Tanzania: Internet Cafes Owners Face Technology Challenges | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania: Internet Cafes Owners Face Technology Challenges

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by BrainPower, Sep 20, 2010.

 1. BrainPower

  BrainPower Senior Member

  #1
  Sep 20, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tanzania: Internet Cafes Owners Face Technology Challenges

  Abduel Elinaza
  19 September 2010


  Dar es Salaam — INTERNET cafes owners are facing technology challenges which may compel them to shift their billing method from time spent to bytes as broadband speed increased hundred folds.
  The theory is that document down loading speed has amplified, thus a client at cafe is able to download a lot of data at shorter time but use many bytes.
  Charging in hours, internet cafe are losing revenue as in half an hour a client could download one-gigabyte that cost 30,000/- while paying merely token of 1,000/-.
  The only way is to slow down the broadband speed but "customers are complaining and we can't rise prices" due to stiff competition, Flora Njau of Ibukoni Internet Cafe, along Samora Avenue, says.
  Ms Njau says they normally buy four gigabytes at 200,000/- and sell at retail price of 2,000/- an hour but the bytes hardly last a month and in most cases fail to break-even. "It is a real tough business," Ms Njau says.
  Wholesalers have it that its high time for the cafes to change their pricing methodology as per hour changing does not work under fiber cables.
  "The speed has improved (hundred folds). The issue is not to stay longer at cafes but how much bytes on can download," Tanzania Telecommunication Company Limited (TTCL) Public Relations Manager, Mr Amin Mbaga says.
  Among the latest victim is Faith Internet Cafe of Mwenge Bus Stand that closed the shop recently. Its owner Mr Ebenezer Msuya said he used to buy a Sasatel's bundle at 120,000/- which is about seven GB but at the end of the day collects only 85,000/-.
  But cafe owners could not help it due to lack of software to check megabytes usage, says SimbaNET Corporate Sales Manager, Mr Chintu Patel. Cafes stickiness to hour billing is only because "it is the easiest way of billing.
  For us (Internet Service Providers) it is easy as we have the technology," Mr Patel says, adding: "The only way to survive is to find ISP that charged per hours and not per bytes as these suit corporate clients."
  Sasatel's unlimited bundle is ideal for internet cafes which charges per hour but not the amount downloaded for the whole month. The package cost is 450,000/- for up to ten users per month.
  "Customers using Sasatel unlimited bundles don't have to worry about the download and upload limitations for the entire month," the firm website indicates.
  The billing issue came after the coming of the marine cable that did not only low broadband prices by almost half, but also increases the quality of services amid speed. Without realizing the Internet has already changed the way one does business.
  A person can get the information needed up to 40 times faster through marine cable than satellite.
  "Massive files download in seconds. Web pages appear almost instantly, Emails arrive in real time. That's the beauty of broadband," Mr Patel says.

  Source: allAfrica.com: Tanzania: Internet Cafes Owners Face Technology Challenges

  a. Swali kwa Wenzangu na mie ambao tuna cafe chetu mjini...

  Hii biashara itawezekana kweli ?

  b. Swali kwa wateja wetu wa cafe...

  Vipi, mnaonaje tukianza kuwacharge kwa kila MB unayotumia...? Nakuahidi sitapunguza Speed. Itakuwa full
   
 2. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #2
  Sep 20, 2010
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145

  Hesabu hazilipi.

  Hata kwa wanaopata wastani wa Shs. 85,000/= kwa mwezi, wakilipia hiyo bundle ya 450,000/= kwa mwezi ya unlimited ya Sasatel, haitawasaidia, kwani haitarudisha pesa. Kilichobakia ni kwamba itafutwe njia ya wateja kununua MBs moja kwa moja, kupitia scratch cards, watakazozitumia kwenye Internet Cafe. Nadhani teknolojia hii inawezekana. Unakwenda Cafe, unanunua scratch card yako, unajisajili namba yako ya Internet, kisha kama MBs zako hazijaisha, ukirudi, unaingiza namba ya scratch card, unaendelea, mpaka inaisha. Mwenye Cafe anauza scratch card kwa bei ya rejareja, ananunua kwa bei ya jumla kutoka kwa ISP.
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Nadhani la msingi ni kuitisha kikao cha wamiliki wote wa Cafe. Tukutane tuwekane sawa.

