Tanzania Investment Centre (TIC), tafuteni Makampuni makubwa yaje kuwekeza Tanzania

Tz_one

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
2,891
7,550
Ujenzi wa Reli unaendelea kwa kasi nzuri na pia Serikali imenunua ndege kwa ajili ya ATCL bila kuwa na wafanyakazi wengi na wenye kipato. Hii miundombinu haitatumika kwa ufanisi na kiwango chake, tuna Reli ya Tazara ambayo inauwezo mkubwa wa kusafirisha mizigo kwenda Zambia ila bado kiwango chake hakijafikiwa.

Mapendekezo kwa serikali ni waiite makampuni makubwa yaje kuwekeza kwa kunenga viwanda Tanzania kampuni kama:

1.Samsung ..
2.LG
3.Tecno
4.Bajaj
5.TVS
6.Toyota
7.Dell

Plus, company mbalimbali bidhaa za hizo company hapo juu hutumiwa sana na Wa Tz na Watu wa East Africa faida zake ni
1. Kuongezeka kwa Ajira
2. Tanzania ina madini ya Chuma na Graphite amabayo yanaweza tumika kama raw material endapo yatachimbwa
3. Kukuza Sarafu ya nchi kwani Bidhaa hizo zitakuwa exported kwenda nchi za Africa kama DRC, Kenya, Uganda, Rwanda
4. Kuongezeka kwa mapato ya nchi

Serikali liangalieni hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom