Tanzania Investment Centre (TIC) kazi imewashinda?

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Sasa hivi ni wiki nzima website yao haipatikani sasa jiulizeni wawekezaji wanapata vipi habari za uwekezaji wakati TIC wamefanya ufisadi wa kufunga website yao?

http://www.tic.co.tz/

Inamaana Ole Naiko na Samuel Sita lao moja?

Kama Ole naiko umeshindwa kazi kwa nini usiachie ngazi tuu tukajua moja?

UPDATE:

Baada ya kuandika hii thread, website imerejeshwa hewani!
 
Tatizo siyo Ole, sita au TIC au Ikulu, tatizo ni wizara ya mawasiliano na Uchukuzi ndiyo inatakiwa ifuatilie mambo haya yote. Ukiwa benki utaambiwa aah system iko doown saaana, ukiwa TRA utajibiwa hivyo hivyo, ukiwa kwenye mitandao jibu ni hilo hilo, ukienda BRELA jibu hilo hilo.....Ni Tz tu ndiyo kuna majibu hayo, waambieni warekebishe mfumo au namna ya kupokea data za internet......Nadhani humu kuna watalaam wa Internet watatujuza zaidi. Poleni sana kwa huduma hafifu kama hizi.
 
Da jamani hii nchi mbona inachekesha sana....
Tulidhani JK anapitisha bakuli kwa maana ya kukaribisha wawekezaji toka duniani, na tunaaminishwa saiv hicho ndio kipaumbele kwa sasa hata kuliko hata utu wa watu wetu, sasa na hayo madudu inakuwaje??

Hivi kweli tunakipaumbele sie???

Haya mengine mtu anaweza kusema unaisakama serikali ya JK bure tu lakini katika hali kama hii huwezi kujizuia kuidharau serikali ya jamaa.
 
Sasa hivi ni wiki nzima website yao haipatikani sasa jiulizeni wawekezaji wanapata vipi habari za uwekezaji wakati TIC wamefanya ufisadi wa kufunga website yao?

Welcome to Tanzania Investment Centre Website

Inamaana Ole Naiko na Samuel Sita lao moja?

Kama Ole naiko umeshindwa kazi kwa nini usiachie ngazi tuu tukajua moja?

kwani mkuu unaishi jupiter au pluto hata hujui kana ole naiko kastaafu.
 
Tatizo siyo Ole, sita au TIC au Ikulu, tatizo ni wizara ya mawasiliano na Uchukuzi ndiyo inatakiwa ifuatilie mambo haya yote. Ukiwa benki utaambiwa aah system iko doown saaana, ukiwa TRA utajibiwa hivyo hivyo, ukiwa kwenye mitandao jibu ni hilo hilo, ukienda BRELA jibu hilo hilo.....Ni Tz tu ndiyo kuna majibu hayo, waambieni warekebishe mfumo au namna ya kupokea data za internet......Nadhani humu kuna watalaam wa Internet watatujuza zaidi. Poleni sana kwa huduma hafifu kama hizi.

Mtandao wa Interent unafanya kazi kama bomba la maji............hapa naongelea main line tuchukue mfano kuwa mwanzoni ilikadiriwa kuhudumia watu kumi kwa ufasaha................sasa kilichofanyika ni kuwa kulifungwa bomba la kuwahudumia hao 10 tu.................bahati mbaya watu wameongezeka wako 100 na bado bomba la kuwahudumia watu hawa wote ni lile la uwezo wa watu 10!..............ni kweli wahusika wamezembea hili kwani liko ndani ya uwezo wao na wataalamu tena wazalendo wapo wengi tu na ndo hawa hawa wanaendesha makampuni binafsi na kuyapa faida kubwa sana!
 
Ole Naiko anahusika nini na hili? Alishastaafu kitambo, na sherehe ya kumuaga ilishafanyika!
 
Usiwe na chuki binafsi.We have seen the problem it will be better if you suggest a solution as well. Ok?

Sasa hivi ni wiki nzima website yao haipatikani sasa jiulizeni wawekezaji wanapata vipi habari za uwekezaji wakati TIC wamefanya ufisadi wa kufunga website yao?

Welcome to Tanzania Investment Centre Website

Inamaana Ole Naiko na Samuel Sita lao moja?

Kama Ole naiko umeshindwa kazi kwa nini usiachie ngazi tuu tukajua moja?

UPDATE:

Baada ya kuandika hii thread, website imerejeshwa hewani!
 
Jamani tuwe na uhakika na tunachosema mbona mimi naipata vizuri tu hii website ila kwa jana kuanzia saa 9 mchana mpaka saa 12 jioni kulikuwa na problem ya ISP.
 
Back
Top Bottom