  Kuna watu wengine wanafikiri biashara ya Cafe ni sawa na biashara ya khanga na vitenge. Au hizo wanaita Boutique.

  Hii ni technology. Lazima ujue vitu fulani fulani kuhusu Information Technology kabla ya kuamua kuanzisha biashara ya Cafe.

  Ni ngumu kueleza kwa hapa, lakini wengi wanaoshindwa ni kwamba wanadhani hii ni biashara kama zingine...NO. You need at least a glimpse of I.T. in your mind.
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  That has got to synchronize with ISPs right?

  ISPs wengi ni Wahindi ..........wametumwa hela!!

  Hilo wazo halitakubalika au litapigwa danadana mpaka basi.
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Hiyo inawezekana bila ISPs kushirikishwa.
   
 6. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 819
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Pale pale eti scratch card za MB moja moja .... ndio wale wale wanao dhani internet ni kwa ajili ya emails tuu na kuchat....
   
 7. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2010
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Uhuru Wireless unanunua Vocha, then una surf.....
   
 8. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #8
  Sep 21, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  iko wapi hii uhuru wireless
   
 9. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Unaelewa kinachoongelewa? Net inamatumizi mengi kama unavosema, na matumizi yanatofautiana consuption ya kifurushi ikiwamo "upanawaband", ndiyo maana wewe mtoto wa kishua unashindwa kutumia modem yako ya voda unapotaka kudownload game za gta!
  Wakiuza kwa Mb, mtu anayesurf atanunua 10Mb kwa 1,000, na wewe unayedownload mziki utanunua 1Gb kwa 20,000/=, siyo unalipia masaa mawili kisha unashusha 1gb!!!!!!
   
 10. P

  Pieres Member

  #10
  Oct 11, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hi jamani wenye cafe msihofu solution zipo tuwasiliane tu 0755343059,0715433059
   
 11. P

  Pieres Member

  #11
  Oct 11, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ni kweli ukipunguza bandwidth net inakuwa slow wateja wanakimbia na pia hata wakati mwingine setting za pc za wateja zinatumia internet hatawakati hakuna watumiaji, kwa hiyo wenye cafe solutions zipo! naomba tuwasiliane 0755433059,0715433059
   
 12. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Sidhani kama hiyo business italast na wengi walioanza mwanzo wamesha achana na hiyo business kwa sababu zifuatazo.

  Makampuni ya simu yanauza modem at reasonable price pamoja na bundle zake kama mimi nina modem mbili ya zantel na sasatel na huwa na nunua bundles za up to 3 GB.

  Na nina muda sana sijatumia laptop yangu maana nina ka blackberry changu 9700 nimekipa blackberry service ya zain ambayo ipo faster kinoma na huduma hii ni unlimited yaani unaweza kudownload kutuma e mails na kila kitu kinachohusiana na internet.

  Kwakweli haya ni mapinduzi kwenye technology na more than challenge in your business.
   
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Itaje solution yako ikoje..biashara matangazo
   
 14. BrainPower

  BrainPower Senior Member

  #14
  Oct 11, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Dynamics zimebadilika Kama ulivyoandika. Kuna watu ndio wana hivyo vitendea kazi na ushindani ktk makampuni ya Simu upo. Lakini kati ya watu miliioni 40 walio na hivyo vitndea kazi Ni wangapi ?

  Bado kuna soko la Wanafunzi , watalii , wasiopenda bundles etc

  B.P
   
 15. BrainPower

  BrainPower Senior Member

  #15
  Oct 11, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ndugu, mathumini ya kuweka hapa ni kujadili na kushauriana. Kama unadhani una solution tueleze kwanza ni nini, Kama mtu amevutiwa NAyo nina hakika atakuconsult. Kama pia labda mtu ameshaijaribu na aliona udhaifu wake Naye ata tuelimisha.

  Ndio kuelimishana ktk jamii tena mkuu.
   
 16. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #16
  Oct 12, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Manemanemane, pengine akuunganishie ya wizi!
   
Loading...