jatropha

JF-Expert Member
Apr 9, 2009
1,151
199
Jana nilimsikia mchungaji mmoja katika radio moja ya kidini akisema kuwa matatizo ya Tanzania hususan Ufisadi hautakwisha hadi pale kama taifa tutakapotubu na kurejesha mali za watu alizotaifisha Hayati Mwalimu Nyerere kwenye miaka ya 60 ikiwemo mashamba, viwanda, shule n.k. Mali hizo zilikuwa zikimilikiwa na watu mbali mbali waliokuwa wamewekeza hapa nchini ambapo Serikali ya Tanzania ilitaifisha mali hizo na kuzifanya kuwa mali za umma. Miongoni mwa mali hizo ni majumba yote yanayomilikiwa na National Housng Corporation (NHC) yaliyotapakaa nchi nzima ambayo yalijengwa na watu binafsi.

Aliendelea kuwa bila ya kufanya hivyo ufisadi utatutafuna na kutumaliza. Wadau nini maoni yanu
 
Mwenye mawazo hayo hayupo fit upstairs
 
Back
Top Bottom